kivipi?nani aliyeuendeleza ikiwa watu wamepokonywa hadi shule kwa maslahi ya kila mtanzania?kuna ukweli mmoja lazima tuuseme hapa.tulipopokea dini hizi waliotuletea walituachia na tamaduni zao nyingine.wakati na baada ya ukoloni elimu ilionekana utamaduni wa mzungu.hivyo waliopokea dini isiyo ya mzungu hawakupenda kwenda shule.waliopokea dini ya mzungu walipenda kwenda shule.leo tofauti inaonekana halafu tunamsingizia mkoloni.mkoloni anaingiaje hapa wakati alishatuachia nchi tuendeshe wenyewe?wengine wanamsingizia Nyerere wakati mzee wa watu hadi leo kuna watu wana kisirani nae kwa kutaifisha shule zao kwa maslahi ya wote.roho yangu inauma kuona watz hatuna nia ya dhati ya kulitafutia ufumbuzi tatizo kwani bado tunalaumiana kwa mambo yasiyokuwepo.jamani,nchi inaangamia,tukubali makosa,tujirekebishe,tusonge mbele pamoja.sie tuliokaa madarasani tunaujua ukweli.ilikuwa ni kawaida kukuta watu wa aina moja wakiwa na mtazamo chanya kuhusu elimu na kufanya bidii huku watu wa aina nyingine wakipuuzia na matokeo yakawa hivyo hivyo.na ukichunguza utakuta tofauti za kimtazamo juu ya elimu zililetwa na utamaduni wa watu husika.na utamaduni wa mwafrika uko influenced sana na mchanganyiko wa mambo mawili,dini na mahali mtu anapotokea au kabila.hivi vitu nimeviona sana mashuleni,vyuoni na mitaani kuwa sababu kuu ya kututofautisha kimtazamo juu ya elimu.waliokuwa na utamaduni unaowainfluence kusoma walisoma,na wale waliokuwa na tamaduni hasi juu ya elimu hawakusoma.leo hii wote tumeelewa umuhimu wa elimu,basi tusitafute mchawi,TUSOME.
Mdini mkubwa wewe,hakuna muislamu asiyejua umuhimu wa elimu ndio maana waislamu walijitolea kudai uhuru wa nchi hii kwa sababu walikoseshwa elimu na shule za kanisa kabla ya uhuru,wakristo wa kikoloni walitumia shule na huduma ya afya kuwabatiza watu ndio maana wazee wa kiislamu waliogoma kuwapeleke watoto wao kwenye shule hizi.
Kabla ya uhuru waislamu hawakuwachukia wakristo waafrika ndio maana walimkaribisha Baba wa kanisa Nyerere katika harakati za uhuru japo wakristo wote walikuwa kanisani wakimsifu mkoloni mkristo.
wazee watu wa kiislamu walimuambia wazi Baba wa Kanisa Nyerere kwamba tatizo letu ni elimu na hatuwezi kuwapeleka vijana wetu wakabatizwe kwenye shule za kanisa hivyo tunakuomba baada ya uhuru tuondoe upogo uliopo wa kielimu baina ya waislamu na wakristo.
Baada ya uhuru baba wa kanisa Nyerere akawageuka waislamu,akijaifanya anapiga vit udini kumbe muongo anapiga vita uislamu na kulipa kanisa better chance,akauhamishia mfumo kristo katika serikali huku akijafanya anapiga vita udini.
Kipindi chote tokea uhuru mpaka mwaka 1970 Baba wa kanisa Nyerere alikuwa kwenye mapambano na waislamu akitumia kila njia kuwadhibit waislamu mpaka pale alipofanikiwa kuunda BAKWATA a.k.a Kitengo cha usalama wa taifa cha kuwadhibiti waislamu.
Kuanzia mwaka 1970 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80 waislamu walidhibitiwa kupitia kitengo cha usalama wa taifa BAKWATA,madai ya waislmu yote ya kabla na baada ya uhuru yalizimwa kupitia BAKWATA,hivyo baba wa kanisa Nyerere aliwadhibiti waislamu kupitia BAKWATA huku akijifanya anapinga udini.
Mwanzoni mwa miaka ya 90 madai ya waislamu yakaibuka tena kwa nguvu kidogo Mzee Mwinyi akivunje kitengo cha usalma wa taifa BAKWATA,lakini baba wa kanisa Nyerere akaibuka na kuvunja jaribio la kuvunjwa BaKWATA.
Tokea mwanzoni mwa miaka ya 90 waislamu wamekuwa wakilalamikia huu mfumo kristo unaoendesha serikali,lakini serikali iliyojaa wakristo imekuwa ikiwadharau na kuwakejeli waislamu kama wewe unavyafanya hapa.
Sasa wakati umefika tuvunje mfumo kristo ulioasisiwa na Baba wa kanisa Nyerere na tujenge taifa la watanzania wenye hadhi sawa ndani ya taifa letu,vinginevyo tutaendelea kuimba wimbo wa Amani na hakuan Amani itakayopatikana kwa maneno yenu ya kejelina dharau munayoyaendeleza dhidi ya waislamu