Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Hakuna koboko ambaye ni mweusiii tiii!!!
Kaka huyo mwenyew bado ni mdogo sana, ni mkubwa wa huyo wamasai wana mfaham vzr wanakutana nai sana hao ktk harakati zao mkuu, labda hiyo mweusiiiiiii tiiiiii ndo imezingua kakin ni yeye mkuu
 
Sasa mkuu kama nikikutana nae uso kwa uso ananimaliza, ni njia gan za kijikinga mkikutana uso kwa uso?
Inategemea unafanya kazi gani kama unaishi mijini uwezekano wa kukutana na koboko aliyekomaa haupo,ila kama kazi yako ni kwenye mapori,uwezekano ni mkubwa au kama ni dereva unasafiri mikoa yenye mapori uwezekano ni mkubwa haswa pale unapoenda kuchimba dawa kuwa mwangalifu ukikutana naye wewe kimbilia ulikotoka.
 
Kaka huyo mwenyew bado ni mdogo sana, ni mkubwa wa huyo wamasai wana mfaham vzr wanakutana nai sana hao ktk harakati zao mkuu, labda hiyo mweusiiiiiii tiiiiii ndo imezingua kakin ni yeye mkuu
Koboko wako wa aina nne ila koboko wanaokuwa wakubwa na hatari ni aina moja tu na huwa na rangi ya khaki hadi maji ya kunde,akikomaa sana huwa na kamng'ao kama ka silva hivi hapo ina maanisha ameshavua gamba mara nyingi sana.
 
Mimi hilo pori nalijua sana kuanzia Sikonge mpaka Inyonga sasa kwenye hilo pori koboko waliokomaa ni wengi kuna wengine wanafikisha mita 19 na kuendelea. hahahaa..
Mkuu napenda sana kuangalia nyoka, hapa nasoma post kwa post....natamani niende huko sikonge
 
Hiii kali kuliko
 
Mkuu napenda sana kuangalia nyoka, hapa nasoma post kwa post....natamani niende huko sikonge
Kuazia Ipole mpaka Inyonga kutoka Iinyonga mpaka 40km kufika Mpanda halafu ingia Katavi hayo maeneo kila mtu ameshawahi katika nyakati tofauti na koboko aliyekomaa.
 
Ipo siku nitapitia barabara hiyo Mungu akinijaalia.
Hivi siku hizi imewekwa lami?
 
Ipo siku nitapitia barabara hiyo Mungu akinijaalia.
Hivi siku hizi imewekwa lami?
 
Kitu hicho kunalinda eneo lake,tofauti ya koboko na nyoka wengine ni kwamba nyoka wengine huwa hawajui waendako ila koboko huwa na maeneo yake maalum ya kuwinda usiku ukifika anaingia kwenye machimbo yake haswa kwenye miti yenye matundu katikati.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…