Wafanyakazi benki acheni ulimbukeni

Wafanyakazi benki acheni ulimbukeni

kamtesh

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,395
Reaction score
514
Kazi ya kwenye taasisi yote ya kifedha ya hitaji usili wa hali ya juu. Hivi karibuni, kumejitokeza katabia ka ulimbukeni kakupiga picha mabulungutu ya fedha kwenye strong room yaani kwenye sehemu ya kuifadhi pesa ndani ya benki. Tabia ya namna hii ni hatari kwa usalama wa benki husika na kwa mtu anaye weka hizo picha kama profile yake. Kuna mambo yakufanyia mzaa, sio mambo ya pesa. Angalieni hizi picha hapa, nimetumiwa, nadhani ilipigwa na mfanya Kazi wa moja ya benki hapa nchini. Nitabia mbaya na naomba wajirekebishe. Sijui munasemaje wananchi wenzangu hapa JF kuhusu hii tabia. Kesho ukifwatwa na panya road, usishangae!
 
Attachments

  • 1420354837382.jpg
    1420354837382.jpg
    24.3 KB · Views: 3,325
  • 1420354863394.jpg
    1420354863394.jpg
    27.4 KB · Views: 4,439
mimi ningependa kumgusia jamaa wabmlimani city teller namba moja jana badala yakuhudumia yeye akawa anapiga stori na.jamaa yake hadi wateja tukammaind.
 
Kazi ya kwenye taasisi yote ya kifedha ya hitaji usili wa hali ya juu. Hivi karibuni, kumejitokeza katabia ka ulimbukeni kakupiga picha mabulungutu ya fedha kwenye strong room yaani kwenye sehemu ya kuifadhi pesa ndani ya benki. Tabia ya namna hii ni hatari kwa usalama wa benki husika na kwa mtu anaye weka hizo picha kama profile yake. Kuna mambo yakufanyia mzaa, sio mambo ya pesa. Angalieni hizi picha hapa, nimetumiwa, nadhani ilipigwa na mfanya Kazi wa moja ya benki hapa nchini. Nitabia mbaya na naomba wajirekebishe. Sijui munasemaje wananchi wenzangu hapa JF kuhusu hii tabia. Kesho ukifwatwa na panya road, usishangae!

soma na wewe uwe teller
 
Huyo teller ni mkaka ee, kama ni uyo na mi nlikuwepo apo jana lakini alikua anaongea huku anafanya kazi.
 
Kazi ya kwenye taasisi yote ya kifedha ya hitaji usili wa hali ya juu. Hivi karibuni, kumejitokeza katabia ka ulimbukeni kakupiga picha mabulungutu ya fedha kwenye strong room yaani kwenye sehemu ya kuifadhi pesa ndani ya benki. Tabia ya namna hii ni hatari kwa usalama wa benki husika na kwa mtu anaye weka hizo picha kama profile yake. Kuna mambo yakufanyia mzaa, sio mambo ya pesa. Angalieni hizi picha hapa, nimetumiwa, nadhani ilipigwa na mfanya Kazi wa moja ya benki hapa nchini. Nitabia mbaya na naomba wajirekebishe. Sijui munasemaje wananchi wenzangu hapa JF kuhusu hii tabia. Kesho ukifwatwa na panya road, usishangae!

Mbona hata Li-Chenge linazo za hivyo aisee!! Usiwaonee hao ma-teller. Unajuaje kama aliyekurushia hizo picha siyo Mtoto Wa Li-Chenge?
 
ndugu,
huna evidence kua hizo pesa zimepigwa benki? we kama huna pesa kausha. je mfano kama mtu kazipiga kwenye safe yake baada ya kufanya biznes zake? au mtu ana ka byuro kake/ au mfano ndo mshahara wangu nimeutoa benki na nimeupeleka ghetto? afu hata kama ni benki, zin hatarisha vp usalama mazee? acha zako wewe, asa hapo kuna mechanism gani mwizi atatumia kuziiba?
 
Hizo picha zipo nyingi tu mtandaoni, unaweza kuzi tafuta kwa Google na ukazipata.
 
soma na wewe uwe teller

Hiki nacho kihoja, hv teller nayo ni Profession ya mtu kichwa kutamani kusomea?Hata hvo sidhani kama ni taaluma mana sikuwahi kuona kazi hz zkitangazwa na moja ya sifa ikawa labda anatakiwa graduate au dip holder.Wengi n form 4 au
6 leavers.
 
hiyo dhana kuwa ni form 4 au 6 imebaki miaka ya 90 kwa sasa ajira ni ngumu sana na za shida ivo hadi wenye masters wanachungulia madirishani kama mateller nao waweze kujipatia ridhiki katika maisha yao... skuizi kazi hazina tena 4 wala 6 kwa asilimia kubwa jaribu kuanzia angalia ualimu,kampuni za simu,banking nk utaliona hilo watu wana degree ya accounts na cpa holder still wanafundisha wanafunzi wa form 4 kwenye shule binafsi za ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom