Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

kivipi?nani aliyeuendeleza ikiwa watu wamepokonywa hadi shule kwa maslahi ya kila mtanzania?kuna ukweli mmoja lazima tuuseme hapa.tulipopokea dini hizi waliotuletea walituachia na tamaduni zao nyingine.wakati na baada ya ukoloni elimu ilionekana utamaduni wa mzungu.hivyo waliopokea dini isiyo ya mzungu hawakupenda kwenda shule.waliopokea dini ya mzungu walipenda kwenda shule.leo tofauti inaonekana halafu tunamsingizia mkoloni.mkoloni anaingiaje hapa wakati alishatuachia nchi tuendeshe wenyewe?wengine wanamsingizia Nyerere wakati mzee wa watu hadi leo kuna watu wana kisirani nae kwa kutaifisha shule zao kwa maslahi ya wote.roho yangu inauma kuona watz hatuna nia ya dhati ya kulitafutia ufumbuzi tatizo kwani bado tunalaumiana kwa mambo yasiyokuwepo.jamani,nchi inaangamia,tukubali makosa,tujirekebishe,tusonge mbele pamoja.sie tuliokaa madarasani tunaujua ukweli.ilikuwa ni kawaida kukuta watu wa aina moja wakiwa na mtazamo chanya kuhusu elimu na kufanya bidii huku watu wa aina nyingine wakipuuzia na matokeo yakawa hivyo hivyo.na ukichunguza utakuta tofauti za kimtazamo juu ya elimu zililetwa na utamaduni wa watu husika.na utamaduni wa mwafrika uko influenced sana na mchanganyiko wa mambo mawili,dini na mahali mtu anapotokea au kabila.hivi vitu nimeviona sana mashuleni,vyuoni na mitaani kuwa sababu kuu ya kututofautisha kimtazamo juu ya elimu.waliokuwa na utamaduni unaowainfluence kusoma walisoma,na wale waliokuwa na tamaduni hasi juu ya elimu hawakusoma.leo hii wote tumeelewa umuhimu wa elimu,basi tusitafute mchawi,TUSOME.
Nakupigia saluti Mkuu! Utamaduni ule ndio unaendelea hata sasa! Nashangaa kuwa hawaoni kuwa Mwalimu Nyerere aliwabeba sana kwa kutaifisha shule za kanisa ili angalao wasome. Utamaduni wa dini yao sio wa Elimu dunia bali elimu akhera. System yao ya elimu inaishia kusoma juzuu katika madrasa misikitini1 Siwatukani maana ninawapenda lakini nawaambia ukweli. Chunguza Vyuo vikuu binafsi. Vya kanisa ni vingi at least kila kanda au mkoa una chuo kikuu cha kanisa! wakati wao walipewa majengo na serikali waanzishe na bado hakipo katika kiwango. Kulalamika eti mfumo Kristo hakuwasaidii hata kidogo. Na ile tofauti itaendelea kuwepo. Nafurahia jambo moja kuwa hata katika vyuo vikuu vya Kanisa hawabaguliwi kama ambavyo sio rahisi kwa mkristo kusoma katika chuo chao. Dawa sio kupambambana na kuendeleza kauli za Sisi Waislamu, wao Makafiri. Wote ni Watanzania! Hiyo ingetosha kabisa. Si vema kumfikiria mtu yeyote kwa dini yake bali kwa Utanzania wake na hasa uzalendo wake!!
 
Ni aibu na kujidhalilisha kwa wasomi hawa kukaa chini na kujadili chanzo cha ukosefu wa amani bila ya kuitaja DHULMA ambayo ndicho chanzo kikuu.

mmeishaanza, nilijua wenye mwelekeo kama huu hawatakosa..angalia comment #3 hapo naye keshatoka kihivyo
 
Niliyoiona point hapo ni moja tu ya kuondaa matabaka katika elimu,hili ni suluhisho kwa matizo yote.Watu wote wakapata fursa sawa ya elimu,pia wapata tena fursa sawa kati ajira,ina maana kila mtu atakuwa busy kulitumikia Taifa na akirudi usiku nyumbani anakuwa amechoka hana muda tena wa kushughulika na watu wengine.Ubaguzi una madhara sana.
 
Mdini mkubwa wewe,hakuna muislamu asiyejua umuhimu wa elimu ndio maana waislamu walijitolea kudai uhuru wa nchi hii kwa sababu walikoseshwa elimu na shule za kanisa kabla ya uhuru,wakristo wa kikoloni walitumia shule na huduma ya afya kuwabatiza watu ndio maana wazee wa kiislamu waliogoma kuwapeleke watoto wao kwenye shule hizi.

Kabla ya uhuru waislamu hawakuwachukia wakristo waafrika ndio maana walimkaribisha Baba wa kanisa Nyerere katika harakati za uhuru japo wakristo wote walikuwa kanisani wakimsifu mkoloni mkristo.

wazee watu wa kiislamu walimuambia wazi Baba wa Kanisa Nyerere kwamba tatizo letu ni elimu na hatuwezi kuwapeleka vijana wetu wakabatizwe kwenye shule za kanisa hivyo tunakuomba baada ya uhuru tuondoe upogo uliopo wa kielimu baina ya waislamu na wakristo.

Baada ya uhuru baba wa kanisa Nyerere akawageuka waislamu,akijaifanya anapiga vit udini kumbe muongo anapiga vita uislamu na kulipa kanisa better chance,akauhamishia mfumo kristo katika serikali huku akijafanya anapiga vita udini.

Kipindi chote tokea uhuru mpaka mwaka 1970 Baba wa kanisa Nyerere alikuwa kwenye mapambano na waislamu akitumia kila njia kuwadhibit waislamu mpaka pale alipofanikiwa kuunda BAKWATA a.k.a Kitengo cha usalama wa taifa cha kuwadhibiti waislamu.

Kuanzia mwaka 1970 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80 waislamu walidhibitiwa kupitia kitengo cha usalama wa taifa BAKWATA,madai ya waislmu yote ya kabla na baada ya uhuru yalizimwa kupitia BAKWATA,hivyo baba wa kanisa Nyerere aliwadhibiti waislamu kupitia BAKWATA huku akijifanya anapinga udini.

Mwanzoni mwa miaka ya 90 madai ya waislamu yakaibuka tena kwa nguvu kidogo Mzee Mwinyi akivunje kitengo cha usalma wa taifa BAKWATA,lakini baba wa kanisa Nyerere akaibuka na kuvunja jaribio la kuvunjwa BaKWATA.

Tokea mwanzoni mwa miaka ya 90 waislamu wamekuwa wakilalamikia huu mfumo kristo unaoendesha serikali,lakini serikali iliyojaa wakristo imekuwa ikiwadharau na kuwakejeli waislamu kama wewe unavyafanya hapa.

Sasa wakati umefika tuvunje mfumo kristo ulioasisiwa na Baba wa kanisa Nyerere na tujenge taifa la watanzania wenye hadhi sawa ndani ya taifa letu,vinginevyo tutaendelea kuimba wimbo wa Amani na hakuan Amani itakayopatikana kwa maneno yenu ya kejelina dharau munayoyaendeleza dhidi ya waislamu
Nimesoma mara kadhaa hii post,na nyingine ambazo umechangia ktk hii sredi,niseme wazi kwamba hata hao Waislamu wa Tanzania unaozungumzia haufahamu hata mazingira wanayoishi! Usipende kuchukulia matatizo yako binafsi,familia yako na eneo unalotokea kwamba yanawakilisha Waislamu wote ktk Tanzania. Kuna maeneo ktk Tanzania Waislamu walitambua elimu dunia mapema,na kamwe huwezi wasikia wanalalamika kama wewe! Kuna maeneo hapa Tanzania kama mikoa ya Pwani,Lindi na Mtwara wenyeji wake wanathamini kucheza ngoma,kuoa na kuolewa,issue ya shule siyo kipaumbele. Sasa kama hawa utasema mfumo umewabagua? Kuna sehemu ktk nchi yetu wao bila kujali dini zao,wao ni kufuga tu,elimu hawana habari. Hata mtoto akipelekwa shule kwa nguvu anatoroka. Mwisho niseme,changamoto kubwa mtu kupata/kukosa elimu wakati wa Mwl. Nyerere haikua dini ya mtu,bali ilikua tamaduni za jamii husika na uelewa juu ya umuhimu wa elimu kuanzia mtu binafsi na jamii husika.
 
Pengo na Padri Slaa wamesomea nini vile?ebu tuwekee CV zao tuzione hapa.Kilaza wewe yaani unajua kusoma lazima ujue kusoma herufi za kirumi!!!!!!!!!!!!Kumbe JF imajaa vilaza kama wewe

Usihangaike kutafuta digrii lukuki za mapadri!... Wewe jiulize ustaadhi ilunga ana elimu gani!.. Masheikhe wangapi wana elimu ya form four!.. Na baada ya hapo jiulize kilaza yuko wapi kwenye mafundisho ya kipaimara au madrasa?!
 
Kwani uchunguzi wa mauaji ya padre yule umekamilika? Mbona tunasikia kuwa nyumbani kwake kulikuwa kama misitu ya Colombia kwa Cocaine. Semeni ukweli mbona ripoti ya Mkenda haijatolewa lesa Umma tupate kufahamu

Wauaji wanapanga mipango ya mauaji mbele ya mfumo ISLAMU, wanajitangaza, kisha wanaua!!... Mfumo ISLAMU unaendelea kuwakumbatia!.. Hivi ustaadhi ILUNGA amekimbilia wapi?!.. Au kaambiwa ajifiche?!...
 
Hili tamko wala halijakaa kichuo kikuu kabisa. Kama mpaka UDSM nao wanatoa tamko light na empty kiasi hiki kwenye jambo zito na nyeti kama udini basi tuko pabaya mno...
 
Hili tamko wala halijakaa kichuo kikuu kabisa. Kama mpaka UDSM nao wanatoa tamko light na empty kiasi hiki kwenye jambo zito na nyeti kama udini basi tuko pabaya mno...

ZeMa.....rekebisha basi mazee......uweke tamko lako.......au dadavua ni ili tuone uwepesi wa tamko........
 
ZeMa.....rekebisha basi mazee......uweke tamko lako.......au dadavua ni ili tuone uwepesi wa tamko........

Ndugu yangu Ogah, nimesoma huo utangulizi kama mara kumi hivi lakini utangulizi huo hautoi picha halisi ya hali ya udini nchini.

1. Utangulizi wa watu wa chuo kikuu unatakiwa mtu yeyote akisoma hata kama alikuwa hajui kitu kuhusu swala hilo moja kwa moja apate picha tatizo ni nini na limeanza lini. Kiujumla utangulizi huu hauna timeline ya tatizo la udini nchini. Ukisoma huu utangulizi unaweza kudhani kuwa tatizo la udini Tanzania lilianza kwa kuchomwa kwa kanisa Mbagala na kumwagiwa tindikali kwa sheikh wa Zanzibar!!!

2. Katika mapendekezo ya utatuzi hawaonyeshi nafasi yao kama chuo kikuu wamefanya jitihada gani na wanaendelea kufanya jitihada gani za kupalilia knowledge inayodhamiriwa kuondoa tatizo la udini nchini. Katika jamii yoyote chuo kikuu kama center ya knowledge inakuwa na nafasi muhimu katika kutatua matatizo ya aina mbalimbali. Hawa wasomi wetu hawawezi hata kubuni kozi maalum za religious tolerance, multicalturalism etc. Nilitegemea katika tamko lao kuwe na sehemu inayosema "Sisi kama chuo kikuu tumefanya jitihada zifuatazo, na tutaendelea kufanya yafuatayo katika kutatua tatizo hili".

3. Hapa wanaposema "Baadhi ya wanasiasa wameingia madarakani kwa kutumia udini na ukabila na hivyo hali inapofikia watanzania kuanza kuchukiana kwa misingi ya dini wanakosa nguvu na ujasiri wa kukemea na kuzuia haya kwakuwa nao wamepitia njia hiyo". Tukiwaomba mfano wa hao wanasiasa wanaowazungumzia wanaweza kututajia majina yao? Je, wanaamini wanazo evidence za kutosha kusupprt opinion yao? Kama wasomi wanaotambua kuwa hili ni kosa la kisheria wamefanya jitihada gani kuhakikisha hali hii inapata hukumu stahiki? Kama hawajafanya chochote, tukiwaomba hizo evidence ili raia wema wachukue hatua za kisheria watakuwa tayari kuonesha uhusiano?
 
Asante sana Mkuu......heshima mbele.....
 
Nchi hii ya ajabu sana,eti hivi sasa kuna watu wanajiita wasomi ndio wanauona udini,wanasema tunavunja misingi tuliaachiwa na Nyerere?Nchi hii kweli inawasomi wa ajabu!!!!!!!!!

Nchi hii udini umaasisiwa na Nyerere mwenyewe,ngoja niwakumbushe hawa wanaojiita wasomi hivyo hawajua kwamba kanisa Katoliki lipo kwenye mchakato wa kumpatia Utakatifu Baba wa Kanisa Nyerere kwa kazi nzuri aliyolifanyia kanisa Katoliki?Kwa michakato kama hii watu wakisema nchi hii inaendeshwa kwa mfumo kristo mutasema ni wachochezi?

Acha tuivunje hii misingi ya mfumo kristo aliyoiasisi Baba wa Kanisa Nyerere.Kama tunataka amani ya kweli lazima tuvunje hii misingi ya mfumo kristo tulioachiwa na Baba wa kanisa Nyerere kisha tujenge taifa la watanzania wote.

Tukikataa kujenga taifa la watanzia wote hivi sasa basi tutalijenga baada ya vita vya kidini kama walivyojenga Rwanda na Burundi baada ya vita vya kikabila.Dhambi ya ubaguzi aliyoiasisi Baba wa kanisa Nyerere ndio inayotumaliza

Karibuni wakereketwa wa kanisa lije kuwatoka povu kwa kunikejeli na kunadharua,vyovyote mutakavyosema mutambue sasa hivi waislamu tupo katika phase ya kujikomboa kutoka katika mfumo kandamizi mfumo kristo,tumechoka na huu mfumo lazima uvunje na kama hamutaki tutapigana vita vya kidini hapo.
Ukiona Muislamu yeyote anamlaumu Nyerere na kumwita alijenga mfumo Kristo ujue huyo Mwislamu ni Juha. Maana kama Nyerere angeendeleza mfumo wa Kikoloni wa kuwa na asilimia 80 ya shule nchini ni za kanisa, kwa hakika sidhani kama hata wewe unayeandika kwenye komputer ungekuwa hata na hiyo elimu ya kuandikia hapa. Hata computer tu ungezisikia kwenye redio. Wakati mwingine muwe mnatumia akili japo kidogo kabla ya kuanza kulaumu. Kawaulize waganda walioendeleza mfumo wa elimu wa kikoloni halafu urudi hapa kuandika huu upuuzi.
 
unemployment rate 80% wewe unategemea nini katika jamii? mtu yuko tayari kuuza DVD na CD za uchochezi ili apte hella ya mkate kwa sababu hana kazi wala hana economy prosperity. Chuo kikuu cha Dae Es Salaam kimejaa wacommunisti waliokubuhu, hivyo kuongerea udini badala ya unemployment ni unafiki mtupu. eti wanauliza nini kifanyike?

Madhara ya kumfukuza mtu kama Lonho na kumnyang'anya mali zake, ndiyo kama haya hapa yatokeao huko Geita na zanzibar.. madhara ya nchi yetu kuwa na chuki mbaya dhidi ya mataifa ya kibepari , mpaka kufikia kiwango cha kupiga marufuku mashindano ya magari ya east african rally 1973, ndiyo haya tuyaonayo huko Geita

madhara ya kulishangilia azimio la arusha kuwa eti ni kiboko ya mabepari hapa nchini, ndiyo hayo yaliyotokea zanzibar mpaka padre kuuwawa na huku bara kugombani kuchinja mabuchani kwa misingi ya kidini.mauaji yale ni ya well trained and premeditated murder kutoka kwa religious fanatic.

watu wasipokuwa na kazi na halafu seriali kushindwa kutatua tatizo hili kikamilifu, madhara yake ni watu kutumiwa vibaya kuchonganisha dini.

usije ukakuta huko Oman au Iran kuna mtu kaisha nunua tani mia tano za siraha na anachongojea ni kutufanya tupigane wenyewe kwa wenyewe ili apate soko zuri la silaha.

usishangae haya ya udini, wewe chuo kikuu ngojea ya waliofeli divisio o mwaka 2012. Madhala yake utayaona mwaka huko mwaka 2018.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 2/3/2013

Utangulizi

Wapendwa waandishi wa habari. Tunaomba kupitia ninyi tuweze kuongea na watanzania wenzetu kuhusu hali ya amani ilivyo nchini mwetu kufuatia kila aina ya dalili ya watanzania kukosa uvumilivu wa kidini. Tunatambua kuwa serikali yetu imefanya mambo mazuri mengi tu nchini, hilo hatuna mashaka nalo; hata hivyo kama watanzania tunadhani kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa. Hivyo basi, tunaomba kuchukua nafasi hii kuelezea wasiwasi wetu kuhusu migogoro hii ya kidini inayozidi kukua nchini.

Migogoro hii ilianza kuvuka kama moshi lakini sasa inaanza kulipuka na kusambaa zaidi. Tumeshuhudia uchomaji moto wa kanisa kule Mbagala, kumwagiwa tindikali shekhe mmoja kule Zanzibar na Shekhe mwingine kuuawawa, kuchomwa makanisa Zanzibar, kupigwa risasi viongozi wa kikristo kule Zanzibar na pia mgogoro wa kuchinja huko Geita ambako tumeshuhudia mchungaji mmoja akiuawa.

Mbali na hayo, kuna matukio kadhaa kwenye shule zetu za sekondari yakihusisha migogoro ya kidini kati ya wakristo na waislamu. Haya tumeshahudia yakitokea sekondari za Bagamoyo, Ndanda, Kibiti, Ilboru na kwingineko. Pia yapo malalamiko yasiyo rasmi kuhusu udini kwenye sehemu za kazi na kwenye taasisi mbalimbali za serikali. Wapo wanaodai kuwa baadhi ya taasisi binafsi, za kidini na hata za serikali zinazohudumia watanzania wengi zimekuwa zikiajiri wafanyakazi kwa misingi ya kupendelea dini fulani fulani. Jambo hili hata kama ni la kuzungumzwa tu, ni vema likafanyiwa kazi maana hisia hizi zikipanuka hujenga chuki na kusababisha watanzania wasielewane.

Kwanini haya yanatokea?

Sisi wanajumuiya ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunaamini, kama taifa, kuna mahali tumechepuka na kuacha misingi tuliyoachiwa na Baba wa Taifa katika ujenzi wa taifa imara na lenye umoja. Kuna sababu kadhaa zilizotufikisha hapa tulipo, nazo ni:

1) Wanasiasa na watanzania wengi tunafuata dini zetu kwa hisia zaidi pasipo kufikiri kwa kina kuhusu yale tunayoyafanya. Tumesahau kabisa kuwa dini ni kwaajili ya kutuhusianisha na ulimwengu ujao tusioujua. Tunapaswa kumheshimu na kumthamini kila binadamu aliyeko hapa duniani. Kwa bahati mbaya baadhi yetu tunadhani kuwa ulimwengu huu umeumbwa kwaajili ya dini fulani na binadamu wengine hawana haki ya kufurahia maisha yao hapa duniani. Tunataka kutumia dini zetu kumiliki utawala wa dunia hii.

Dini zetu zimekuwa mtaji kwa baadhi ya wanasiasa na vyama vyao. Inasikitisha kuwa hakuna jitihada za kutosha zilizofanyika kuzuia wanasiasa kutumia dini kama sera au ajenda ya katika kupata kura. Baadhi ya wanasiasa wameingia madarakani kwa kutumia udini na ukabila na hivyo hali inapofikia watanzania kuanza kuchukiana kwa misingi ya dini wanakosa nguvu na ujasiri wa kukemea na kuzuia haya kwakuwa nao wamepitia njia hiyo.

2) Sababu ya pili ni kwamba hivi sasa umaskini nchini umekuwa wa kiwango cha juu. Kila mtu anatafuta jawabu la umaskini wake kwa kudhani kuwa umesababishwa na mfumo ulio nje ya maisha yake na ya serikali. Katika hali hii wamejitokeza watanzania wenzetu wanaotafuta majibu mepesi kwa kusingizia kuwa wamekuwa maskini kwasababu ya dini nyingine. Hali hii imesababishwa na ukosefu wa elimu kiasi kwamba watanzania wengi wanashindwa kuwa na uwezo wa kuchambua mambo kimantiki na badala yake wanaamini bila kuchuja lolote wanaloambiwa na viongozi wa dini au mwanasiasa au mwanaharakati. Ni vema watanzania wakajua kuwa ajenda ya udini si ya dini fulani bali ni ya makundi machache ndani ya taasisi zetu za dini. Tusibebeshe lawama za udini kwa dini fulani bali tuelewe kuwa udini umekuwa ni mtazamo ya watu wachache ndani ya dini zetu.

3) Tatu, watanzania tumeanza kupoteza uelewa kuhusu madui wetu wa asili ambao ni ujinga, umaskini na maradhi, na tumeongeza adui mwingine ambaye ni imani ya mwingine. Tumeacha kuelekeza nguvu zetu katika kupambana na maadui hao watatu na tunaelekeza nguvu zetu kupambana na dini nyingine ambazo kimsingi haziwezi kuwa sababu ya matatizo yetu ya kila siku.

Kwa bahati mbaya tunashindwa kuelewa kuwa dini hizi kuu mbili za kikristo na kiislamu ni dini zilizozaliwa sehemu mmoja baadaye zikasambaa sehemu tofauti na kuchukua utamaduni tofauti. Hatimaye tunachokiona sasa, ndugu wa ukoo na hata kabila moja waliotokana na historia moja, utamaduni mmoja na lugha moja wamefanywa maadui kwasababu wanafuata dini tofauti.

4) Jambo la nne, nchi yetu imeruhusu uhuru wa kuanzisha taasisi za dini pasipo kuwa na usimamizi wa karibu. Taasisi nyingi za kidini zimeibuka nchini na zimekuwa chanzo kikubwa cha kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini. Umoja wetu unapotea kwasababu baadhi ya taasisi za kidini zilizopo zinawagawanya watanzania kwa misingi ya dini. Taasisi nyingi za dini zinafundisha mbinu na namna ya kuwakabili waumini wa dini nyingine badala ya kuhimiza upendo na mshikamano miongoni mwa watanzania.

Baadhi ya viongozi wa taasisi hizo wamewafanya watanzania mtaji wao kwa kuwachochea wafuasi wao kuwachukia wengine kwa lengo la kutimiza haja zao binafsi. Watanzania tunapaswa kuzinduka na kuchukua tahadhari dhidi ya watu wanaotuchonganisha. Tukumbuke kuwa kiongozi wa dini anayekuambia kuwa dini fulani ni ya kishenzi na wafuasi wake ni wa kishenzi basi mtu huyo si mtumishi wa Mungu bali anatumikia maslahi yake.

Tufanyeje?

Baada ya kueleza sababu zilizotufanya tufikie hapa tulipo sasa, sisi wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapendekeza mambo yafuatayo:

1) Serikali isimamie na kudhibiti vyombo vya habari vya kidini vinavyochochea chuki za kidini. Inasikitisha kuwa serikali iliyosheheni wataalamu wa kila aina inashindwa kutambua madhara ya uchochezi wa vyombo vya habari. Watanzania tunapaswa kujifunza kuwa hata mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda hayakuanza siku moja, yalichochewa na vyombo vya habari kwa muda mrefu na vyombo hivyo vilihamasisha pia mauaji hayo.

Hata hapa nchini kwetu, serikali isipokuwa tayari kukemea na kufungia vyombo vya habari vinavyotumia udini kuleta uchochezi, ipo siku watanzania watauana sana na nchi itapoteza heshima yake ya kuwa taifa la amani na tutakuwa wakimbizi. Tunaishangaa serikali inaweza kuyafungia magazeti yanayoikosoa lakini haiko tayari kuyafungia magazeti yanawachochea watanzania.

Tungependa ujasiri unaotumika na vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaoandika ujumbe wa vitisho kwa viongozi wa kisiasa nchini utumike pia kuwakamata wanaochochea uvunjifu wa amani. Kama tunaweza kuwalinda viongozi dhidi ya vitisho kwa maisha yao binafsi kwanini tushindwe kulilinda taifa letu kwa kutumia nguvu hizo hizo za kuwatumikia wanasiasa?

2) Pia tunatoa wito kwa wanasiasa na watanzania kwa ujumla kuwakataa wale wanaotafuta vyeo mahali popote pale, iwe kwenye vyama vya siasa au taasisi, kwa kutumia udini kama kigezo cha kutaka kuchaguliwa. Ni wakati muafaka sasa kuhuisha yale yote yatakayoleta mtangamano wa kitaifa. Kama taifa tumeacha misingi mizuri ya ujenzi wa taifa tuliloachiwa na waasisi wa taifa hili.

3) Jambo jingine ni kuhamasisha na kusimamia sera ya elimu sawa kwa wote. Elimu yetu ya sasa imejenga matabaka makubwa miongoni mwa watanzania na matokeo yake matabaka haya yanajitokeza zaidi katika sura ya udini. Kutokana na hali hii watanzania wengi waliokosa elimu wanadhani kuwa wenzao wa dini nyingine wanafanikiwa kwasababu ya upendeleo wa kidini. Kwa kusisitiza katika elimu, itakuwa rahisi kwa watanzania kuelimishwa kuwa chuki za kidini si msingi wa dini zetu tofauti na ilivyo sasa ambapo ukosefu wa elimu unawafanya wengi kuwa waathirika wa mafundisho potofu.

4) Pia tunaisihi serikali iwachunguze viongozi wa baadhi ya taasisi za kidini zinazowahamasiha wafuasi wake kufanya vitendo vya uhalifu. Ni vigumu sana kuwadhibiti wafuasi wa taasisi ya kidini ambao wameshakuwa na nguvu ya kuungana na kufanya jambo lolote baya. Tuna wasiwasi kuwa baadhi ya viongozi wa taasisi hizo wanatumika na watu wa nje kuvuruga amani yetu. Kwa bahati mbaya viongozi hawa wanajua wazi kuwa amani ikivurugika nchini wao wanazo sehemu za kukimbilia wakati ndugu zetu wakiendelea kuuana.

Wito wetu kwa watanzania wenzetu ni kwamba wajue kuwa viongozi wa kidini wanaowachochea kuwachukia wengine hawana nia njema na taifa na maisha yao. Watatuacha tukiliangamiza taifa huku wao wakiwa salama. Ni vema watanzania wakajua kuwa sababu ya umaskini na matatizo ya kimaisha hayajasababishwa na waumini wa dini nyingine bali mfumo wetu mbovu wa utawala unaoacha kukua kwa matabaka ya kijamii. Tukishirikiana sote kupambana na umaskini hakutakuwa na sababu ya kuchukiana. Pia, ni muhimu sasa, kila dini iendeshe maswala yake bila kutaka kubebwa na serikali.

Source;Nilikuwepo
watafutie watu kazi mzee mwenzangu, accccccck!!wazungu husema, iddle mind is the workshop of devil! mtu ambaye akiri zake haziko bussy na kazi, shetani huweka ka ukumbi ka starehe kichwani mwake. Unemployment katika TZ ipo pabaya sana . watu hawana kazi na wakipewa dili ya kuleta fujo za kidini, wao huja kama mbwa. kama watu wangekuwa na uhakika wa kazi maswala ya kidini yangetupwa kapuni tokea mwaka 1967!

miaka ya sabini, kulikuwa na viwanda vya Tanita, matshushita radio bettry, tanzania blanket manufacturer, mikonge,tanganyika packers,chakula barafu, tafico, scania kibaha, mang'ura tools, kilimankaro man. tools, general tyre viwanda vivi vilisaidia sana kutoa ajira haswaa mkoani dar kwa viaja waliokuwa wamefeli darasa la saba. sasa mtu akafanya dili ya kuleta nchini bidhaa ambazo zilikuwa zinatengenezwa na viwanda hivyo na kuvifanya vikose masoko mpaka kufa.

matokeo yake vijana wengi kujikuta wapo mitaani hawana kazi wala hawajui kesho itakuwa na msosi gani. hivyo punguza uingizwaji wa bidhaaa mabzo zimeuwa viwanda vyetu, fufua viwanda vyetu halafu utaona maswala ya udini yanatoweka kama barafu ndani ya figa tatu.
 
Mdini mkubwa wewe,hakuna muislamu asiyejua umuhimu wa elimu ndio maana waislamu walijitolea kudai uhuru wa nchi hii kwa sababu walikoseshwa elimu na shule za kanisa kabla ya uhuru,wakristo wa kikoloni walitumia shule na huduma ya afya kuwabatiza watu ndio maana wazee wa kiislamu waliogoma kuwapeleke watoto wao kwenye shule hizi.

Kabla ya uhuru waislamu hawakuwachukia wakristo waafrika ndio maana walimkaribisha Baba wa kanisa Nyerere katika harakati za uhuru japo wakristo wote walikuwa kanisani wakimsifu mkoloni mkristo.

wazee watu wa kiislamu walimuambia wazi Baba wa Kanisa Nyerere kwamba tatizo letu ni elimu na hatuwezi kuwapeleka vijana wetu wakabatizwe kwenye shule za kanisa hivyo tunakuomba baada ya uhuru tuondoe upogo uliopo wa kielimu baina ya waislamu na wakristo.

Baada ya uhuru baba wa kanisa Nyerere akawageuka waislamu,akijaifanya anapiga vit udini kumbe muongo anapiga vita uislamu na kulipa kanisa better chance,akauhamishia mfumo kristo katika serikali huku akijafanya anapiga vita udini.

Kipindi chote tokea uhuru mpaka mwaka 1970 Baba wa kanisa Nyerere alikuwa kwenye mapambano na waislamu akitumia kila njia kuwadhibit waislamu mpaka pale alipofanikiwa kuunda BAKWATA a.k.a Kitengo cha usalama wa taifa cha kuwadhibiti waislamu.

Kuanzia mwaka 1970 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80 waislamu walidhibitiwa kupitia kitengo cha usalama wa taifa BAKWATA,madai ya waislmu yote ya kabla na baada ya uhuru yalizimwa kupitia BAKWATA,hivyo baba wa kanisa Nyerere aliwadhibiti waislamu kupitia BAKWATA huku akijifanya anapinga udini.

Mwanzoni mwa miaka ya 90 madai ya waislamu yakaibuka tena kwa nguvu kidogo Mzee Mwinyi akivunje kitengo cha usalma wa taifa BAKWATA,lakini baba wa kanisa Nyerere akaibuka na kuvunja jaribio la kuvunjwa BaKWATA.

Tokea mwanzoni mwa miaka ya 90 waislamu wamekuwa wakilalamikia huu mfumo kristo unaoendesha serikali,lakini serikali iliyojaa wakristo imekuwa ikiwadharau na kuwakejeli waislamu kama wewe unavyafanya hapa.

Sasa wakati umefika tuvunje mfumo kristo ulioasisiwa na Baba wa kanisa Nyerere na tujenge taifa la watanzania wenye hadhi sawa ndani ya taifa letu,vinginevyo tutaendelea kuimba wimbo wa Amani na hakuan Amani itakayopatikana kwa maneno yenu ya kejelina dharau munayoyaendeleza dhidi ya waislamu
unaweza kutukumbusha ubinafsishaji wa mali za taasisi za kidini ulikuwa na malengo gani?
 
Mawazo finyu.naona bado tuna safari ndefu sana
 
Tufanye sensa kwa wafanyakazi wa serikali na taasisi zake zote,zaidi ya 80% ya wafanyakazi hao tutawakauta ni wakristo,mafisadi na wala rushwa wakubwa,hao ndio walioifilisi nchi hii,watendaji hawa wakristo(>80%) ndio wameifelisha serikali tokea uhuru wa nchi hii.

Suluhisho ni kuvunja mfumo kristo na kujenga taifa la watanzia wote wenye hadhi sawa.Waislamu tumechoka kuwa watu wa daraja la pili ndani ya nchi yetu.Stop mfumo kristo kwa Amani ya nchi hii

Sasa wewe unataka uwe bank manager wakati hujasoma?au elimu ya madrasa ndio itakufanya uwe engineer? Wake up my brother
 
Hao wasomi nao ni fake!! Story ndefu lakini wanahofu kutaja chimbuko la tatizo! Hivi wakisema wazi kuwa Kikwete ndio chanzo cha udini ni nani katika Tanzania atawapinga???!!
 
Labda munataka ushahidi kutoka mbinguni ulioyoyushwa na mungu wenu Yesu ndio mujue huu ni ushahidi,endelezeni mfumo kristo huku mukipiga ngonjera za kutaka Amani.

Ukweli Amani ya nchi hii tokea uhuru ilibebwa na waislmu kwa uvumilivu wao na kwa vile waislamu hivi sasa wamechoka kudhulumiwa hakutakuwa na Amani katika nchi hii mpaka tutakapo kubali kujenga taifa la watanzania walio sawa,mmezoea kuwafanya waislmu kuwa raia wa daraja la pili ndani nchi yao,sasa basi

ukimkejeli Yesu aliye hai mi sikuachi. Hata marehemu ustadh Mood aliyeoa katoto kadogo, kubaka, angepata zero pepa ya Ndalichako. Poyoyo sana alikuwa
 
Back
Top Bottom