Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Nawewe kalambe asali pale burigiBwashee asali ni tamu mno [emoji39]
Nawewe kalambe asali pale burigiBwashee asali ni tamu mno [emoji39]
Ulimwengu yule Mnyarwanda?Kumbe kaandika mpumbavu Ulimwengu? Basi sawa.
Wakati wa mzee wa burigi kulikuwa hakuna asali, wakati huo ilikuwa ni kazi tu. Kulamba asali kumeanza mwaka huuNawewe kalambe asali pale burigi
Mchuma janga hula na wa kwao.Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.
Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.
Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.
Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.
View attachment 2286791
Endeleeni kuyeseka zamu yenu imekwishaWakati wa mzee wa burigi kulikuwa hakuna asali, wakati huo ilikuwa ni kazi tu. Kulamba asali kumeanza mwaka huu
Atakuwa huyo huyo tu!Ulimwengu yule Mnyarwanda?
Umebanikwa wewe unayemsujudia, mimi nina maisha yangu kabla huyo mhutu hajaingia madarakani.Mhutu anabanikwa kuzimu,
Yeye alikubanika wewe na bado unasubiri kuungana nae ukabanikwe kuzimu
Mtalialia sana mbwakoko nyieWakati wa mzee wa burigi kulikuwa hakuna asali, wakati huo ilikuwa ni kazi tu. Kulamba asali kumeanza mwaka huu
Kuzidi kile kimiminika cha kibailojia unachomiminiwa na mumeo?Bwashee asali ni tamu mno [emoji39]
Wewe ulitaka awe msukuma kama wewe ndiyo ungekubali maandishi yake?Ulimwengu yule Mnyarwanda?
Corona corona kwa sasa inatibikaWakati wa mzee wa burigi kulikuwa hakuna asali, wakati huo ilikuwa ni kazi tu. Kulamba asali kumeanza mwaka huu
Waliamini kuwa watatawala milele na masiah waoMchuma janga hula na wa kwao.
Walilea uovu sasa wanatapa tapa
Wacha wasage visiginoEndeleeni kuyeseka zamu yenu imekwisha
Na sukuma gang ni walewaleCcm ni ile ile.
Hao ni kuwaombea waendelee kuteseka mileleMtalialia sana mbwakoko nyie
Mmebakia kuwayawaya tu dadeeki sukuma gangCcm ni ile ile.
[emoji23]Mama yetu? Sema mama yako, ninamheshimu ila usinihusishe na ujinga wa huyo mwanamke.
Roho zinawauma balaa.Wacha wasage visigino
Nani msukuma? Malupwenyu!Wewe ulitaka awe msukuma kama wewe ndiyo ungekubali maandishi yake?