Wafuasi wa JPM kujiunga NCCR Mageuzi

Wafuasi wa JPM kujiunga NCCR Mageuzi

Nimeuliza kule twiter! Kwani gazeti la Raia Mwema lilikuwa na bifu na linaendelea kuwa na bifu gani na JPM? Ndo la Jenerali ili sio?
 
Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.

Sasa wameamua kutafuta chama nje ya ccm ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.

Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.

Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.View attachment 2286791
Hivi kwani kile chama chao kimeishia wapi kwani?
 
Hii ndio Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Raia Mwema , Inadaiwa kwamba kitendo cha Ofisi ya Msajili kukalia Usajili wa Umoja Party , ambacho inasemekana kiliundwa na wafuasi wa JPM , Plan B ni wote kuhamia NCCR .

Ngoja tujionee hizi sarakasi mpya .
We unawajuaje wafuasi wa Magufuli. Mmemwona rais mploe mstarabu mmeanza chochoko siyo>? Mnawashwa na nini msifanye shughuli zenu kwa amani? Mwanaumw mzima na pumbu zako unaamka na upuuzi km huu? Huna mchango wowote ktk jamii wewe bora nyumbu wa serengeti
 
Hawaijui nguvu ya Rais hao.
 
Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.

Sasa wameamua kutafuta chama nje ya ccm ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.

Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.

Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.View attachment 2286791
Exactly, nje ya CCM ni powerless
 
We unawajuaje wafuasi wa Magufuli. Mmemwona rais mploe mstarabu mmeanza chochoko siyo>? Mnawashwa na nini msifanye shughuli zenu kwa amani? Mwanaumw mzima na pumbu zako unaamka na upuuzi km huu? Huna mchango wowote ktk jamii wewe bora nyumbu wa serengeti
Sasa, sijui unamwambia nani matusi yako haya. Aliyetufahamisha kilichoandikwa kwenye gazeti, au gazeti lenyewe?
 
Back
Top Bottom