Wafuasi wa JPM kujiunga NCCR Mageuzi

Wafuasi wa JPM kujiunga NCCR Mageuzi

Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.

Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.

Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.

Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.


View attachment 2286791

Kwani ile ishu ya mwenyekiti wao iliishia wapi
 
Una akili za kipumbavu sana unakosaje kuwa na heshima kwa mtu aliyekuzidi hata umri?

Huyo mama ndiye rais wa JMT hata kama haupendi inakubidi uwe na heshima angalau kwa taasisi ya urais.
Zimwi linapogeuka kuwa binaadamu!
 
Sasa hivi wanaiva chungu kimoja na ccm! Maajabu ee?

Sasa ukimuona mtu kidagaa tu kama mleta mada amekomaa hapa huku anapiga miayo unabaki kumuonea huruma tu!

Kitu anachojivunia Mbowe ni kuwa na wafuasi wapumbavu.
Acha ujinga wako kama humpendi Mbowe usitutukane mtukane Mbowe aliyekuchukulia mke wako.
 
Una mavi kichwani! Unachagua watu wa kuwaheshimu? Au kwa vile bwana zako wana ramba nae asali?

Ndio maaan kina mdee wameona bora wakomae na ubungr wale hela kuliko kuendelea kujifanya kuwapigania watu wapumbavu kama nyie!

Mbowe na Lisu wanaramba asali ila mnataka kina mdee waache ubunge ina ingia akilini kweli?

Mmejaza funza huko vichwani
Uliyejaa funza kichwani ni wewe ambaye upo kukomoa CHADEMA kwa sheria za nchi mlizozitunga wenyewe kuonyesha nani awe Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nani hafai kuwa Mbunge.Kwako umeona kula hela za bure kunafaa kuliko kulinda Katiba iliyowaweka Viongozi wetu.
Hata kama huna elimu ujikumbushe kidogo mbona mbunge wa ccm na cuf akifukuzwa ubunge sheria inafuatwa?? Ila Chadema ikimvua mtu Ubunge serikali ya ccm inaingilia kati kuvuruga mchakato huo kwa vile wana hela.Punguza upumbavu.
 
Back
Top Bottom