Wafuasi wa JPM kujiunga NCCR Mageuzi

Wafuasi wa JPM kujiunga NCCR Mageuzi

Hizi zote ni sarakasi za CCM kuwachuuza watu na kudhoofisha juhudi za upinzani wa kweli kuiondoa CCM.

Wanataka kukaa madarakani ili wakope na kujilimbikizia utajiri wa nchi kama kule Sri Lanka na kisha yale aliyosema Ndugai yanatimia.

Dawa pekee ni kuchukua hatua kama wananchi wa Sri Lanka tuu
 
Ingawa inaonekana kama kitu ambacho hakina impact, ila hicho chama kikiachiwa mwanya basi kitakuja kusumbua sana hali ya utulivu wa kisiasa kwenye hii nchi.

Ni chama kitakacho challange madaraka ya CCM kwa kiasi kikubwa sana, hasa ukizingatia msimamo wa wanachi wengi(wa hali ya chini) juu ya mwendazake na namna ambavyo huyu mama analalamikiwa huku mtaani. Sasahivi hata mikutano ya CCM watu wanaiona kama mavi yani.

2025 It's either Chadema waichange karata yao vizuri au hao Umoja party, hii CCM haitakiwi kabisa huku mtaani (hata kama mtabisha).
 
Hakuna wapinzani nchi wote ni njaa na choka mbaya, ndiomaana kuna kiongozi aliwahi kusema watakoi-challange CCM ni wale waliotoka ndani yake (wanaoijua), sio hawa walalahoi.
Nakuona unavyoteseka kwa kukosa sehemu ya kuuza majungu yako.

Hii corona iliwafanya watu kitu mbaya sana maana sasa wanaishi kama wajane.
 
Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.

Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.

Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.

Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.


View attachment 2286791
Hakuna mkubwa nje ya sysytem. alishindwa Lowasa, alishindwa Mrema, alishindwa Membe
 
Sisi machadema 2025 tutaungana na ccm kumpitisha Samia kwa kishindo hadi 2030 ili kumkomoa marehemu na sukuma gang
 
Hivi uko sawa kweli? Wapi wamejiita hivyo?
Sisi machadema 2025 tutaungana na ccm kumpitisha Samia kwa kishindo hadi 2030 ili kumkomoa marehemu na sukuma gang.

Yani mr belgiji aendelee tu kura raha na amsterdam
 
Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.

Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.

Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.

Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.


View attachment 2286791
Kile chama Chao kimeishia wapi?
 
Hakuna wapinzani nchi wote ni njaa na choka mbaya, ndiomaana kuna kiongozi aliwahi kusema watakoi-challange CCM ni wale waliotoka ndani yake (wanaoijua), sio hawa walalahoi.
Hivi Lisu yupo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila ccm ni kiboko!

Magufuli aliwakomesha wapinzani kwa fimbo ila mama yeye kawakomesha kwa kuwarambisha asali!

Hii ccm ni lidude likubwa sana! Yani hata wanaharakati aliebaki ni Maria sarungi tu wengine wote kina kigogo wote asali
 
Una akili za kipumbavu sana unakosaje kuwa na heshima kwa mtu aliyekuzidi hata umri?

Huyo mama ndiye rais wa JMT hata kama haupendi inakubidi uwe na heshima angalau kwa taasisi ya urais.
Unanilazimisha kmuita mama mtu nisiyetaka kumuita hivyo kwasababu zangu za msingi, na unataka nimuite mama kwasababu wewe unamuita hivyo?

Namheshimu ila hawezi kuwa mama yangu hata dunia ipinduke, HAWEZI.
 
Back
Top Bottom