Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

Kwani ile habari ya kijana wa mkubwa kukamatwa huko China na madawa ya kulevya ilifikia wapi? Kwa serikali sikivu , huu ni upepo tu na utapita,
Yaweza pia kuwa tactic ya siasa zetu ucharwa ili kushift focus ya watanzania kutoka kwenye Katiba!
 
Mambo haya ya kuficha baadhi ya majina kwa madai kuwa ni viongozi wa serikali haina maana ndiyo yaliyotokea kwenye tume ya richmond sasa hii ya kumtaja ZUNGU naye kama kiongozi inatupa picha nyingine.Kabla ya kuendelea ni bora watutajie na wengine ili tujue maadui wetu ni akina nani.
 
mkuu EMT huu uzi umekosa kitu kimoja tu,picha ya huyo mbunge aliyetajwa.embu mtu atuwekee picha tupate kufahamu anayetuharibia vijana wetu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu unachanganya aliyetajwa ni Idd Azzan Mbunge wa kinondoni na siyo Musa Azzan Zungu Mbunge wa Ilala.
mkuu EMT huu uzi umekosa kitu kimoja tu,picha ya huyo mbunge aliyetajwa.embu mtu atuwekee picha tupate kufahamu anayetuharibia vijana wetu
Hivi hata google search hamjui kuitumia? si vizuri member wa JF kutokuwa mdadisi na mwenye akili active.

AIDAN-560x400.gif
 
Viongozi waandamizi serikalini ndio wanamaliza kizazi hiki na kijacho kwa madawa ya kulevya.
Mara gari la polisi na mapolisi wamekamatwa na shehena ya bangi....

Shame on them no matter who!
 
Mmi naona kwamba sasa Tanzania hatuna serikali inayoweza kufanya kazi na kuaminisha wananchi kwamba kweli tuna serikali makini. Mimi nizungumzie swala la MADAWA YA KULEVYA a
Ka Unga , hiv nikweli kwamba serikali imeshindwa kusimamia uadilifu mpakat tunadhalilika kiasi hiki? Madawa haya yanapita wapi ambapo serkali haipo? Sakata la South Afrika , La china yote haya ni mambo ya kuichafua Tanzanana seekali yake iliyoko madarakani. Viongoz wamekuwa wakitupiana mpira kanakwamba hawana weledi wa kupambanua mambo na kuyaweka hadhalani , utasikia uchunguz unaendelea lakin mwisho wa siku ni kimyakimya yanaishaa. Kwa mtazamo wangu naona kwamba endapo serikali haitaleta majibu ya nani kahusika na hatua gani zimechukuliwa ni wazi kwamba wananchi wataamini kwamba kunamkono wa serikali kubariki uingizwaji na upelekaji waunga nchi za nje.....sourceMawazo binafsi.
 
Mbunge Kagi lugola alisema wanaouza unga bungeni muulize kama mpaka leo alishahojiwa na yoyote au alishaulizwa ushaidi na mtu yoyoyte,

Muulize zitto ile ishu ya mabilion ya uswis kama alishahojiwa .........
 
Pia usisahau kuwa Sekretarieti ya CCM ilikuwa China juzi kati hapa, na pia Mh Rais alienda ZA kumpa pole mgonjwa kimya kimya akitokea Bukoba...

Ha ha haaaa, dhamira ya kupambana na madawa lazima itoke kwenye mikono safi isiyo na chembe ya madawa. Kwa sasa hivi karata ya CCM kurudi madarakani 2015 inategemea sana hela za MENO YA TEMBO, MADAWA ya Kulevya na Kodi Mpya ya laini za simu. Hivi unategemea vijana wa Kidijitali watakubali kuhongwa yale manguo yenye laaana ya kijani na njano? Vijana wa kidijitali watataka kuhongwa Vyimu (masimu mengi), vibwewezo, virikiti mpakato, tabuleti n.k. Kwa mtaji huo CCM lazima wapige biashara haramu ku-survive 2015, its a kick of a dying horse
 
Mkuu, unataka kulefusha mjadara huu bure. Serikali inahusika! Hii nikutokana na michango ya wanajf uzi zilizopita. Jk ana list ya wauza unga miaka tatu imepita. Mhuuza unga mmoja kmwagiwa tindikali ukaribu wake na jk tumeuona. Suali gumu zaidi nadawa haya yanapitaje air port! mmoja wetu amellieleza hilo. Hakukuwa na sababu za MB Kinondoni kujisafisha kwa nguvu zote za media na kijirkipoti polisi. Lakini pia ktk kulindana kwao nani atamchunguza?
 
Mmi naona kwamba sasa Tanzania hatuna serikali inayoweza kufanya kazi na kuaminisha wananchi kwamba kweli tuna serikali makini. Mimi nizungumzie swala la MADAWA YA KULEVYA a
Ka Unga , hiv nikweli kwamba serikali imeshindwa kusimamia uadilifu mpakat tunadhalilika kiasi hiki? Madawa haya yanapita wapi ambapo serkali haipo? Sakata la South Afrika , La china yote haya ni mambo ya kuichafua Tanzanana seekali yake iliyoko madarakani. Viongoz wamekuwa wakitupiana mpira kanakwamba hawana weledi wa kupambanua mambo na kuyaweka hadhalani , utasikia uchunguz unaendelea lakin mwisho wa siku ni kimyakimya yanaishaa. Kwa mtazamo wangu naona kwamba endapo serikali haitaleta majibu ya nani kahusika na hatua gani zimechukuliwa ni wazi kwamba wananchi wataamini kwamba kunamkono wa serikali kubariki uingizwaji na upelekaji waunga nchi za nje.....sourceMawazo binafsi.

Dah, mie nilidhani utaanzia na ile barua. kwamba kwa vile ameahidi kutoa ushirikiano, nilijua kuwa waanzie na kumjua ni nani, amefungwa gereza gani huko hong kong na hayo majina ya vigogo aliowataja ni akina nani. nadhani hayo ndo yatakuwa mapambano mazuri na si kuendelea kulalamika tu
 
Mkuu anahusika na anaijua vizuri ndie anaongoza kuwaokoa pale mambo yanapowaendea vibaya kwa humu nchini anatoa amri waachiwe kwa nje anaenda mwenyewe kunegotiate
Mfano,
1. Mwanae mwenyewe inasemwa ni muuzzaji na alipokamatwa CHINA alienda usiku kwenda kumwokoa mbaya zaidi kwa kuwaahidi wachina hao raslimali zetu ili amwokoe mwanae zungu.
2. Alishasema anawajua wauzaji lakini hajafanya lolote inamaana ameruhusu au anawalinda au hajaona madhara/hawana madhara kwa Tanzania kama nchi pia raia maana rais ni mkuu wa nchi
3. Juzi akiwa Bukoba alikatisha ziara kwenda kusolve issue ya madawa ya mabinti wawili walioshikwa na gunia na nusu,
4. Yeye ndie anahusika na teuzi(sina hakika) inakuwaje Nzowa na vijana wake waruhusu madawa yote yale yapite kila siku mipakani na asimwajibishe????? Anajua/ni biashara zake na marafiki zake kina Azan
5. Hawa wanaosemwa kila siku kina Azan inamaana TISS/police hawaoni?? Mbona hawafanyi kazi zao?? Mbona filamu ya Lwaks iliwekwa mtandaoni siku moja ya pili wakamshika, sugu aliposti Waziri Mkuu -------- huko facebook soon akashikwa na kushtakiwa kwanini hawa hatuoni yakitokea??? Ni untouchable
6. Wauzaji wadogo/pushers na watumiaji wapo tele mtaani hata watoto wadogo wanawajua lakini vyombo husika hawawajui/hawaoni?? Mbona ni rahisi sana kuwajua bila nguvu nyingi?? mfano mimi bila knowledge yoyote (layman) Ningekamata mtumiaji, unapata kwa nani, nae aeleze anakotoa, ............. Chain mpka mzalishaji ningempata ningetaka na mbinu zitumikazo mipakani ningepata,
Lakini najua tatizo si kama hawajui ila woote wanawajua wauzaji mpaka kina Azan lakini ndio wamewaweka hapo walipo hawana say.
Ndio maana Azan anajitokeza kifua mbele ati nimejipeleka police wanichunguze!!!! Police gani hawa wanaowapitisheni AIRPORT?????? WANAOBAMBIKIA RAIA WEMA SEMBE??? Rejea kisa cha mwanae Mengi.
7. Inasemwa kila siku humu mmiliki wa HSC ni zungu lakini hachunguzwi, na nirafiki mkuubwa wa boss je kwanini tusamini kuwa biashara inabaraka zoote za mpangaji wa magogoni????
 
Dah, mie nilidhani utaanzia na ile barua. kwamba kwa vile ameahidi kutoa ushirikiano, nilijua kuwa waanzie na kumjua ni nani, amefungwa gereza gani huko hong kong na hayo majina ya vigogo aliowataja ni akina nani. nadhani hayo ndo yatakuwa mapambano mazuri na si kuendelea kulalamika tu

mfungwa ukijitaja tu hawa watakuulimboka.
 
Hii issue ya madawa ya kulevya imekuwa nzito sana kwa sasa kwa upande wa Chama tawala na serikali yake. Naona hata wale buku 7 ni kama vile wameambiwa kaeni kimya msiunguze picha. Kuwa ni upepo tuu utapita.
 
baba analia nyie watoto ndo mnavunga mnapambna lazma mkae chn hapa, tumempa jk rungu hatak kupga c tfanyaje nami ngja nitafte mfadhil niend zang hong kong
 
Back
Top Bottom