Na wewe ni mzungusha mikono?Kwani wakificha tatizo liko wapi au watakuwa kila siku wananunua product yote kiwandani na kuficha?
mleta mada kasema hyo inadhihirisha kuwa ni kweli wafanyabiashara wanaficha sukari,so inaindicate kuwa kuna wengine wameficha pia,mleta mada hajasema hzo tani 24 ndo znasababisha uhaba.Tani 24 ndio zinasababisha uhaba wa sukari? Mifuko 655???
Haya sasa ni maskhra na ujinga uliopindukia.
tatzo watu wanadhani: kukosoa=kuwa na akili kuliko wengine. kuhodhi ni kosa kabisa ukiacha kisheria hata kibinadamu tuu ni kosa maana unafanya kitu kiwe adimu zaid ya uadimu wake.Hyo sukari wanayoficha,wanawanyima haki watumiaji maana hao wafanyabiashara wanaact kama daraja kati ya producer na mlaji so wanapohodhi wanafanya kinyume na kazi waliyopewa(kazi ya kuwa daraja kati ya mzalishaj na mlaji).Interesting;wanachimba mto badala ya kujenga darajahivi ninyi mnaowatetea hao wafanyabiashara mnazo kichwani au?
ma.vi yenu nyie..nyie si ndo mnakuwa wa kwanza kulalamikia bei za sukari ziko juu, matundu yenu ya nyuma nyie...
wanaohodhi ni wahujumu uchumi kweli,wao wapo kama daraja kat ya wazalishaj na walaji lakn kwa kuhodhi bidhaa hapo wanakuwa ni sawa na mto kat ya mzalishaj na malaj.ila wapo wanaotetea me nawashangaa sana humu wanasema et bidhaa si nimenunua mwenyewe mara ooh sjui nn,kama kila ulichonacho ni chako peke yako bhas kujinyonga isingekuwa kosa kisheria.Kwa hiyo na mafuta ya petroli tuache tu wayafiche, serikali itaagiza mengine kutoka nje kwa kutumia foreign currency researve yake!! Sasa wewe huoni kwamba huu ni uhujumu uchumi. Wilaya zingine zitekeleze agizo la PM haraka kama ambavyo Singida wamefanya.
Hapana. Huruhusiwi kuweka stoke. Kama unaproduce ndio utaweka ili kudhibiti uhaba wa baadae. Lakini ukiweka ndani na kuficha ni kutafuta ulanguzi. Soma vizuri masharti ya leseniKwa hiyo nisiweke stoke ya bidhaa yangu
Tani 24 hazi sababishi lakini u adhani kama usipo anza kumdhibiti huyu wa kwanza uliomkamata utawadhibiti vipi hao wengine?? Kama wewe ni mfanya biashara anayeficha bidhaa haya, lakini kama una uzalendo ili wananchi wasipate shida inabidi uwe na nia ya kufichua hao watu wanaoficha bidhaa badala kua negativeTani 24 ndio zinasababisha uhaba wa sukari? Mifuko 655???
Haya sasa ni maskhra na ujinga uliopindukia.
Hilo ni wazo zuri sanaWanaacha kufikiria ni jinsi gani wataongeza production wao wanakimbilia kutafuta walioweka stock yao ndani.
Zalisha kwa wingi mpaka bei ishuke watatoa wenyewe hiyo sukari yao
Mtu kujitunzia mifuko 650 kwenye store yake ndio "kuficha"?Tani 24 hazi sababishi lakini u adhani kama usipo anza kumdhibiti huyu wa kwanza uliomkamata utawadhibiti vipi hao wengine?? Kama wewe ni mfanya biashara anayeficha bidhaa haya, lakini kama una uzalendo ili wananchi wasipate shida inabidi uwe na nia ya kufichua hao watu wanaoficha bidhaa badala kua negative
Kwani ndugu mtanzania yeye madhumuni yake nini? Kujitunzia au kuficha? Maana yeye anaona kuna uhaba hapo ya sukari na hataki kutoa huku akisubisri kwa maksudi bei ipande. Labda wewe unafaidika hapa lakini kwa mtu ambaye ni mtumizi kama mimi na wenzangu sijui kama tutafurahia kwa matendo haya.Mtu kujitunzia mifuko 650 kwenye store yake ndio "kuficha"?