Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 413
- 240
Hiki nacho kihoja, hv teller nayo ni Profession ya mtu kichwa kutamani kusomea?Hata hvo sidhani kama ni taaluma mana sikuwahi kuona kazi hz zkitangazwa na moja ya sifa ikawa labda anatakiwa graduate au dip holder.Wengi n form 4 au
6 leavers.
Rafiki, nmb wametoa post kaangalie requirements maana na teller ipo! Teller ni moja ya aina ya kazi zilizopo bank na kufanya kazi bank lazima uwe na ujuzi inategemea na kazi unayofanya,fanya utafiti CRDB,NMB,EXIM,PBZ halafu utaniambia kama tellers ni form 4 au 6! Labda kama unamaanisha teller wa sehemu yeyote maana kuna teller machine,anaeitumia anaweza kuwa teller hata maduka ya M Pesa,super markets baadhi zina mateller! Ila hapo mtoa mada amezungumzia teller anaefanya kazi bank,huyu tunamuita bank teller!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums