Wafanyakazi benki acheni ulimbukeni

Wafanyakazi benki acheni ulimbukeni

Hiki nacho kihoja, hv teller nayo ni Profession ya mtu kichwa kutamani kusomea?Hata hvo sidhani kama ni taaluma mana sikuwahi kuona kazi hz zkitangazwa na moja ya sifa ikawa labda anatakiwa graduate au dip holder.Wengi n form 4 au
6 leavers.

na huo ni uongo kwa sasa kazi za bank zikitangazwa teller kama anahitajika lazima qualification ya deploma in banking iwepo na degree jaribu ku google au tembelea ukurasa wa ajira hapa jf uchungulie qualifications kwa hizo nafasi
 
kwa namna ya kawaida kila mtu anajua kua hela zinakaa benki..sasa sidhani kama kuna usalama unaohatarishwa hapo
kwamaana hao wa kuhatarisha huo usalama hawaitaji picha kuelekezwa kua benki zina pesa
 
Teller kapiga shule? Shule gani ya Teller inayoweza mtisha mtu.

vijana kibao wana vi masters vyao vya mba na wanachungulia madirishani kama mateller ... ajira zimekuwa ngumu mzidhanie ni enzi za mwinyi sasa wakuuu.
 
na huo ni uongo kwa sasa kazi za bank zikitangazwa teller kama anahitajika lazima qualification ya deploma in banking iwepo na degree jaribu ku google au tembelea ukurasa wa ajira hapa jf uchungulie qualifications kwa hizo nafasi

Ni kweli lkn siyo mtu anamtisha mwenzake kuwa nawe usome uwe Teller.Cha msingi tuache kudharauliana
 
Ni kweli lkn siyo mtu anamtisha mwenzake kuwa nawe usome uwe Teller.Cha msingi tuache kudharauliana

happ tupo pamoja mkuu. tatuzo watu wamekuwa na dharau na ajira za wenzao wakati kwa sasa ajira ni tatizo mtu anapata sehemu ajipatie ridhiki yake aisee. ukienda kampuni za simu utakuta graduate kutwa kucha anapokea simu na kutukanwa na raia tu ila hana jinsi ila bado mtu atamdharau huyu
 
kwa sasa hakuna tena damping field wakuu. kila sehemu inatafutwa kwa gharama yoyote mtu aipate.
 
mateller wa kiume angalieni msivunje laptop/simu zenu maana mnavyomshukia kigogo ni shegeda
 
Whatever kind of job that you do, its how you create value that will justify your end. Kuna watu wana kazi za maana na za kisomi lakini the value that they are creating to their lives is not different to those seemed to have low profile jobs like tellers. So, kuwa mtu wa maana kwa maana ya wa maana itabaki kutegemea kichwa cha mtu na sio kazi anayoifanya. Over
 
Bank kazi zote utafanya, leo teller kesho upo customer service desk, kesho kutwa loan officer, badae mhasibu back office. Kuna kitu inaitwa job rotation unless upande cheo uwe MANAGER
 
  • Thanks
Reactions: amu
Duu mbona mnaidhau hii kazi,Mdogo wangu anafanya mitihani ya CPB anataka kuwa banker msikatishe tamaa
 
Hiki nacho kihoja, hv teller nayo ni Profession ya mtu kichwa kutamani kusomea?Hata hvo sidhani kama ni taaluma mana sikuwahi kuona kazi hz zkitangazwa na moja ya sifa ikawa labda anatakiwa graduate au dip holder.Wengi n form 4 au
6 leavers.

siku hizi mateller ni degree holders
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom