fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Makasiriko to the pick
Hizi biashara zote zimetengeneza matajiri wakubwa sana. Kuna jamaa alijenga ghorofa kwa kuuza chupi za kike MUCCOBS moshi. Mzee Ruwaichi wa tabata TBL ililipia trip ya Marekani yeye na familia yake kwa kuongoza mauzo ya bia DSM. Pharmacy ina hela kuna kijana nilisoma naye ni Prof Norway ana pharmacy katika station tatu za SGR. Na ni biashara pekee aliyoshawishika kuwekeza nyumbani. Anasema ndio ambayo anaona faida inayoendana na hela anazoweka. Kwa hiyo issue ni kuhangaika na kutafuta wapi unapopaweza.Habari wanajamii
Kuna utitiri wa maduka mengi sana hapa bongo, mbaya zaidi mengi ya haya maduka yanauza bidhaa nyingi ambazo hazina manufaa kwa taifa!
Kinachoniumiza ni kuona kutokuwepo wa Ubinadamu kila nikilinganisha thamani ya kinachouzwa na uzuri wa duka. Hii kwa wale wanauza Pombe kali, Madawa ya binadamu na vyupi.
Unakuta Liduka likubwa, bango kubwa, ukipima uwekezaji mpaka unashangaa wanatoa wapi Hela hawa watu! Sasa maajabu eti mtu anauza pombe! Yaani mtu anatumia nguvu yote hio kupamba ili aje kuuza pombe! katika vitu vyote alivyowaza pombe ndo aliona biashara ya maana! Kuharibu maisha ya walevi. Hawana hata aibu kila siku wanapoingia dukani kuuza sumu kwa watu. Kwa kweli sio jambo jema ata kidogo.
Wengine ni hawa wanaofungua Pharmacy ukitaka kujua wachawi ni hawa watu wenye pharmacy kazi kuwangia raia wema wa Tanzania waumwe ili wauze madawa yao ya hovyo. Wengine wafika mbali kufungua maduka yao hadi nyumbani kwao, Mtani unashangaa pharmacy tatu huu ni uchawi wapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Na mbaya zaidi wanahamasisha ngono kwa kuuza vitendea kazi!
Wa mwisho hawa wauza vyupi yaani mtu ana duka kubwa kaweka na mlango wa glass kabisa! Ukichungulia unakuta vyupi kamba vimejaa. Kwa watanzania naowafahamu chupi wanavaa zaidi ya mwaka sasa huwa nawaza hayo mavyupi yote Nani akanunua! Tena hizo vyupi za kamba are so uncomfotable mtu akinunua moja hataongezaa.
Ni hayo tuu kwa leo walengwa mkatafanyie kazi.
wewe ndio taahiraHabari wanajamii

Una roho ya kimaskini. Kauze maviHabari wanajamii

Umeenda viwandani ? Hawatengenezi pombe, wanaagiza pure ethanol kutoka India wana-dilute na kuongeza flavour. Wana special machines kufanya dilution. Yaani ni dhambi kuliko aisee. kuna kiwanda cha pombe kali kipindi cha Corona kilikuwa kinazalisha sanitizer. Aisee jiulize mtu gani atapika pombe aichachishe mpaka apate Spirit kwa kupitia distilation halafu aitumie kutengeneza sanitizer. Watu wangu wanaunguza maini kwa kukosa maarifa. Hivi viwanda vyote vya pombe kali vilazimishwe kuonyesha uzalishaji wao.Isingekuwa Dhambi
Ningeanzisha kiwanda cha kutengeneza spirit najua mwaka wangu mmoja tu ningetoboa
Yes mkuu ndo spirit inapopatikana ndo mana nikasema isingekuwa Dhambi spirit ingenitoaUmeenda viwandani ? Hawatengenezi pombe, wanaagiza pure ethanol kutoka India wana-dilute na kuongeza flavour. Wana special machines kufanya dilution. Yaani ni dhambi kuliko aisee. kuna ni kiwanda kipindi cha Corona kilikuwa kinazalisha sanitizer. Aisee jiulize mtu gani atapima pombe aichachishe mpaka apate Spirit kwa kupitia distilation halafu aitumie kutengeneza sanitizer. Wafu wangu wanaunguza maini kwa kukosa maarifa. Hivi viwanda vyote vya pombe kali vilazimishwe kuonyesha uzalishaji wao.