Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

Wahadhiri UDSM Waongelea tatizo la Udini

Na Iran vipi ambako Uislam ni 100 pc inalingana na Ufilipino yenye Wakatoliki 95 pc

Umejifunika kwenye blanketi la udini ambalo hutaki wa kukufunua na wala hutaki kujifunua. Nilichomaanisha mimi ni kuwa dini haina uhusiano wowote na maendeleo.
 
Mfumo ISLAMU unatawala ngazi zote za uongozi, Zanzibar serikali nzima dini moja, bara wakristo wachache sana tena ni wa kuzugia. Ndiyo maana makanisa yanachomwa moto na viongozi wa makanisa wanauawa, _ mfumo ISLAMU unashangilia kwa siri na wazi wazi.

Tufanye sensa kwa wafanyakazi wa serikali na taasisi zake zote,zaidi ya 80% ya wafanyakazi hao tutawakauta ni wakristo,mafisadi na wala rushwa wakubwa,hao ndio walioifilisi nchi hii,watendaji hawa wakristo(>80%) ndio wameifelisha serikali tokea uhuru wa nchi hii.

Suluhisho ni kuvunja mfumo kristo na kujenga taifa la watanzia wote wenye hadhi sawa.Waislamu tumechoka kuwa watu wa daraja la pili ndani ya nchi yetu.Stop mfumo kristo kwa Amani ya nchi hii
 
Mdini mkubwa wewe,hakuna muislamu asiyejua umuhimu wa elimu ndio maana waislamu walijitolea kudai uhuru wa nchi hii kwa sababu walikoseshwa elimu na shule za kanisa kabla ya uhuru,wakristo wa kikoloni walitumia shule na huduma ya afya kuwabatiza watu ndio maana wazee wa kiislamu waliogoma kuwapeleke watoto wao kwenye shule hizi.

Kabla ya uhuru waislamu hawakuwachukia wakristo waafrika ndio maana walimkaribisha Baba wa kanisa Nyerere katika harakati za uhuru japo wakristo wote walikuwa kanisani wakimsifu mkoloni mkristo.

wazee watu wa kiislamu walimuambia wazi Baba wa Kanisa Nyerere kwamba tatizo letu ni elimu na hatuwezi kuwapeleka vijana wetu wakabatizwe kwenye shule za kanisa hivyo tunakuomba baada ya uhuru tuondoe upogo uliopo wa kielimu baina ya waislamu na wakristo.

Baada ya uhuru baba wa kanisa Nyerere akawageuka waislamu,akijaifanya anapiga vit udini kumbe muongo anapiga vita uislamu na kulipa kanisa better chance,akauhamishia mfumo kristo katika serikali huku akijafanya anapiga vita udini.

Kipindi chote tokea uhuru mpaka mwaka 1970 Baba wa kanisa Nyerere alikuwa kwenye mapambano na waislamu akitumia kila njia kuwadhibit waislamu mpaka pale alipofanikiwa kuunda BAKWATA a.k.a Kitengo cha usalama wa taifa cha kuwadhibiti waislamu.

Kuanzia mwaka 1970 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80 waislamu walidhibitiwa kupitia kitengo cha usalama wa taifa BAKWATA,madai ya waislmu yote ya kabla na baada ya uhuru yalizimwa kupitia BAKWATA,hivyo baba wa kanisa Nyerere aliwadhibiti waislamu kupitia BAKWATA huku akijifanya anapinga udini.

Mwanzoni mwa miaka ya 90 madai ya waislamu yakaibuka tena kwa nguvu kidogo Mzee Mwinyi akivunje kitengo cha usalma wa taifa BAKWATA,lakini baba wa kanisa Nyerere akaibuka na kuvunja jaribio la kuvunjwa BaKWATA.

Tokea mwanzoni mwa miaka ya 90 waislamu wamekuwa wakilalamikia huu mfumo kristo unaoendesha serikali,lakini serikali iliyojaa wakristo imekuwa ikiwadharau na kuwakejeli waislamu kama wewe unavyafanya hapa.

Sasa wakati umefika tuvunje mfumo kristo ulioasisiwa na Baba wa kanisa Nyerere na tujenge taifa la watanzania wenye hadhi sawa ndani ya taifa letu,vinginevyo tutaendelea kuimba wimbo wa Amani na hakuan Amani itakayopatikana kwa maneno yenu ya kejelina dharau munayoyaendeleza dhidi ya waislamu

Napata hata kichefuchefu kwa haya unayoandika. unanifanya nifikiri mara mbilimbili kuwa wewe ni mtu wa aina gani, hivi kwenye familia yako huna mtu ambaye ni mkristu au asiye muislam na kama wapo hivi mnaishije kama ndugu?
watu wote wa aina yako ni wachoyo na wabinafsi wakubwa mnaojitazama ninyi tu, na kama uislam maana yake ndiyo hii basi naogopa huko tuendeko.
 
Umejifunika kwenye blanketi la udini ambalo hutaki wa kukufunua na wala hutaki kujifunua. Nilichomaanisha mimi ni kuwa dini haina uhusiano wowote na maendeleo.

Kamtafute Shekhe Simba na Alhadi Mussa wale kitengo cha usalama wa taifa cha kuwadhitibiti waislamu na kuwarudisha nyuma kumaendeleo(kitengo kilichoundwa na baba wa kanisa Nyerere) ndio uwapelekee huu ukilaza wako wa uongo
 
Napata hata kichefuchefu kwa haya unayoandika. unanifanya nifikiri mara mbilimbili kuwa wewe ni mtu wa aina gani, hivi kwenye familia yako huna mtu ambaye ni mkristu au asiye muislam na kama wapo hivi mnaishije kama ndugu?
watu wote wa aina yako ni wachoyo na wabinafsi wakubwa mnaojitazama ninyi tu, na kama uislam maana yake ndiyo hii basi naogopa huko tuendeko.

Dawa sio kuogopa tu,bali uogope na kuvunja mfumo kristo kisha tujenge taifa la watanzia wote wenye haki na hadhi sawa,muache kujifanya nyinyi ni watu wa daraja la kwanza na waislamu ni watu wa daraja la pili,hii ndio dawa ya kweli.
 
Tufanye sensa kwa wafanyakazi wa serikali na taasisi zake zote,zaidi ya 80% ya wafanyakazi hao tutawakauta ni wakristo,mafisadi na wala rushwa wakubwa,hao ndio walioifilisi nchi hii,watendaji hawa wakristo(>80%) ndio wameifelisha serikali tokea uhuru wa nchi hii.

Suluhisho ni kuvunja mfumo kristo na kujenga taifa la watanzia wote wenye hadhi sawa.Waislamu tumechoka kuwa watu wa daraja la pili ndani ya nchi yetu.Stop mfumo kristo kwa Amani ya nchi hii

Kwa hiyo kazi yenu ni kuvunja mfumo kristo na kusimika mfumo ISLAMu ambamo wakristo wanauawa kila kukicha?!.. Ndoto za ustaadhi ilunga mnazitumia kwa kuua wengine?. Dini gani hii ambayo kuua wengine ni shangwe?!..
 
Dawa sio kuogopa tu,bali uogope na kuvunja mfumo kristo kisha tujenge taifa la watanzia wote wenye haki na hadhi sawa,muache kujifanya nyinyi ni watu wa daraja la kwanza na waislamu ni watu wa daraja la pili,hii ndio dawa ya kweli.

Kwa hiyo hayo mnayopigania ni kujenga mfumo ISLAMU kwa kuua mapadre na kuchoma makanisa?!.. Mnaeneza imani yenu kwa ubabe na maauaji!
 
Kamtafute Shekhe Simba na Alhadi Mussa wale kitengo cha usalama wa taifa cha kuwadhitibiti waislamu na kuwarudisha nyuma kumaendeleo(kitengo kilichoundwa na baba wa kanisa Nyerere) ndio uwapelekee huu ukilaza wako wa uongo

Kwa hiyo mnashangilia saana MFUMO ISLAMU ambamo makanisa yetu yanachomwa moto na viongozi wetu kuuawa?... Mnapata faida gani mkiua wakristo na kuchoma makanisa?...
 
Mfumo ISLAMU unatawala ngazi zote za uongozi, Zanzibar serikali nzima dini moja, bara wakristo wachache sana tena ni wa kuzugia. Ndiyo maana makanisa yanachomwa moto na viongozi wa makanisa wanauawa, _ mfumo ISLAMU unashangilia kwa siri na wazi wazi.
Ukilaza ndio unaokusumbua, unataka polycarp pengo akapewe kiti kwenye baraza la mapinduzi kama ilivyokuwa kabineti ya Tanganyika siyo? Acheni usanii
wa kutengeneza vipeperushi ili kuficha mapadre wenu wauza madawa ya kulevya
 
Kwa hiyo hayo mnayopigania ni kujenga mfumo ISLAMU kwa kuua mapadre na kuchoma makanisa?!.. Mnaeneza imani yenu kwa ubabe na maauaji!

Makanisa munachoma wenyewe na Mapadri munawaua wenyewe hili kuzima hoja za waislamu zidi ya mfumo kristo.Endeleeni kuchoma moto makanisa yenu na kuwapiga risasi mapadri wenu,kwa sasas mmechelewa mfumo kristo lazima uondoke hapa
 
Kwa hiyo hayo mnayopigania ni kujenga mfumo ISLAMU kwa kuua mapadre na kuchoma makanisa?!.. Mnaeneza imani yenu kwa ubabe na maauaji!

Hatupiganii kujenga mfumo ISLAMU bali tunapigania kujenga taifa la tanzania lenye haki na hadhi sawa kwa wote,sio mkristo awe daraja la kwanza na muislamu daraja la pili
 
Ukilaza ndio unaokusumbua, unataka polycarp pengo akapewe kiti kwenye baraza la mapinduzi kama ilivyokuwa kabineti ya Tanganyika siyo? Acheni usanii
wa kutengeneza vipeperushi ili kuficha mapadre wenu wauza madawa ya kulevya

Mnaolalamika saana ndiyo vilaza. Mnataka mpewe ajira wakati shule hamna!.. Unataka mtu ashinde madrasa kisha awe Daktari au mwanasheria?!.. Pengo na viongozi unaowasema ni wasomi. Chunguza viongozi wako ujue kiwango chao cha elimu!.. Ukifundishwa dini na kipofu lazima upotee njia.
 
Kwa hiyo hayo mnayopigania ni kujenga mfumo ISLAMU kwa kuua mapadre na kuchoma makanisa?!.. Mnaeneza imani yenu kwa ubabe na maauaji!

Kwani uchunguzi wa mauaji ya padre yule umekamilika? Mbona tunasikia kuwa nyumbani kwake kulikuwa kama misitu ya Colombia kwa Cocaine. Semeni ukweli mbona ripoti ya Mkenda haijatolewa lesa Umma tupate kufahamu
 
Makanisa munachoma wenyewe na Mapadri munawaua wenyewe hili kuzima hoja za waislamu zidi ya mfumo kristo.Endeleeni kuchoma moto makanisa yenu na kuwapiga risasi mapadri wenu,kwa sasas mmechelewa mfumo kristo lazima uondoke hapa

Sasa nimejua hiki ni kikosi cha magaidi kinachoongozwa na Ustaadhi ilunga na wanauamsho ili mjenge MFUMO ISLAMU, kupitia mahakama ya kadhi na kuua viongozi wa kanisa... 1998 gaidi wa kizanzibari alilipua ubalozi wa marekani na kuua watanzania wengi, na kazi hii inaendelea.
 
Nchi hii ya ajabu sana,eti hivi sasa kuna watu wanajiita wasomi ndio wanauona udini,wanasema tunavunja misingi tuliaachiwa na Nyerere?Nchi hii kweli inawasomi wa ajabu!!!!!!!!!

Nchi hii udini umaasisiwa na Nyerere mwenyewe,ngoja niwakumbushe hawa wanaojiita wasomi hivyo hawajua kwamba kanisa Katoliki lipo kwenye mchakato wa kumpatia Utakatifu Baba wa Kanisa Nyerere kwa kazi nzuri aliyolifanyia kanisa Katoliki?Kwa michakato kama hii watu wakisema nchi hii inaendeshwa kwa mfumo kristo mutasema ni wachochezi?

Acha tuivunje hii misingi ya mfumo kristo aliyoiasisi Baba wa Kanisa Nyerere.Kama tunataka amani ya kweli lazima tuvunje hii misingi ya mfumo kristo tulioachiwa na Baba wa kanisa Nyerere kisha tujenge taifa la watanzania wote.

Tukikataa kujenga taifa la watanzia wote hivi sasa basi tutalijenga baada ya vita vya kidini kama walivyojenga Rwanda na Burundi baada ya vita vya kikabila.Dhambi ya ubaguzi aliyoiasisi Baba wa kanisa Nyerere ndio inayotumaliza

Karibuni wakereketwa wa kanisa lije kuwatoka povu kwa kunikejeli na kunadharua,vyovyote mutakavyosema mutambue sasa hivi waislamu tupo katika phase ya kujikomboa kutoka katika mfumo kandamizi mfumo kristo,tumechoka na huu mfumo lazima uvunje na kama hamutaki tutapigana vita vya kidini hapo.
Mfumo kristo mnaopambana nao ni upi? Misingi ya Nyerere mnayopambana kuivunja ni ipi hasa?
 
Mnaolalamika saana ndiyo vilaza. Mnataka mpewe ajira wakati shule hamna!.. Unataka mtu ashinde madrasa kisha awe Daktari au mwanasheria?!.. Pengo na viongozi unaowasema ni wasomi. Chunguza viongozi wako ujue kiwango chao cha elimu!.. Ukifundishwa dini na kipofu lazima upotee njia.

Pengo na Padri Slaa wamesomea nini vile?ebu tuwekee CV zao tuzione hapa.Kilaza wewe yaani unajua kusoma lazima ujue kusoma herufi za kirumi!!!!!!!!!!!!Kumbe JF imajaa vilaza kama wewe
 
Sasa nimejua hiki ni kikosi cha magaidi kinachoongozwa na Ustaadhi ilunga na wanauamsho ili mjenge MFUMO ISLAMU, kupitia mahakama ya kadhi na kuua viongozi wa kanisa... 1998 gaidi wa kizanzibari alilipua ubalozi wa marekani na kuua watanzania wengi, na kazi hii inaendelea.

Mkubwa hatishiwi nyau kilaza wewe
 
hata mimi nimeshangaa mkuu hawa mb* ccm they are fully responsible. Ila kwa jumla tamko la wahadhiri ni zuri limekwenda shule.

Kilaza wewe,kuna shule gani pale zaidi ya kudhalilisha elimu zao?Msomi unatoa povu tu utafikiri Askofu Pengo na Padri Slaa
 
Back
Top Bottom