Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

Huu ni wendawazimu mwingine wa wsomi wetu. They seldom give any solution to the problems facing the nation.
1. Uchambuzi wa tatizo la udini ni wa kiwango cha chini sana - sidhani kama umefikia viwango vya kuitwa kuwa umefanywa na wasomi wetu.

2. Mapendekezo ya ni nini kifanyike nayo ni ya jumla jumla (kama vile ni story ya kijiweni)

3. Mapendekezo hayajaweza kusema nani awajibike - au ni nani atekeleze (maana kusema serikali ni jumla tuu)

4. Wameandikia hili tamko bar, halionyeshi choxhote kipya.
 
Nikiwa mwaka nilikuja kubadilisha pasipoti yangu,pale uhamiaji walisumbua nikakapelekakila kitu walichohotaji,usumbufu ukaendelea mpka zikabaki siku mbili tiketi yangu ihishe muda wake ndio wakaniambia unahitwa na bosi.

Nikaenda kwa Bosi,basi nikakutana na wakala wa mfumo kristo akinambia hutapewa pasport kwasababu wewe sio raia wa nchi hii,nakamuangalia usoni kisha nikamuuliza kuan mtu aliyedhaliwa kilwa akawa sio raia,akaniambia nimeshakuambia wewe sio raia,nikamuuliza tena mbona mwanzo mulinpa pasport,akataka kunifukuza,nikagoma na kumuambia nimekugundua wewe ni wakala wa mfumo kristo unataka nishinde kurudi chuo hili nikauze dagaa kisha musema waislamu hatupendi kusoma.

Nikamuambia usiponipa pasport leo utaenda kujibu kesi hii kw bosi na utanikatia pasport,na nikichelewa chuo utanifutia chuo wewe,kasha nikatoka nje ya ofisi yake,mara akamtuma mtu aje kuniita niakenda kule akaniambia unajua nilishachafua faili lako hivyo itabidi uandike barua kwa mkurugenzi wa uhamiaji ili tuweze kukupa pasport leo.Nikamwambia siandiki barua kisha nikatoka,akamtuma tena yule akaja kuniambia unajua ndugu yangu mzee ameshakwama kwa hiyo wewe andika tu barua tumsaidie,nikaandika baraua kwa mkurunze,wakaniambia nifuate pasport saa nane.

Nilipoenda saa nane nikaikuta pasport ya moto imetoka kwenye mtambo muda huo huo,jamaa likaniambia umetusumbua wewe maana imebidi tuvunje utaratibu hili tukutengezee pasport leo,sikumjibu nikasaini na kutimka zangu.

Nchi imejaa mawakala wa mfumo kristo hii,we acha tu

Ni mwaka gani huo ulipokutana na 'mfumo-kristo?
Na inamaana 'ulisumbuliwa' kwa sababu ya dini au kuna jambo/mambo mengine?

Kuhusu rushwa na mfumo kristo, Somalia, Afghanistan nao watasema rushwa ni kwa sababu gani?
 
Mdini mkubwa wewe,hakuna muislamu asiyejua umuhimu wa elimu ndio maana waislamu walijitolea kudai uhuru wa nchi hii kwa sababu walikoseshwa elimu na shule za kanisa kabla ya uhuru,wakristo wa kikoloni walitumia shule na huduma ya afya kuwabatiza watu ndio maana wazee wa kiislamu waliogoma kuwapeleke watoto wao kwenye shule hizi.

Kabla ya uhuru waislamu hawakuwachukia wakristo waafrika ndio maana walimkaribisha Baba wa kanisa Nyerere katika harakati za uhuru japo wakristo wote walikuwa kanisani wakimsifu mkoloni mkristo.

wazee watu wa kiislamu walimuambia wazi Baba wa Kanisa Nyerere kwamba tatizo letu ni elimu na hatuwezi kuwapeleka vijana wetu wakabatizwe kwenye shule za kanisa hivyo tunakuomba baada ya uhuru tuondoe upogo uliopo wa kielimu baina ya waislamu na wakristo.

Baada ya uhuru baba wa kanisa Nyerere akawageuka waislamu,akijaifanya anapiga vit udini kumbe muongo anapiga vita uislamu na kulipa kanisa better chance,akauhamishia mfumo kristo katika serikali huku akijafanya anapiga vita udini.

Kipindi chote tokea uhuru mpaka mwaka 1970 Baba wa kanisa Nyerere alikuwa kwenye mapambano na waislamu akitumia kila njia kuwadhibit waislamu mpaka pale alipofanikiwa kuunda BAKWATA a.k.a Kitengo cha usalama wa taifa cha kuwadhibiti waislamu.

Kuanzia mwaka 1970 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80 waislamu walidhibitiwa kupitia kitengo cha usalama wa taifa BAKWATA,madai ya waislmu yote ya kabla na baada ya uhuru yalizimwa kupitia BAKWATA,hivyo baba wa kanisa Nyerere aliwadhibiti waislamu kupitia BAKWATA huku akijifanya anapinga udini.

Mwanzoni mwa miaka ya 90 madai ya waislamu yakaibuka tena kwa nguvu kidogo Mzee Mwinyi akivunje kitengo cha usalma wa taifa BAKWATA,lakini baba wa kanisa Nyerere akaibuka na kuvunja jaribio la kuvunjwa BaKWATA.

Tokea mwanzoni mwa miaka ya 90 waislamu wamekuwa wakilalamikia huu mfumo kristo unaoendesha serikali,lakini serikali iliyojaa wakristo imekuwa ikiwadharau na kuwakejeli waislamu kama wewe unavyafanya hapa.

Sasa wakati umefika tuvunje mfumo kristo ulioasisiwa na Baba wa kanisa Nyerere na tujenge taifa la watanzania wenye hadhi sawa ndani ya taifa letu,vinginevyo tutaendelea kuimba wimbo wa Amani na hakuan Amani itakayopatikana kwa maneno yenu ya kejelina dharau munayoyaendeleza dhidi ya waislamu

Ndugu yangu nakusifu sana kwa kulieleza hili suala kwa kirefu zaidi,kwa ujumla hii nchi inamfumi kristo ambao pindi unapoutaja basi lazima uambulie matusi,Baba wa taifa ndie aliuenzi mfumo huu kwani aliamua kwa makusudi kabisa kuwatosa waislamu mara tuu baada ya uhuru.BAKWATA kwa upande fulani ni chombo cha kuwapumbaza waislamu pindi tuu wanapoanza kutaka kuchukua haki zao,nakuhakikishia kuwa bila kuwafanya hawa wenye mfumo kristo kujua kwamba tunahitaji haki iliyopokwa basi wataendelea kusumbua daima.
Msiba mwingine ambao tusubiri unakuja soon ni huu wa kutawaliwa na padre, mimi kwa ujumla sitompa kura yangu labda awe mgombea mwingine.Mimi ni mpinzani ila kura yangu simpi huyo mgombea. mana najua viapo vyao vya kazi huwaga ni vigumu kuviacha.Hawezi kutosa ethics za kazi yake ya upadre hata iweje!!
 
Ukiogopa mamba hata ukiona ujiti usiku utasema mamba.

Watu wakikwambia hapo palikuwa na tatizo la rushwa tu, watu walikuwa wanataka rushwa, hayo ya mfumokristo ni yako utasemaje?

Kipi kinachokufanya uamini hapo tatizo lilikuwa ni mfumokristo na wala si rushwa?

Unataka kusema wakristo hawasumbuliwi uhamiaji?

Unajua tangu uhuru mawaziri wangapi waislamu wamepita hapo?

Kama kuna mfumokristo, mfano wako wa hapo juu haujaumulika bado.

Kwanza kabisa nilikuwa mwaka wa nne chuo 2008.

Pili halikuwa tatizo la rushwa,mimi namjua mtu anayetaka rushwa na namjua wakala wa mfumo kristo.Huyu jamaa alikuwa wakala wa mfumo kristo,na alizamilia kweli aninyime pasport,maana nilipokataa kandika barua yule dada aliniletea fail langu,yule mzee alikumwa ameshaandika kwenye fail langu zamani kwamba nisipewe pasport eti mimi sio raia.Mwera wa Kilwa anakuwa sio raia wa nchi hii,ajabu sana.

Ndugu zangu acheni kuktetea huu mfumo kristo utatumaliza sote bila ya kujali dini zetu
 
Ni mwaka gani huo ulipokutana na 'mfumo-kristo?
Na inamaana 'ulisumbuliwa' kwa sababu ya dini au kuna jambo/mambo mengine?

Kuhusu rushwa na mfumo kristo, Somalia, Afghanistan nao watasema rushwa ni kwa sababu gani?

Mwaka gani,nimejibu hapo juu,na usumbufu niliopata ulikuwa wa kidini nimetoa sababu hapo juu,kwa faida zaidi ngoja nikuongezee kisa kingine

Mwaka huo huo 2008 walipokuwa wananisumbua kunibadilishia pasport,nilimfuata aliyekuwa kiongozi wa Jumuhiya ya wanafunzi wa kiislamu pale UDSM(MSAUD)wakati mimi nipo sekondari ili kumtamka ushauri baada ya kugundua tatizo sio wanahitaji rushwa.Yule kaka yangu naye akaniambia wakati yeye alipokuwa kiongozi wa MSAUD alipata nafasi ya kuhudhuria kongamano la wanfunzi wa kiislamu Duniani lililokuwa linafanyika Uturuki,mawakala wa mfumo kristo pale uhamiaji walimsumbua wakamwambia yeye sio raia wa nchi hii wakati yeye ni Mluguru wa marogoro.Mpaka naongea nae ilikuwa imeshapita miaka mitano na pasport hajapewa,kisa fail lake limeandikwa sio raia wa nchi hii cha ajabu hawamkamati wakamrusha nchini kwake.Chezea mfumo kristo wewe
 
Mfano mwingine wa mfumo kristo niliokutananao katka nchi hii.

Nilivyoreport kwenye kituo changu cha kazi nikamkuta kijan mmoja wa kiislamu ni mtumishi hapa chuoni elimu yake ni ya cheti,akaniambia;
"Bora umekuja wewe wanakuogopa kidogo maana mimi nilikuwa nikienda kuswali Ijumaa wasema Al-qaida huyo anaenda msikitini.Kukiwa na suala lolote la pesa ndani yake kukiwa na jina langu basi mkuu wa chuo ima atalikata jina langu au hatopitisha kabisa hilo dokezo"

Chezea mawakala wa mfumo kristo katika nchi hii,baba yao wa kanisa Nyerere aliwaandaa vizuri,wakija kwenye public wanajifanya wanapinga udini
 
Kwanza kabisa nilikuwa mwaka wa nne chuo 2008.

Pili halikuwa tatizo la rushwa,mimi namjua mtu anayetaka rushwa na namjua wakala wa mfumo kristo.Huyu jamaa alikuwa wakala wa mfumo kristo,na alizamilia kweli aninyime pasport,maana nilipokataa kandika barua yule dada aliniletea fail langu,yule mzee alikumwa ameshaandika kwenye fail langu zamani kwamba nisipewe pasport eti mimi sio raia.Mwera wa Kilwa anakuwa sio raia wa nchi hii,ajabu sana.

Ndugu zangu acheni kuktetea huu mfumo kristo utatumaliza sote bila ya kujali dini zetu

Inawezekana unayosema ni sahihi kabisa.

Na mimi sipingi kwamba hakuna mfumokristo maana sijafanya uchunguzi wa kutosha kujiridhisha hivyo.

In fact as far as I am concerned a big part of the world is driven by mfumokristo, angalia the dominant calendar is the Christian calendar. Siwezi kukubishia kwamba kulikuwa na mfumokristo.

As a matter of fact kwangu mimi mfumo wowote wa dini katika kuongoza nchi ni upumbavu, najulikana kwa secular humanism na atheism zaidi ya kushabikia dini yoyote, so why would I protect mfumokristo?

Ninachokubishia ni kwamba, mfano wako hauja demonstrate kwamba kulikuwa na mfumokristo hapo.

Utabakia kusema tu "mimi najua kulikuwa na mfumo kristo", lakini huwezi kujenga a case ukatuconvince wenye kuangalia ushahidi kwamba hapo kulikuwa na mfumokristo.

Uhamiaji wakimbizi wa Kisomali kibao wanapewa pasi za Tanzania kinyume na taratibu, naongelea kwa mafungu, sio mmoja mmoja. Na baadhi ya wanaotoa pasi "wakristo", kwa rushwa.

Kama kuna mfumokristo kihivyo pale wanapewaje pasi wale?
 
Mfano mwingine wa mfumo kristo niliokutananao katka nchi hii.

Nilivyoreport kwenye kituo changu cha kazi nikamkuta kijan mmoja wa kiislamu ni mtumishi hapa chuoni elimu yake ni ya cheti,akaniambia;
"Bora umekuja wewe wanakuogopa kidogo maana mimi nilikuwa nikienda kuswali Ijumaa wasema Al-qaida huyo anaenda msikitini.Kukiwa na suala lolote la pesa ndani yake kukiwa na jina langu basi mkuu wa chuo ima atalikata jina langu au hatopitisha kabisa hilo dokezo"

Chezea mawakala wa mfumo kristo katika nchi hii,baba yao wa kanisa Nyerere aliwaandaa vizuri,wakija kwenye public wanajifanya wanapinga udini

Tuambie ni kituo kipi cha kazi tuwafuate huko huko tukawashughulikie hao "Mfumo Kristo"....usisahau kumtaja na yule afisa Uhamiaji aliyekusumbua ili naye tumshughulikie......."hao wafuasi wa Nyerere".......hakuna kulala.....
 
Ukiogopa mamba hata ukiona ujiti usiku utasema mamba.

Watu wakikwambia hapo palikuwa na tatizo la rushwa tu, watu walikuwa wanataka rushwa, hayo ya mfumokristo ni yako utasemaje?

Kipi kinachokufanya uamini hapo tatizo lilikuwa ni mfumokristo na wala si rushwa?

Unataka kusema wakristo hawasumbuliwi uhamiaji?

Unajua tangu uhuru mawaziri wangapi waislamu wamepita hapo?

Kama kuna mfumokristo, mfano wako wa hapo juu haujaumulika bado.
Kiranga, afadhali kama umeanza kuuona udhaifu wa huyu ndugu yako Nguvukazi, kwake yeye hakuna usumbufu wowote wa kimaisha anaouweza kuupata na akaona ni maisha ya kawaida yanayohusiana na rushwa au urasimu wa kawaida katika nchi zetu. Yeye kila kitu nimfumo kristo hata mimi tayari ameniita wakala wa mfumo kristo, na nadhani hisia hizi zipo mpaka nyumbani kwake, kwangu mimi naona jamaa amefikia pabaya anahitaji msaada.
 
Wanasaikolojia wana kitu kinaitwa "obsessive paranoia", aka Paranoid Personality Disorde. Kwa zaidi soma hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Paranoid_personality_disorder

Yaani mtu mwenye tatizo hili la "obsessive paranoia", ambalo mara nyingi linaweza kuwa dalili ya magonjwa mengine ya akili, anaweza kukwambia kabisa kwamba kuna majasusi wa serikali wanamfuatilia. Au Uhamiaji kuna "mfumokristo".

Akiingia kwake na kukuta kitaa tu kinawakawaka kwenye ki toi cha mtoto, atakwambia "unaona hiki kitaa? Serikali inanitafuta imenipandikizia vyombo vya kurekodi sauti, hivyo tuongee kwa sauti za chinichini humu ndani, au tutoke kabisa tuende kuongea nje"

Huyu jamaa, kwa kadiri ya alivyoleta mfano wake hapa na kuulinganisha ma "mfumokristo", naye ana some sort of "obsessive paranoia".

Tatizo kwetu magonjwa ya akili mpaka mtu uokote makopo na kula majaani ndo unakubalika.
 
Wanasaikolojia wana kitu kinaitwa "obsessive paranoia", aka Paranoid Personality Disorde. Kwa zaidi soma hapa Paranoid personality disorder - Wikipedia, the free encyclopedia

Yaani mtu mwenye tatizo hili la "obsessive paranoia", ambalo mara nyingi linaweza kuwa dalili ya magonjwa mengine ya akili, anaweza kukwambia kabisa kwamba kuna majasusi wa serikali wanamfuatilia. Au Uhamiaji kuna "mfumokristo".

Akiingia kwake na kukuta kitaa tu kinawakawaka kwenye ki toi cha mtoto, atakwambia "unaona hiki kitaa? Serikali inanitafuta imenipandikizia vyombo vya kurekodi sauti, hivyo tuongee kwa sauti za chinichini humu ndani, au tutoke kabisa tuende kuongea nje"

Huyu jamaa, kwa kadiri ya alivyoleta mfano wake hapa na kuulinganisha ma "mfumokristo", naye ana some sort of "obsessive paranoia".

Tatizo kwetu magonjwa ya akili mpaka mtu uokote makopo na kula majaani ndo unakubalika.
Heshima zote Mkuu, umechanganua kitaalamu na kwa namna inayoeleweka kwa urahisi, nakubaliana na wewe kwa 100%!
 
Nguvukazi Mkono pole kwa yaliyokusibu! Lakini ulishawahi kuripot usumbufu ulioupata mahali popote? Kama ndio hebu tujuze uliyoambiwa huko!
 
Kwanza kabisa nilikuwa mwaka wa nne chuo 2008.

Pili halikuwa tatizo la rushwa,mimi namjua mtu anayetaka rushwa na namjua wakala wa mfumo kristo.Huyu jamaa alikuwa wakala wa mfumo kristo,na alizamilia kweli aninyime pasport,maana nilipokataa kandika barua yule dada aliniletea fail langu,yule mzee alikumwa ameshaandika kwenye fail langu zamani kwamba nisipewe pasport eti mimi sio raia.Mwera wa Kilwa anakuwa sio raia wa nchi hii,ajabu sana.

Ndugu zangu acheni kuktetea huu mfumo kristo utatumaliza sote bila ya kujali dini zetu

Mdogo wangu kwa kusoma maandishi yako inaonyesha wewe changamoto wanazo kutana nazo wenzako na kuona ni jambo la kawaida amabalo linawakilisha mfumo wa urasimu na rushwa serikalini,kwako unaona ni umefanyiwa hivyo kwasababu wewe ni Mwislamu. Umeanza kusoma shule Mwalimu Nyerere ameisha achia uongozi wa Tanzania,lakini unamshutumu na kumbebesha misalaba hasiyohusika. Utawala wa Nyerere,waoto na vijana wa Tanzania walisomeshwa kwa pesa za walipa kodi bila kujali rangi ya mtu,kabila na dini ilimradi mwanafunzi amefaulu kuingia shule/chuo cha umma. Sera ya kuchangiaz gharama ilianza ktk utawala wa Mwislamu mwenzako Mwinyi. Mpaka Mwalimu anafariki hakuwahi kuunga mkono sera hii kwasababualijua watoto wa wananchi masikini watashindwa kusoma shule. Lakini wewe unamlaumu Nyerere! Kuna Wahaya wengi tu wamenyimwa/kusumburiwa kupata passport waakiambiwa siyo raia,sasa nao wadai ni kwasababu ya Ukristo/Uislamu wao?
 
Ni aibu na kujidhalilisha kwa wasomi hawa kukaa chini na kujadili chanzo cha ukosefu wa amani bila ya kuitaja DHULMA ambayo ndicho chanzo kikuu.

Sideeq kama ni kosa limeshatokea tunahitaji suluhisho.Na suluhisho siyo kuchinjana au kuchinja viongozi wa dini.
 
By nguvukazi mikono Labda munataka ushahidi kutoka mbinguni ulioyoyushwa na mungu wenu Yesu ndio mujue huu ni ushahidi,endelezeni mfumo kristo huku mukipiga ngonjera za kutaka Amani.

Ukweli Amani ya nchi hii tokea uhuru ilibebwa na waislmu kwa uvumilivu wao na kwa vile waislamu hivi sasa wamechoka kudhulumiwa hakutakuwa na Amani katika nchi hii mpaka tutakapo kubali kujenga taifa la watanzania walio sawa,mmezoea kuwafanya waislmu kuwa raia wa daraja la pili ndani nchi yao,sasa basi)

Hivi wewe una akili timamu kweli? Uislam wako umeuokota msalani. Kwa nini unatukana dini za wenzako? Kwa hiyo wakristo na wasio wakristo hawakushiriki katika kujenga taifa hili ila Ponda na Ilunga.
 
Ukweli na tatizo letu na adui namba moja ni UMASIKINI sio dini,wala kabila au kanda yoyote ya nchi,na haya yana sababishwa na viongozi wetu,kama kweli tunapinga udini na ukabila,kuanzia leo tupinge machapicho yote katika maofisi(form za maelezo binafsi)kuwa na kipengele cha dini,na makabila kiondolewe,sijajua kina umuhimu gani katka form za ajira,maombi ya kujiunga na masomo,wakati serikali haina dini,kuna baadhi ya viongozi wamechangia kuingiza hilikatika nchi yetu,kuna baadhi ya viongozi walisema CUF ni chama cha dini fulani,pia wanasema CDM nao chama cha dini fulani,siwai kusikia wapinzani wakisema CCM ni chama cha dini fulan,leo watoke barazan na waombe radi watanzania,mwisho,UMASIKINI HAUNA DINI WALA KABILA,UJINGA HAUNA DINI WALA KABILA,NK

Hapana tatizo letu nambari one ni UJINGA. Umaskini tulionao kama nchi na kwa mtu mmoja mmoja ni matokeo ya kiwango cha juu cha ujinga wa viongozi na wananchi kwa ujumla wake. Na kwa bahati mbaya tumeamua kuwekeza zaidi kwenye ujinga.
 
Watakufa kwanza Maaskofu na Padri waliondaa na kuuendeleza mfumo kristo,nyinyi makabwela wenzetu tunaoishi pamoja kwenye nyumba za kupanga na kuombana chumvi na moto hatuna shida na nyinyi.

Wewe ni mgonjwa lakini bahati mbaya hujitambui! Kwa hiyo Masheik na Maimamu watasalimika?
 
Adharusi,

Kuna ukweli fulani kwenye maelezo yako. Naomba nitofautinae na wewe kuhusiana na hili la kuondoa kipengere cha DINI kwenye fomu za kuomba kazi,pass,kupiga kura n.k.

Kumbuka kwamba kulinga na Katiba ya JMT,serikali HAINA DINI. Lakini watu wake (Watanzania) wana DINI na IMANI zao tafauti tofauti. Kuna Waislamu,Wakristo,Wahindu,Buddha,Wapagani n.k. Katiba yetu iko wazi na imewapa Watu wake kuabudu DINI yoyote wanayotaka maadamu tu hawavunji sheria za nchi.

Swala la kujua imani ya Mtanzania ni la msingi. Kila IMANI ina miiko yake. Sisi ni jumuia mchanganyiko katika mikusanyiko mbalimbali kama shule,vyuo,hoteli,usafiri n.k. Ni muhimu kujua imani ya Mtanzania kuepuka kukwazana au kukashfu dini ya mwingine. Mfano halisi ni shuleni: Kuna shule za Kilimo zinakuwa na miradi ya ufugaji wa wanyama kama NGURUWE, kwa imani ya Mwislamu si sahihi kumlisha nyama ya nguruwe au kumpa kazi ya kuwahudumia wanyama kama nguruwe. Kumlazimisha mwanafunzi wa Kiislamu ale au ahudumie nguruwe ni kutaka kumdhalilisha kiimani au kukashfu dini yake.

Lakini kama uongozi wa shule,chuo,hoteli wanajua imani ya jumuia waliyo nayo itakuwa rahisi kuepuka migogoro kama hiyo.

Nimalize kwa kusema kuwa tangu wakti wa Mkoloni na baada ya Uhuru hatukuwahi kusikia migogoro ya kidini kama ilivo sasa. Migogoro ya UDINI imeanza kuibuka wakti wa AWAMU HII YA MHE. KIKWETE!!!!Hapa ndipo mahali pa kuanzia. Why now???Kwa Baba wa Taifa-Nyerere(RIP) hatukusikia ujinga huu, wakti wa Mwinyi hakuna, wakti wa Mkapa hakuna. Sasa kwanini hizi chokochoko za udini zianze katika awamu hii ya Kikwete???Something,somewhere must be very very awkward.

Bila ya kumung'unya maneno niseme kwamba Rais Jakaya Kikwete ni muasisi wa UDINI!!!Kikwete ndiye aliyeanza longolongo za kutaka kuanzisha MAHAKAMA TA KADHI kwa mara kwanza. Katika ILANI ya Uchaguzi ya CCM mwaka 2005 Jk bila aibu alianza kujinadi kwa sera dhaifi kabisa ya UDINI. Hili lilikuwa ni kosa kubwa sana ambalo kwa sasa limeanza kugharimu uhai na maisha ya Watanzania!!!

Sijui Kikwete alikuwa nafikri nini hasa katika kuanza kujinadi kwa sera za UDINI.Hizi tunaweza kusema tu kiukweli kabisa kuwa Kikwete bila shaka hakuwahi kufikiria kuwa kuanza kuwatangazia Watanzania kuwa atawapa Mahakama ya Kadhi kwa mwavuli wa siasa ilikuwa ni kosa. Yeye akiwa mwislamu hakupashwa kuonyesha dalili yoyote ya kutaka kuanzisha jambo fulani la kidini tena dini ya IMANI aliyo nayo.

Hapa Kikwete alianza kujibainisha kuwa YEYE KAMA MWISLAMU BASI ANAWEZA KUWAFANYIA WAISLAMU WENZAKE JAMBO FULANI KWA KUTUMIA MAMLAKA YA URAIS!!!!!Hili liko wazi na JK amerithibitisha hilo hata katika uteuzi wake wa Mawaziri, Makatibu wakuu,Wakuu wa Mikoa/Wilaya,Wakurugenzi wa Halimashauri na Wakurugenzi mbalimbali. Hili si jambo la kifichi na liko wazi kwa kila Mtanzania.

Iko mifano mingi ambayo JK ameonyesha wazi kutaka kuwapendelea Waislamu hata pale migogoro ya kidini kati ya Waislamu na Wakristo. Kama Rais alitakiwa awe amemaliza tatizo hili siku nyingi. Haiwezekani president uone waumini wa dini yako ya Kiislamu wakichoma moto nyumba za ibada(makanisa),wakichinja Mkristo kwasababu tu ya kuchinja wanyama na uwe umenyamaza kimya!!!!!

Swala kama la kuchinja wanyama haliko Kikatiba wala Kisheria. Kwanini kama Mkuu wa nchi upeleke wawakilishi wako kama Mkuu wa Mkoa na Waziri katika Ofisi ya Rais kwenda kutatua mgogoro wa Uchinjaji na uwaambie kuwa waambieni Watanzania kwamba ati MWENYE HAKI YA KUCHINJA WANYAMA NI MWISLAMU?????

Hapa kuna kasoro kubwa ya kiuongozi. Tuna Rais DHAIFU, ambaye hawezi kupambanua mambo kwa kina!!!Kikwete na chama chake cha CCM ndiye mwanzilishi wa Udini hapa Tanzania!!!
 
Binafsi naona tamko zuri! Kuna eneo moja tu wamekose, kwenye mapendekezo na. 3 utofauti wa kielimu kati ya dini hizi ulianza enzi za ukoloni! Hivyo baada ya uhuru uliendelea na kuendelezwa!

Nahisi ulizaliwa 1981 ndo pengine hujui tofauti kati ya elimu wakati wa ukoloni na baada ya kupata uhuru.
 
Back
Top Bottom