Wafuatao waliwahi kukutana uso kwa uso na busara na hasira za Mwalimu Nyerere!..

Wachungaji mnaofufua watu kwanini msiungane kumfufua Nyerere afufuke ajionee haya mambo yanayotendeka sasa hivi.
 
Yeriko Nyerere siyo wewe pekee unayemkumbuka Nyerere, angekuwepo hakika haya makabila makubwa kama WACHAGGA wasingetusumbua na siasa zao za Ukanda na serikali tatu.
 
Wachungaji mnaofufua watu kwanini msiungane kumfufua Nyerere afufuke ajionee haya mambo yanayotendeka sasa hivi.

Ya makabila makubwa kama WACHAGGA kudai serikali tatu na kutaka kuchukua dola,mambo ambayo alikuwa akiyapiga vita sana.
 
Mtakatifu Julius Nyerere hata sahaulika kwa hayo

Hata sahaulika kwa dhulma aliofanya!

Na mauaji aliyo sababisha!

Wazee wameliwa na wanyama pori! Kwa sababu huyo Nyerere alio laaniwa aliwafukuza ktk majumba yao na kuwahamishia maporini KWA NGUVU! wakati yeye na mkewe wanagegedana kule butiama kwa raha zao!

Usinichafue saa hizi hapa! Kwa kumsifu Muuwaji MBAGUZI. MDINI MMOJA alikufa na laana za mamilioni ya watu!

Na nina haki hivi sasa yuko JEHANNAMU YA MOTO ANAPIGA YOWE OVYO pamoja na kina FERAUNI!
 

Imani yako inakuagiza kuwafanyia nini Marehemu?
 
Yeriko Nyerere siyo wewe pekee unayemkumbuka Nyerere, angekuwepo hakika haya makabila makubwa kama WACHAGGA wasingetusumbua na siasa zao za Ukanda na serikali tatu.

Teh teh teh!

We hujajua kuwa huyu mtoto kwa nje ni Mla mbwa! Lkn kwa ndani ni mnywa KISUSIO!
 

vipi mchango wa Nyerere, kwenye vifo vya hawa jamaa, Kolimba, Karume, kighoma Malima??
 
Mtakatifu Julius Nyerere hata sahaulika kwa hayo

ni sawa kwa nyerere na mandela ila kumbuka mwanadamu hajawahi kuwa mtakatifu,ukiangalia manabii wote waliowai kuwa kwenye dunia hii hajawaikuwako mtakatifu siku mwanadamu alipomwasi mungu ndo utakatifu wa mwanadamu ulipopotea mtakatifu ni mungu tu,aliyetuumba,aliyempa izo busara nyerere,aliyempa ujasiri mandela nk.usimwite mwanadam anayekufa mtakatifu,mtakatifu ni yule aliyeshinda mauti alikufa siku ya 3 akafufuka
 
mkuu. hivi mzee mtei alivyoisaliti nchi kwa kukataa kupigania uhuru wa nchi alipewa adhabu gani

We baba yako au babu yako alishawah kupigania huo uhuru au unabwabwaja tuu...usikute nyie ndo wale mliopata bahati ya kusogezwa karibu na mji kipindi cha vijiji vya ujamaa halafu mnajifanya wajanja
 
We ndio mkulima kweli usie na elimu!
Aliye kudanganya nani kuwa vijiji vya ujamaa vilisogeza watu mijini ni nani!?
Au leo umeamkia ganja mbichi!
 
Hapo kwenye red sijui MM aliandika ngapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…