Tani 24 ndio zinasababisha uhaba wa sukari? Mifuko 655???
Haya sasa ni maskhra na ujinga uliopindukia.
wanatafuta wahanga baada tu.Tunataka ripoti ya Lugumi toka (mafichoni),maana hatuwezi sema bungeni bunge linaangaliwa siyo hili la ccm.Wabunge sasa wamekuwa waganga wa kienyeji ajabu hii.Magufuli hakika wamechafua rekodi yako.Majipu hadharani bunge mafichoni.HAWAJAFICHA! WAMEHIFADHI. SI NI MALI YAO! CCM MSITULETEE USHENZI.
Unahangaika na wazee wa oppose everything!Hivi hujui kila mfanyabiashara lazima afuate masharti ya leseni?..ikiwa ni pamoja na kutoficha mali ili kumyanyasa mteja kwa kuuza bei kubwa?...ndio maana kuna Sumatra,Ewura ili kudhibiti bei kumlinda mlaji.Hii biashara ya sukari itatulia tu,baadhi ya walanguzi wanatumia wanasiasa uchwara kuneemeka.Ila udhibiti endelevu utatuliza bei...hata kwenye mabasi kabla ya Sumatra tulisota.......ninachokuambia kwa udhibiti wa serikali hii...sukari haitalipa walanguzi...!
MkuuHao ni wawil wamekamatwa, fikiria kwa Tanzania nzima hawa walanguzi wakiwa 500 ni tani ngapi?
Jaribu kuwa mwelewa..acha mihemkoHii ndio faida ya maamuzi ya kukurupuka. Yaani mtu ukiwa na sukari umeiweka ghalani tayari wewe ni muhalifu. Tatizo ni kwamba mahitaji na sukari tunayozalisha hapa nchini ni tofauti, vinginevyo hao wenye kuficha wasingefanya hivyo. mbona bidhaa nyingine watu wamehifadhi matani kwa matani lakini hakuna upuuzi kama huu!
Mmmmh....tunarudi kwenye ujamaa kwa kasi ya kimbunga,muda si mrefu maduka ya ujamaa na mashamba ya nguvu kazi yatarudi,kila kitaendeshwa kwa amri.Ngoja tuone mwisho wa movie hii.
ha ha ha,safi sana mkuu,sasa ndo wanafiki tutakamata,
tena yale maduka ya kaya kwa ajili ya kudistribut bidhaa adimu kama sukari yaanzishwe nchi nzima
ha ha ha,safi sana mkuu,sasa ndo wanafiki tutakamata,
tena yale maduka ya kaya kwa ajili ya kudistribut bidhaa adimu kama sukari yaanzishwe nchi nzima
Hivi hujui kila mfanyabiashara lazima afuate masharti ya leseni?..ikiwa ni pamoja na kutoficha mali ili kumyanyasa mteja kwa kuuza bei kubwa?...ndio maana kuna Sumatra,Ewura ili kudhibiti bei kumlinda mlaji.Hii biashara ya sukari itatulia tu,baadhi ya walanguzi wanatumia wanasiasa uchwara kuneemeka.Ila udhibiti endelevu utatuliza bei...hata kwenye mabasi kabla ya Sumatra tulisota.......ninachokuambia kwa udhibiti wa serikali hii...sukari haitalipa walanguzi...!
Kwanza mifuko 655 ni kiasi kidogo sana kusema eti mtu "ameficha sukari"
Kwa sababu sukari ni very very fast moving product.
Afu unamkamata mtu kwa kuvunja sheria hipi? Kuifadhi mifuko 655 ya sukari ndo kosa?
Hawa jamaa wame lose focus, they are acting like fools.
Kumbe tunampenda kumsikiliza Mwl Nyerere akiwa anaongea tu, hatupendi enzi zake zirudi!!! Mie naombea zirudi enzi zake ili vijana wa leo waonje ladha ya Mwl ili wakiwa wanamsifia au kumponda wawe na uhakika na wanachokifanya!