Bank kazi zote utafanya, leo teller kesho upo customer service desk, kesho kutwa loan officer, badae mhasibu back office. Kuna kitu inaitwa job rotation unless upande cheo uwe MANAGER
Mwanaume kufanya kazi ya u teller ni upumbafu

Kazi ni kazi bwana.
kuna usomi gani kwenye kuhesabu pesa?
The end justifies the means!! Hapa unampigia mbuzi gitaa , hawa woote wanaodharau kazi za watu ukivisit thread contributions zao wengi ni jobseekers ambao kwa sasa title yao wanaitwa JOBLESS, .....vijana wanapiga kazi, jobless wanawakatisha tamaa!!
Juzi ijumaa kabla ya swala, nikiwa namalizia kazi za wikend nikapita reception nikakuta kijana mmoja age kama 35 anaongea na mzee mmoja wa reception, sikusimama nkaenda ofisini. Ghafla mzee ananijia eti kuna ndugu yako anakuhitaji! Ndugu? OK mwambie aingie! Kufika tu nkamuuliza unamtafuta nani!? Ooh nimeelekezwa kule juu kuwa unapatikana APA, nkamuuliza uko juu nani kakuelekeza maana mm simjui MTU nimehamia ofisi hii si muda? Akakosa majibu , OK shida ni IPI? Ooh tuongee faragha, nkamwambia hapa ni ofisi yangu ongea, ...kaka sina kazi na mke wangu kajifungua nimemrudisha upareni, apa sijala siku2 ....bla bla kibao , nkajua sasa anatoa CV ...nkahoji kwa iyo? ....eti kaka kama una elfu50 utakuwa umeokoa maisha yangu, ..na siasa nyingi juu, ...nkaona ananipotezea muda, nkamwambia mwambie mzee apo akupe 30 ...akashukuru mpaka basi then akaondoka.... Unajua nilifanyeje? Nilimrudishia mzee 20 na 10 nkamwambia ni gharama ya kunilengeshea Matapeli, ....akanuna!!
ALAF UKU JF UNAKUTA MTU MZIMA ANABANA PUA, KAZI FLANI YA KIKE, PUMBAFU MNATAKA KUOLEWA TU , KAZI HAMTAKI VIDUME!!!
Acha ungese ww unataka akabebe zege ndo kazi za kiume wakati siku izi hata mademu wanabeba zege alafu mnabana pua kazi hakunaaa
Mwanaume kufanya kazi ya u teller ni upumbafu
Sijakuelewa ulichonikot na majibu yako.
Nilikusudia kumqote jamaa mwengine sorry kijana
Endelea kuwa teller. simple!The end justifies the means!! Hapa unampigia mbuzi gitaa , hawa woote wanaodharau kazi za watu ukivisit thread contributions zao wengi ni jobseekers ambao kwa sasa title yao wanaitwa JOBLESS, .....vijana wanapiga kazi, jobless wanawakatisha tamaa!!
Juzi ijumaa kabla ya swala, nikiwa namalizia kazi za wikend nikapita reception nikakuta kijana mmoja age kama 35 anaongea na mzee mmoja wa reception, sikusimama nkaenda ofisini. Ghafla mzee ananijia eti kuna ndugu yako anakuhitaji! Ndugu? OK mwambie aingie! Kufika tu nkamuuliza unamtafuta nani!? Ooh nimeelekezwa kule juu kuwa unapatikana APA, nkamuuliza uko juu nani kakuelekeza maana mm simjui MTU nimehamia ofisi hii si muda? Akakosa majibu , OK shida ni IPI? Ooh tuongee faragha, nkamwambia hapa ni ofisi yangu ongea, ...kaka sina kazi na mke wangu kajifungua nimemrudisha upareni, apa sijala siku2 ....bla bla kibao , nkajua sasa anatoa CV ...nkahoji kwa iyo? ....eti kaka kama una elfu50 utakuwa umeokoa maisha yangu, ..na siasa nyingi juu, ...nkaona ananipotezea muda, nkamwambia mwambie mzee apo akupe 30 ...akashukuru mpaka basi then akaondoka.... Unajua nilifanyeje? Nilimrudishia mzee 20 na 10 nkamwambia ni gharama ya kunilengeshea Matapeli, ....akanuna!!
ALAF UKU JF UNAKUTA MTU MZIMA ANABANA PUA, KAZI FLANI YA KIKE, PUMBAFU MNATAKA KUOLEWA TU , KAZI HAMTAKI VIDUME!!!
Smart phone ukipiga picha GPS iko on mtu anaweza kulocate hiyo picha imepigwa sehenu gani hadi akafika.
Ni ushamba na ulimbukeni wakivamiwa wanaanza kulialia