Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,387
- 11,529
- Thread starter
- #41
Alipunguza kwa kweli....sasa wameachiwa....wanafurahi sana wanasema mpaka 2030 aende huyu huyu....walibanwa sana....Ubabe ndio namna pekee ya kuongoza taifa hili sababu watu wengi wapo kimaslahi yani ukijipindua unapigwa! Magu alijitahidi kuwabana japo kwa 70% ila still 30% waliobaki walikuwa wanapiga!