HUo ndio ukweli mchungu mambo yakiwa magumu muafrika 90% ataenda kwa mganga ila publicly hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mgangaBiashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga
YeahHUo ndio ukweli mchungu mambo yakiwa magumu muafrika 90% ataenda kwa mganga ila publicly hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
Siri za kwenda kwa waganga watu wapo makini zaidi kuzitunza, hazivujiki kirahisi,HUo ndio ukweli mchungu mambo yakiwa magumu muafrika 90% ataenda kwa mganga ila publicly hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
Ongeza na wafanya kazi pia... Kwa ujumla maisha ya sasa ili watu wafanikiwe wengi wanapitia hukoHasa wenye makabila ya asili ya Tanzania
Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko.
Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga
Biashara ikiwa na wateja wachache huona hawajiongeza, suluhisho ni kwenda kwa mganga
Ndiyo hawa Atheists uchwara hapa JF na hupinga kwa nguvu zote uwepo wa Mungu Muumba mbingu na nchi ilihali wana milango yao wanayopitia kujipatia mali za duniani.Trust me hata madon wakubwa unaowajua hapa mjini Wana waganha wao.
Hakuna mwanasiasa ambae hawawahi enda kwa mganga especially wa mboga mboga.
Ulaya na marekeani Wana rituals zao. Ili utusue lazima ufanyie kitu sio. Ziko za namna nyingi.
Si mlisikia juzi kwenye kashfa ya Diddu kwamba ukila mtu kiboga unetusua.
Kwa kifupi matajiri wote njia zao nyeusi nyeusi. Zina makandokando.
We watakuambia fanya kazi kwa bididj but they will never tell kiaje au wao wanafanyaje mpaka upenye kwenye circle yao.
Kama unaingia hela Yako bila kutoa kafara, zindiko, au kula jasho la mtu wewe shujaa. Usitamani maisha ya watu usiowajua vizuri.
Vyeo, madaraka, kuogopwa kwa kutetemekewa na Wafanyakazi wenzio wakati wote makazini. Kuna Bosi mmoja akiwa ofisini alikuwa anatafuna bigjii akiwa ameshaichovya kwenye chupi ya Ke wake iliyojaa damu za hedhi, mioyo ya Binadamu ni giza nene.Ongeza na wafanya kazi pia... Kwa ujumla maisha ya sasa ili watu wafanikiwe wengi wanapitia huko