Wafanyabiashara wote Moshi wamegoma

Wafanyabiashara wote Moshi wamegoma

Wakuu ule Mwendelezo wa Wafanyabiashara Nchini kugomea Mashine za utoaji risiti EFD,Leo Unafanyika katika Mji wa Moshi.Pia wanataka Kesi iliyofunguliwa dhidi ya Mwenyekiti wao Taifa ifutwe.

Tokea Asubuhi Maduka hayajafunguliwa Mpaka Muda Huu Tofauti na siku Nyingine.

Kuna Taarifa Za Mikoa Mingine nako Wafanyabiashara wamegoma.

Wafunge tu Lakin mwisho wa Mwezi nataka kodi yangu Ya frem
Ni tanzania pekee wafanya biashara wanakwepa kodi Kwa kisingizio cha EFD
 
Hata dar leo kuna mgomo

Tusıunge mkono wahuni hawa na wahujumu uchumi.Tuwaandame mafisadi wa kısiasa na hawa wafanyabiashara wakwepa kodi.Hoja zao hazina mashiko.Wanachukua bıdhaa nyngı fekı na kuzırundika kwenye soko letu na kutuuzia bei kubwa.Wanatengeneza faida kubwa kwa kuuza bei zisizostahli kwa bıdhaa na hudumu.Hela isıyolipa kodi nı chafu sawa na zile za Escrow.Hiı ınasababısha gharama za maısha kupanda na kuathirı wasıohusıka na waadılıfu.Pango la nyumba na frames lipo juu kuliko popote Afrika mashariki sio kwa sbbu Tz tuna uhaba wa nyumba wala ardhi bali tatizo n hawa wafanyabıashara ambao wako tayari kulipa gharama yoyote huku wakijua watafdia kwa kukwepa kodi na kuuza bidhaa kwa bei kubwa.Tusıwaunge mkono katu.
 
Umesahau kuwa aliye na kesi ni mchaga?

Ni sawa ila maduka yao hufungua SAA mbili ckuzote maana huwa wanafanya usafi wa ndani ya duka kwanza na nje alafu ndio wanafungua jaribu cku moja kwenda pale moshi stand asubuh ndio utathibitisha
 
Serikali katika hili ijaribu kuwa serious maana hawa wafanyabiashara wakwepaji wazuri wa kodi huku wafanyakazi wanaumizwa. Kwakweli katika HILI, Tafadhali Mwigulu nyooka na hao wakwepa kodi perpendicular maana hatuwezi kujenga nchi kwa mtindo wa kijinga kukwepa kodi kiasi HILI.
 
mimi nashauri serikali wamfunge huyu jamaa tuone kama watafunga biashara kila siku.

Hivi utaratibu wa kukusanya kodi, TRA sheria ni kusimama barabarani?

Hoja ya pili,hivi kwa nini tulipe kodi huku tukitumia vibatari na kunywa maji ya visima? Kodi hizi zinanunua magari ya milioni 300, ?
Mashine nazo majanga tu, tufikiri vizuri
 
Tangu Mwigulu aingie wizara ya fedha amesababisha migogoro na wafanyabiashara,nashauri aondolewe wizarani na huyu Mkiti aachiwe guru????. Halafu eti Mwigulu anataka urais! Pambaf.

"Pambaf" ni wewe usiyejua kuandika.

guru= huru.
 
Ni vyema wagoma wote ili waweze kusikilizwa kuliko kua vigeugeu
 
Wafunge tu Lakin mwisho wa Mwezi nataka kodi yangu Ya frem
Ni tanzania pekee wafanya biashara wanakwepa kodi Kwa kisingizio cha EFD

Hawa ni wahujumu Uchumi.. Inasadikika wanapewa nguvu na Ukawa.
 
Ni sawa ila maduka yao hufungua SAA mbili ckuzote maana huwa wanafanya usafi wa ndani ya duka kwanza na nje alafu ndio wanafungua jaribu cku moja kwenda pale moshi stand asubuh ndio utathibitisha
Ni kweli mkuu wamegoma ila ni wapuuzi tu.
 
Tusıunge mkono wahuni hawa na wahujumu uchumi.Tuwaandame mafisadi wa kısiasa na hawa wafanyabiashara wakwepa kodi.Hoja zao hazina mashiko.Wanachukua bıdhaa nyngı fekı na kuzırundika kwenye soko letu na kutuuzia bei kubwa.Wanatengeneza faida kubwa kwa kuuza bei zisizostahli kwa bıdhaa na hudumu.Hela isıyolipa kodi nı chafu sawa na zile za Escrow.Hiı ınasababısha gharama za maısha kupanda na kuathirı wasıohusıka na waadılıfu.Pango la nyumba na frames lipo juu kuliko popote Afrika mashariki sio kwa sbbu Tz tuna uhaba wa nyumba wala ardhi bali tatizo n hawa wafanyabıashara ambao wako tayari kulipa gharama yoyote huku wakijua watafdia kwa kukwepa kodi na kuuza bidhaa kwa bei kubwa.Tusıwaunge mkono katu.

*********************************
asante kwa kunifumbua macho, nilikuwa najiuliza hili swali ni kwa nn hapa bongo fremu haishikiki....naenda pale masika frem ya kawaida tu ndogo naambiwa laki tano kwa mwezi na wanataka ya mwaka amllbayo ni 6m....nikajiuliza nn nitakachouza kwenye hiki kifremu nipate hiyo hela irudi, jumlisha kodi tra, jumlisha mtaji wa bidhaa, jumlisha gharama za uendeshaji....ikabidi niwe mdogoooo
 
Tusıunge mkono wahuni hawa na wahujumu uchumi.Tuwaandame mafisadi wa kısiasa na hawa wafanyabiashara wakwepa kodi.Hoja zao hazina mashiko.Wanachukua bıdhaa nyngı fekı na kuzırundika kwenye soko letu na kutuuzia bei kubwa.Wanatengeneza faida kubwa kwa kuuza bei zisizostahli kwa bıdhaa na hudumu.Hela isıyolipa kodi nı chafu sawa na zile za Escrow.Hiı ınasababısha gharama za maısha kupanda na kuathirı wasıohusıka na waadılıfu.Pango la nyumba na frames lipo juu kuliko popote Afrika mashariki sio kwa sbbu Tz tuna uhaba wa nyumba wala ardhi bali tatizo n hawa wafanyabıashara ambao wako tayari kulipa gharama yoyote huku wakijua watafdia kwa kukwepa kodi na kuuza bidhaa kwa bei kubwa.Tusıwaunge mkono katu.

Na wewe si ufanye biashara tukuone?
 
Mbeya nako kuna mgomo makubwa sana masoko na maduka yamefungwa
 
Wafanyabiashara Wapo sahihi sana ,sio wakwepa kodi ni walipa kodi wazuri tu na ndio maana unaona Serikali ipo.Swali dogo kwako ni hili "kodi ya Serikali inatozwa katika mauzo au faida?.

Nimekuuliza swali hili kwa sababu inawezekana kabisa haujielewi na umejiandikia tu kwa utashi wako
 
wachaga moshi wagome KUFANYA BIASHARA? Wakigoma najiondoa jamii forums naapa.Migomo ya kufunga biashara ni kwa ajili ya vikabila visivyojitambua vya mikoa mingine visivyojua maana ya biashara ni nini.Moshi wagome chezea wachaga wewe huwajui.

Ulishawahi sikia hata maandamano ya fujo moshi? Hawataki kuharibu biashara maandamano yote ya fujo ni kwa makabila mengine.Mwanza kwa wasukuma,dar kwa wazaramo,Arusha kwa wamasai na wameru,KIGOMA kwa waha,mbeya kwa wanyakyusa,Iringa kwa wahehe n.k sio moshi.

Mdau avoid fallous arguments! Mwanza kuna makabila zaidi ya 30,including all Kurya,Jita and Sukuma dialects,Ha,as well as Asians. Je,unahitaji kwenda course kujua kama makabila yote zaidi ya 120 ya Tz yanapatikana Dar? Una utafiti gani Wazaramo kuwa vinara wa migomo na fujo Dar? For sure Wachaga nao ni binadamu,likija swala la kudai haki halina ukanda,kabila wala chama. "No research,no right to speak!"
 
Ni kweli mkuu wamegoma ila ni wapuuzi tu.

Ipo kamati iliyoundwa kulishughulikia hili na Serikali kupitia waziri wa pesa/kamati ya bunge imeundwa kamati kulishughulikia hili kwa siku 40.

Ila Serikali imekuwa kigeugeu kwa kugeuka makubaliano yaliyo mezani tayari kwa kuamrisha mamlaka zake T.R.A kuwakamata wafanyabiashara wote wasio na mashine na kuwafungia maduka yao hapo ndipo tatizo linapoanzia.

Kero ni mashine na mfumo wake na huo ndio ugomvi mkubwa na tunakubaliana kulisuluhisha kwa maana ya kupata ufumbuzi,papo hapo unageuka na kuendelea kukuza tatizo lile lile lililotufanya tukae meza moja huo ni 'upuuzi'kama Wewe ulivyoonesha 'upuuzi'wako hapa inabidi tukupuuzie ubaki na 'upuuzi'wako.
 
wachaga moshi wagome KUFANYA BIASHARA? Wakigoma najiondoa jamii forums naapa.Migomo ya kufunga biashara ni kwa ajili ya vikabila visivyojitambua vya mikoa mingine visivyojua maana ya biashara ni nini.Moshi wagome chezea wachaga wewe huwajui.

Ulishawahi sikia hata maandamano ya fujo moshi? Hawataki kuharibu biashara maandamano yote ya fujo ni kwa makabila mengine.Mwanza kwa wasukuma,dar kwa wazaramo,Arusha kwa wamasai na wameru,KIGOMA kwa waha,mbeya kwa wanyakyusa,Iringa kwa wahehe n.k sio moshi.

Acha ujinga wewe. Unaandika kama unnaumwa tumbo la kuharisha.
Mji wa Moshi kibiashara ni mji mdogo sana na hauwezi kuulinganisha na miji ya Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya. Wachaga wengi wanaofanya biashara za maduka hawako Moshi, wengi wako mikoani.

Huwezi kuamini wachaga wengi wamepakimbia Moshi na kwenda sehemu nyingi kufanya biashara kwa kuwa ni ngumu sana kutoka kimaisha ukiwa Home land.
 
Wakuu ule Mwendelezo wa Wafanyabiashara Nchini kugomea Mashine za utoaji risiti EFD,Leo Unafanyika katika Mji wa Moshi.Pia wanataka Kesi iliyofunguliwa dhidi ya Mwenyekiti wao Taifa ifutwe.

Tokea Asubuhi Maduka hayajafunguliwa Mpaka Muda Huu Tofauti na siku Nyingine.

Kuna Taarifa Za Mikoa Mingine nako Wafanyabiashara wamegoma.

wakichoka kuyafunga watayafungua
 
Back
Top Bottom