UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,348
Kuzidi kile kile anachomiminiwa mshikishwa ukuta na akina rob amsterKuzidi kile kimiminika cha kibailojia unachomiminiwa na mumeo?
Kuzidi kile kile anachomiminiwa mshikishwa ukuta na akina rob amsterKuzidi kile kimiminika cha kibailojia unachomiminiwa na mumeo?
Sawa bwashee basi nyie endeleeni kulamba asaliEndeleeni kuyeseka zamu yenu imekwisha
Na huku kwingine Samia akiwatia usingizi CHADEMA. Wakizinduka, wanajikuta 2025 Samia sha funga bao la mkono!
Mikakati inaanza kujionyesha inavyosukwa.
kweli BAVICHA wamekaukiwa, kweli wao wa kujiita Wana CCM?
Ingawa inaonekana kama kitu ambacho hakina impact, ila hicho chama kikiachiwa mwanya basi kitakuja kusumbua sana hali ya utulivu wa kisiasa kwenye hii nchi.
Ni chama kitakacho challange madaraka ya CCM kwa kiasi kikubwa sana, hasa ukizingatia msimamo wa wanachi wengi(wa hali ya chini) juu ya mwendazake na namna ambavyo huyu mama analalamikiwa huku mtaani. Sasahivi hata mikutano ya CCM watu wanaiona kama mavi yani.
2025 It's either Chadema waichange karata yao vizuri au hao Umoja party, hii CCM haitakiwi kabisa huku mtaani (hata kama mtabisha).
Hivi Lisu yupo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila ccm ni kiboko!
Magufuli aliwakomesha wapinzani kwa fimbo ila mama yeye kawakomesha kwa kuwarambisha asali!
Hii ccm ni lidude likubwa sana! Yani hata wanaharakati aliebaki ni Maria sarungi tu wengine wote kina kigogo wote asali
Hakuna wapinzani nchi wote ni njaa na choka mbaya, ndiomaana kuna kiongozi aliwahi kusema watakoi-challange CCM ni wale waliotoka ndani yake (wanaoijua), sio hawa walalahoi.
Kanda ya ziwa ni CCM..kaskazini kidogo ndio walijaribu kufurukuta lakini hawakuweza kuiangusha CCMUnajua Kanda ya ziwa pekee ina wananchi Wangapi ?
Mimi nahusikaje kwenye kuwazuia wapinzani??Hata Sri Lanka walala hoi ndio wamechomoa Rais. Halafu Kama upinzani haupo Tanzania, mbona mmewazuia miaka Saba Sasa kufanya Siasa.
Viongozi wa chadema wamekaa kimya kama hawapo vile.CHADEMA wamekubali kuzubaishwa na maongezi yasiyokuwa na kichwa Wala mguu.
Unajipendekeza ili ukapige picha ikulu!Mmebakia kuwayawaya tu dadeeki sukuma gang
Kazi unayo mchawi!Hao ni kuwaombea waendelee kuteseka milele
Anayetawala sasa ni Mbowe au vipi?.Waliamini kuwa watatawala milele na masiah wao
Wewe ni sukuma gangNani msukuma? Malupwenyu!
Kwani wewe umeacha lini kushikishwa ukuta?Kuzidi kile kile anachomiminiwa mshikishwa ukuta na akina rob amster
Wajane mmeongezeka baada ya jiwe kutowekaSawa bwashee basi nyie endeleeni kulamba asali
Hatari snKuliko hata corona
Haya bwana baki na mtazamo wako unaothamini matumizi mabaya ya rasilimali watu na muda.Bora kula hela!
Kwani hata usipokula una gain kitu gani?
Kina mdee wana akili sana wameshtukia dili la mbowe na lisu kutaka warambe asali peke yao
Umoja ‘wa wajane, Party!Kazi ipo.
UMOJA Party inasubuliwa kwa hamu mno.
Binafsi nishaomba Kadi kabisa.
Wajane wana nguvu sana.Umoja ‘wa wajane, Party!