Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Kwa wizikwani CCM inashinda kwa idadi ya kura au kwa uamzi wa NEC?
Kwa wizikwani CCM inashinda kwa idadi ya kura au kwa uamzi wa NEC?
Mhutu anabanikwa kama ndafu huko kuzimu kudadadeqMhutu aliwanyoosha kwa fimbo, mama yeye kawanyoosha kwa kuwarambisha asali nyumbu nyie!
Mbowe, lisu, kigogo na wanaharakati uchwara wote asali alafu kimyaa!
Ccm ni lidude likubwa! Ikulu mtaisikia kupitia redio machame tu
Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.
Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.
Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.
Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.
View attachment 2286791
Hiki chama ni zulia tuu. Kipindi cha jpm Mbatia alihongwa kukiua Chadema.Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.
Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.
Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.
Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.
View attachment 2286791
Sisi manyumbu ya chadema 2025 tutaungana na ccm kumpitisha kwa kishindo Samia hadi 2030 ili kumkomoa marehemu na sukuma gangUko na tatizo la msingi, pita kushoto ukapumzike kidogo. Kama unafikia kiwango cha kujiita taahira sasa una tofauti gani na yule aliyejiita kichaa au Jiwe
Mhutu anabanikwa kuzimu,Mhutu anabanikwa kama ndafu huko kuzimu kudadadeq
Tuseme madai yako ni kweli, sasa inauhusiano gani na wewe kujiita taairaha au kichaa?Sisi manyumbu ya chadema 2025 tutaungana na ccm kumpitisha kwa kishindo Samia hadi 2030 ili kumkomoa marehemu na sukuma gang
Kwani wote ni wafuasi wenu ?Unajua Kanda ya ziwa pekee ina wananchi Wangapi ?
CCM ni hatari kuliko shetaniKwa wizi
Banghi mbaya sana!Kundi la sukuma gang linahangaika bila mafanikio.
Sasa wameamua kutafuta chama nje ya CCM ili wamuangushe mama yetu kwenye uchaguzi ujao.
Niwaaambie tu kuwa kamwe hawataweza maana wana nguvu wakiwa ndani ya ccm tu.
Wakiwa nje ya ccm hakuna atakaye wasikiliza na wataishia hivyo hivyo kuwaya waya tu.
View attachment 2286791
Njaa inapoteza uwezo wa kufikiri!Kwenye huu uzi umeona wapi neno Bavicha wewe chakubanga?
Samia mwenyewe yupo hoi bini taabani uwezekano wa yeye kugombea 2025 ni asilimia 13% labda awe tayari kumwaga damu nyingi sana maana hakuna mpumbavu wa kumchagua ...shika haya maneno yangu ...pia ccm inakwenda kuvurugana 2023 mwishoni kuna kuna mlipuko mkubwa watu wanavuta muda tu ...siku hiyo utajua kuwa samia siyo rais wa kuchaguliwa ...ndani ya ccm wanamkubali kwa asilimia 10 tuHizi ni propaganda ili mhalalishe wizi wa kura, huyu Samia hata yeye anaonekana mgeni kanda ya ziwa.
Chadema inategemea aina hii ya vijana kuingia ikulu!Kwani ile mimba aliyokupachika bado hujajifungua?
Ujinga nao ni sifa!Sukuma gang sasa hivi mnaishi kama digidigi tu
Kukosa elimu lazima upigishwe deki mabanda ya ufipa ikiwa mwenyekiti anakula raha dubai!Haisaidii chochote endeleeni kuvua samaki na kuchunga wanyama
Ndio maana msigwa amewashitukia!Wanajidanganya tu
Chadema ikulu wataisikia kwenye bomba ndio ndoto zenyewe!Wanaishi kwenye ndoto
Hovyoo kiongozi wa siafu!Upo sahihi kabisa kiongozi
Itafaahamika tu 2025 sio mbali!Naona kuna pahala kimekwama ndiyo maana wameamua kwenda kwa mwenzao Zitto