juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,041
Kwa kweli hoja hii huwa inajadiliwa kwa propaganda zaidi kuliko uhalisia wake.siwaelewi kabisa wanaomlaumu Nyerere kwa udini.sie tuliosoma mashuleni na vyuoni tunaujua ukweli.tatizo la tofauti ya elimu lipo zaidi ktk mitazamo yetu juu ya elimu.mitazamo hii iko influenced na tamaduni zetu ambazo nazo ziko influenced zaidi na dini na maeneo tunayotokea au kabila.tuliokaa shule tunalijua hili.kuna watu kwa mitazamo yao walipuuza elimu na wengine wakaikumbatia.sasa leo tofauti zinaonekana tunatafuta mchawi humu.si tulikuwa tunaimba kuwa elimu tuliyonayo mashuleni ni ya mzungu?tukaipuuza?sasa leo imekula kwetu tunamlalamikia Nyerere?mie nadhani nchi hii inakosa watu jasiri wa kuongea ukweli bila kuremba ndio maana matatizo hayaishi.naomba nijiunge na kambi hii ya wasema ukweli.nasema hivii...WAISLAMU ACHENI UJINGA,SOMENI,MUELIMIKE,MJIFUNZE KUDAI CHENU NA KUACHA KUDAI KISICHO CHENU!ACHENI UJINGA,NARUDIA TENA,WAISLAM ACHA UJINGAA!