Wafanyabiashara wa hizi bidhaa mjitafakari

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,429
Reaction score
2,683
Habari wanajamii

Kuna utitiri wa maduka mengi sana hapa bongo, mbaya zaidi mengi ya haya maduka yanauza bidhaa nyingi ambazo hazina manufaa kwa taifa!

Kinachoniumiza ni kuona kutokuwepo wa Ubinadamu kila nikilinganisha thamani ya kinachouzwa na uzuri wa duka. Hii kwa wale wanauza Pombe kali, Madawa ya binadamu na vyupi.

Unakuta Liduka likubwa, bango kubwa, ukipima uwekezaji mpaka unashangaa wanatoa wapi Hela hawa watu! Sasa maajabu eti mtu anauza pombe! Yaani mtu anatumia nguvu yote hio kupamba ili aje kuuza pombe! katika vitu vyote alivyowaza pombe ndo aliona biashara ya maana! Kuharibu maisha ya walevi. Hawana hata aibu kila siku wanapoingia dukani kuuza sumu kwa watu. Kwa kweli sio jambo jema ata kidogo.

Wengine ni hawa wanaofungua Pharmacy ukitaka kujua wachawi ni hawa watu wenye pharmacy kazi kuwangia raia wema wa Tanzania waumwe ili wauze madawa yao ya hovyo. Wengine wafika mbali kufungua maduka yao hadi nyumbani kwao, Mtani unashangaa pharmacy tatu huu ni uchawi wapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Na mbaya zaidi wanahamasisha ngono kwa kuuza vitendea kazi!

Wa mwisho hawa wauza vyupi yaani mtu ana duka kubwa kaweka na mlango wa glass kabisa! Ukichungulia unakuta vyupi kamba vimejaa. Kwa watanzania naowafahamu chupi wanavaa zaidi ya mwaka sasa huwa nawaza hayo mavyupi yote Nani akanunua! Tena hizo vyupi za kamba are so uncomfotable mtu akinunua moja hataongezaa.

Ni hayo tuu kwa leo walengwa mkatafanyie kazi.
 
Tulia 🙂
Screenshot_20250401-171833~2.jpg
 
Wa mwisho hawa wauza vyupi yaani mtu ana duka kubwa kaweka na mlango wa glass kabisa! Ukichungulia unakuta vyupi kamba vimejaa. Kwa watanzania naowafahamu chupi wanavaa zaidi ya mwaka sasa huwa nawaza hayo mavyupi yote Nani akanunua! Tena hizo vyupi za kamba are so uncomfotable mtu akinunua moja hataongezaa.
Uongo mkuu watu wamejenga Mahekaru kwa hio biashara usidharau Biashara za watu
 
Heri kuuza majeneza hii biashara haina mbwembwe tatizo kuna wakati wateja hupungua sana
 
Biashara ya pombe inalipa mkuu, sema tu una hasira nazo. Ukiona vipi vaa mabomu tu mwilini na ujilipue.
 
Back
Top Bottom