Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Alafu wanakwambia ulipe kodi hata sehemu ya kufanyia kazi hujaipataUmesota na bahasha zako kutafuta ajira umekosa ikatokea Kama zali ukabahatika kupata mtaji unafanya biashara vikwazo mwanzo mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app