nguvukazi mikono
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 490
- 32
Tangu nazaliwa mpaka chuo kikuuu sijasoma shule ya private nimesoma shule ya msingi Tandika, nikafaulu nikaenda kibasila then Tambaza kisha UDSM. Ada za shuleni hazijawahi kuwa sababu ya mwanafunzi kufukuzwa shule au kusimamishwa masomo. Nimesota mbaya nasinda njaa natembea kwa miguu miguu nusu ya safari za kwenda shule. Niliishi kwa kuomba nauli toka kwa ndugu wazazi wengi walikuwa either hawana kipato au waliona anasa kumpa mtoto hela ya kula njiani kwa tasfisri yao ni kumuharibu mtoto. Kuwa na akili ni jambo moja ila kukabiliana na changamoto za maisha ni jambo jingine. Kuna madaktari wengi ambao wana akili sana kimasomo lakini hawana maisha ya maana ni walevi na familia zao zimewashinda. Katika umri wa ujana kuna vijana wengi wanapotea kimaisha na kushindwa shule kwa sababu ya kufuata makundi. Enzi sisi tunasoma ukiwa unpenda shule wanakuita John au Solopaga. Ujanja ulikuwa ni kuzamia meli kwenda Itali au Greece baada ya hapo ukaja ujenja wa kwenda South baada ya Mandela kuwa rais. Wengi waliacha sanaa shule kukimbilia bondeni waliiba TV kwao, deki... fujo tupu na leo wako mtaani wameongza idadi ya wasio na dira na wenye chuki kwa serikali na wenye nachoo... Jamii hii ya kitanzania tunapenda vitu vya ajabu sanaa tunachangisha harusi za mamilioni, tunapenda starehe, hakuna hata siku moja utasikia watu wanachangia elimu bila kuialumu kwanza serikali. Wewe ni lini ulirudi shule uliyosoma ukawapelekea vitabu!? Tukishatoka mashuleni hatutaki hata kusrudi na kuziendelezza shida tuupu, kisa mfumo kristo. Kuna mambo ambayo yanafaa kurekebishwa kama unavyosema lakini hayataleta hayo mabomba ya asali na maisha mazuri kama unavyofikiri. HUUU MFUMO TULIO NAO NI WA KIBEBARI NA TOFAUTI KATI YA WALIONACHO NA WASIO NACHO INAZIDI KUKUA. SASA TURUDI KWENYE UJAMAA ALIOUANZISHA NYERERE AMBAYE NI MKRISTO...!!! KUSEMA MUISLAM NI DARAJA LA PILI NI MASHARA KAKA NA NAOMBA UFUTE KAULI YAKO. MATAJIRI WAKUBWA NCHII HII NI WAISLAM, VIONGOZI WAKUU WA NCHI HII NI WAISLAM USILAM UMEKUWEPO NCHII HII MUDA MREFU ZAIDI YA UKRISTO. ELIMU DUNIA HAIJAWAHI KUWA MSINGI/NGUZO YA UISLAM, SO MWISHO WA SIKU LAZIMA TOFAUTI ZIONEKANE. na vilevile nchi hii ina makabila mengei na yanatofautiana sana katika tamaduni na misngi yao ya maendeleo. leo ukimpa mpemba, mchaga na mkinga mtaji wa laki mbili na ukampa mzaramu, mbondei au mmasai baada ya miaka mitano utawakuta wana viwango vya maisha tofauti sanaa. Hii kwa kiasi kikubwa inatokana na jisnsi wanavyotoa kipaumbele kwenye matumizi na utafutaji wa maendeleo. Na haina uhusiano wowote na mfumo kristo.
Nakubaliana na wewe katika baadhi ya mambo na napingana na wewe katika baadhi ya mambo.
Kwanza mfumo kristo upo na nimetoa mifano,mfano wa mwisho ni mwaka jana inikiwa kazini.
Pili,wanafunzi waliokosa ada wanafukuzwa shule,mimi nilikfukuzwa O-level nikakaa mwaka na nusu nyumbani,nikafukuzwa tena A-level semister ya mwisho hata mock sikufanya nikaenda kufanya mtihani wa Taifa,cheti changu cha form six nilikifuata baada ya kumaliza chuo kwasasbabu walikuwa wananidai ada.Labda tofauti wewe ulisoma shule za kutwa na mimi nilisoma shule za bweni ambazo huwezi kuishi bila ya kulipa ada.
Kuhusu NECTA pale kuna madudu mengi sana ya udini,mimi jina langu uwezi kulitambua kama ni muislamu au mkristo.Mke wangu form six mock alipata division one kuja NECTA wakampiga Divission zero.
Hao matajiri wa Kiislamu wakiwasaidia waislamu wanaitwa magaidi,wengi wa matajiri wa kiislamu wanaasili ya kiarabu,wakiwasaadia waislamu wanaambiwa magaidi,na hata wakitoa msaada wanatoa kwa siri sana.Hatajasahau kisha cha Abuu Hudhaifa na kupelekwa Gwantanamo eti ni Al-qaida?
Serikali ni mfumo sio raisi na hao watu watatu waliokuwapo hapo juu,>80% ya watendaji wa serikali na taasisi zake ni wa mfumo kristo,tupo maofisini tunafanya kazi acha kutudanganya,kawadanganye wanakijiji huko kama alivyofanya Baba wa Kanisa nyerere