Tulisha yazoea hayo maneno ya waramba viatuItafaahamika tu 2025 sio mbali!
Wameishiwa nguvu baada ya msaidizi wao kuhamishwa nchiniKwani ile ishu ya mwenyekiti wao iliishia wapi
Zimwi lipo chini ya miambaZimwi linapogeuka kuwa binaadamu!
Umemaliza kila kituAcha ujinga wako kama humpendi Mbowe usitutukane mtukane Mbowe aliyekuchukulia mke wako.
Ni heri waende tu huko NCCR ili wapigwe vizuri.Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.
Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.
Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.
Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.
View attachment 2286791
Bora kula hela!Uliyejaa funza kichwani ni wewe ambaye upo kukomoa CHADEMA kwa sheria za nchi mlizozitunga wenyewe kuonyesha nani awe Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nani hafai kuwa Mbunge.Kwako umeona kula hela za bure kunafaa kuliko kulinda Katiba iliyowaweka Viongozi wetu.
Hata kama huna elimu ujikumbushe kidogo mbona mbunge wa ccm na cuf akifukuzwa ubunge sheria inafuatwa?? Ila Chadema ikimvua mtu Ubunge serikali ya ccm inaingilia kati kuvuruga mchakato huo kwa vile wana hela.Punguza upumbavu.
Mbona na sisi tulimpa ushauri kwanba akachime kando ya kaburi la bimkubwaakeZitto alishawapa ushauri mkachimbe mashimo karibu kaburi la masiah wenu
Tatizo lako unafikri kila mtu ni mjane kama ulivyo wewe.Huyo ni mjane asiye fahamika kwa wahusika wachana naye
Unaongea wakati unatetemekaBora kula hela!
Kwani hata usipokula una gain kitu gani?
Kina mdee wana akili sana wameshtukia dili la mbowe na lisu kutaka warambe asali peke yao
Jiwe linapogeuka vumbiMbona na sisi tulimpa ushauri kwanba akachime kando ya kaburi la bimkubwaake
Nawewe kamrambe miguu mjomba wako burigiMamawia ni mfuta meza wa dj akiwa analewa konyagi, hivyo kwa sasa yuko na boss wake wanaramba asali kwa hangaya ndio maana unaona yuko hapa anampigania
Kumbe kaandika mpumbavu Ulimwengu? Basi sawa.Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.
Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.
Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.
Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.
View attachment 2286791
Bwashee asali ni tamu mno 😋Siku hizi CHADEMA wanamtetea Mwenyekiti wa CCM! Kweli penye udhia penyeza rupia.
Nasikia wewe ni kati ya wahusika wa kutaka kumuumiza LissuBasi aliliuza baada ya wafadhili kugoma kulipa pango kwa kuwa keshapona lakini hataki kurudi kwao!