Wafuasi wa JPM kujiunga NCCR Mageuzi

Wafuasi wa JPM kujiunga NCCR Mageuzi

Hivi Lisu yupo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila ccm ni kiboko!

Magufuli aliwakomesha wapinzani kwa fimbo ila mama yeye kawakomesha kwa kuwarambisha asali!

Hii ccm ni lidude likubwa sana! Yani hata wanaharakati aliebaki ni Maria sarungi tu wengine wote kina kigogo wote asali
Mpaka yule shangazi yao Karume, JPM hakutaka tu kugawana nao asali ndiomaana walimpinga sana.
 
Unanilazimisha kmuita mama mtu nisiyetaka kumuita hivyo kwasababu zangu za msingi, na unataka nimuite mama kwasababu wewe unamuita hivyo?

Namheshimu ila hawezi kuwa mama yangu hata dunia ipinduke, HAWEZI.
Huyo jamaa ni mpumbavu anataka umweshimu Samia kisa yeye chawa wake! Mbona JPM kila leo wanamtukana! Hawa jamaa mataahira sana!
 
Mpaka yule shangazi yao Karume, JPM hakutaka tu kugawana nao asali ndiomaana walimpinga sana.
Sasa hivi wanaiva chungu kimoja na ccm! Maajabu ee?

Sasa ukimuona mtu kidagaa tu kama mleta mada amekomaa hapa huku anapiga miayo unabaki kumuonea huruma tu!

Kitu anachojivunia Mbowe ni kuwa na wafuasi wapumbavu.
 
Una akili za kipumbavu sana unakosaje kuwa na heshima kwa mtu aliyekuzidi hata umri?

Huyo mama ndiye rais wa JMT hata kama haupendi inakubidi uwe na heshima angalau kwa taasisi ya urais.
Una mavi kichwani! Unachagua watu wa kuwaheshimu? Au kwa vile bwana zako wana ramba nae asali?

Ndio maaan kina mdee wameona bora wakomae na ubungr wale hela kuliko kuendelea kujifanya kuwapigania watu wapumbavu kama nyie!

Mbowe na Lisu wanaramba asali ila mnataka kina mdee waache ubunge ina ingia akilini kweli?

Mmejaza funza huko vichwani
 
Huyo jamaa ni mpumbavu anataka umweshimu Samia kisa yeye chawa wake! Mbona JPM kila leo wanamtukana! Hawa jamaa mataahira sana!
Hizo ndio sampuli anazojivunia Mbowe mkuu!

Mbowe kuwa na wafuasi kama hao anapata raha sana, anawageuza kama samaki.
 
Sisi machadema 2025 tutaungana na ccm kumpitisha Samia kwa kishindo hadi 2030 ili kumkomoa marehemu na sukuma gang.

Yani mr belgiji aendelee tu kura raha na amsterdam
Wewe kweli hamnazo, yaani unaamini kuwa kwa akili zako hizi unaweza kuwa Mwana chadema 🤔🤔🤔
Yaani hata kujua limit ya akili yako pia unashindwa??? Anyway uzuri hasara ni kwa waliokuleta duniani so wapambane na hali zao
 
Wewe kweli hamnazo, yaani unaamini kuwa kwa akili zako hizi unaweza kuwa Mwana chadema [emoji848][emoji848][emoji848]

Sisi mataahira ya chadema tutaungana na ccm kumpitisha Samia kwa kishindo 2025 hadi 2030 ili kumkomoa marehemu na sukuma gang
 
Uko na tatizo la msingi, pita kushoto ukapumzike kidogo. Kama unafikia kiwango cha kujiita taahira sasa una tofauti gani na yule aliyejiita kichaa au Jiwe
 
Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.

Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.

Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.

Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.

View attachment 2286791
Mleta uzi ebu tumia akili..tangu lini ccm ina nguvu..waambie leo hii waje kwenye uwanja wa siasa bila tume ccm,policcm ama mahakmaccm kama watatoboa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa hivi wanaiva chungu kimoja na ccm! Maajabu ee?

Sasa ukimuona mtu kidagaa tu kama mleta mada amekomaa hapa huku anapiga miayo unabaki kumuonea huruma tu!

Kitu anachojivunia Mbowe ni kuwa na wafuasi wapumbavu.
Corona corona corona
 
Wapumbavu ni wazazi wako
 
Una mavi kichwani! Unachagua watu wa kuwaheshimu? Au kwa vile bwana zako wana ramba nae asali?

Ndio maaan kina mdee wameona bora wakomae na ubungr wale hela kuliko kuendelea kujifanya kuwapigania watu wapumbavu kama nyie!

Mbowe na Lisu wanaramba asali ila mnataka kina mdee waache ubunge ina ingia akilini kweli?

Mmejaza funza huko vichwani
Kazi yako naijua hapa mwanza ya kujiuza vilabuni na posho yako ni pegi ya K-vant.
 
Wewe kweli hamnazo, yaani unaamini kuwa kwa akili zako hizi unaweza kuwa Mwana chadema [emoji848][emoji848][emoji848]
Yaani hata kujua limit ya akili yako pia unashindwa??? Anyway uzuri hasara ni kwa waliokuleta duniani so wapambane na hali zao
Wazazi wake wameambulia hasara
 
Mleta uzi ebu tumia akili..tangu lini ccm ina nguvu..waambie leo hii waje kwenye uwanja wa siasa bila tume ccm,policcm ama mahakmaccm kama watatoboa.

#MaendeleoHayanaChama
Tatizo hujaelewa nini ninamaanisha nilivyo mjibu huyo sukuma gang.

Sijawahi kuipenda ccm na sitokuja kuiamini wala kuitetea
 
Back
Top Bottom