Waganga wa jadi 10 wapelekwa Kigoma kupambana na Wachawi, DC aweka ngumu

Ukimsikia mtu anapinga kuwepo kwa wachawi, mwangalie Mara mbilimbili, utakuta anafuga bundi ili kuwinda panya!, anamiliki fisi usiku ili kulinda mifugo! Wachawi wanataka "maggles" kwa mujibu Harry Potter wasijue kinachoendelea duniani
Kweli kabisa,sawa na waliopewa dhamana ya kusimamia uchaguzi halafu wanaiba kura
 
Miongoni mwa mikoa ambayo Ina watu primitive, wasiopendana, wasiojali utu ni wakigoma(Muha). Ni WA ovyo sana Hawa watu, nadhani ndo maana mkoa huu una changamoto za kimaendeleo. Ubishi, na kujifanya wajuaji(much know)
 
Uchawi upo ndugu ndio maana hata jeshini wanafundishwa dark arts. Hata askari waliokua wanapambana na majambazi ya Kahama na Kibondo walikua wanatumia dark arts Ili kuwamaliza bila hivyo hata ungerusha risasi ngapi humuuwi.
Eti hata upige risasi ngapi humuui? Mtu asipokufa ni mipango ya Mungu tu na siyo nguvu za uchawi vinginevyo hao Wachawi wenyewe wasingekuwa wanakufa.
 
Kwa uwezo huo basi huyo Mchawi anaweza zuia hata kifo.Imani zingine zinachekesha sana
 
Uchawi upo ndugu ndio maana hata jeshini wanafundishwa dark arts. Hata askari waliokua wanapambana na majambazi ya Kahama na Kibondo walikua wanatumia dark arts Ili kuwamaliza bila hivyo hata ungerusha risasi ngapi humuuwi.

Huu ujinga huwa mnasomea wapi? Watu kama nyie ndo walikua wahanga wa maji maji war
 

Inabidi uwe zwazwa pro max kuamini huu utopolo.
 
Ujinga na umaskini ni mzigo mkubwa sana. Inabidi uwe zwazwa pro max kuamini story za ushirikina.
 
Yapo majambazi mengi huku Kigoma yame survive risasi sababu ya hizo chale. Ushirikina unatumika ndugu hata kikosi kilichokua kinawasaka kilikua kimeiva kwenye "dark arts".

Njoo huku Kigoma upate shuhuda za live live sio za kusimuliwa. Mimi napinga ushirikiana ila nakubali uchawi upo, in fact ukiwa mtu wa maombi huku huwezi kulala maana wanakuja "kukupima" usiku usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…