True! Kwenye hilo pori ndio nilimuona swila mweusii tii! Nilipomsogelea akanyanyua dishi lake alikuwa swila kwelikweli nikapiga breki nikasubiri aondoke na kweli alivyoniona nimekuwa mpole akaondoka.najua mara nyingine sisi binadamu tunakuaga kama crazy flani hivi. Yan unakuta mtu anajitengenezea tatizo kubwa kwa hata miaka 20. Cku ambayo tatizo litajitokeza sasa hapo
Black mamba ni kama mla ganja aliyedata..hahitaji kuchokozwa wala nini..huyo nyoka ni mwehu yupo nervous sana..atakutoa nduki tuKwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!
Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!
Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Swila muoga..mpaka umzonge ashindwe kutoka ndo shughuli utaiona..ila mamba/koboko huo ni mziki mwingine..anapenda utulivuTrue! Kwenye hilo pori ndio nilimuona swila mweusii tii! Nilipomsogelea akanyanyua dishi lake alikuwa swila kwelikweli nikapiga breki nikasubiri aondoke na kweli alivyoniona nimekuwa mpole akaondoka.
Swila niliyemuona siku ile alikuwa na hasira za ajabu.Swila muoga..mpaka umzonge ashindwe kutoka ndo shughuli utaiona..ila mamba/koboko huo ni mziki mwingine..anapenda utulivu
Huwa anazaa au anataga mayai?Maana anaconda anazaa baada ya miez 6 kama sikosei.na anazaa watoto wengi karibu 20 hadi 30
Tumezoea kuona chatu wakubwa wanafugwa na watu au vikundi vya utamaduni, Black mamba aliyekomaa anaweza akafikia ukubwa huo wa chatu lakini huwezi kumpata akiwa mikononi mwa watu hata hoko snake farms huwezi. Mambas wa ukubwa huo, wapo katika mapori na misitu mikubwa na siku hizi ni wachache sana, nadhani wanauwa"Black Mamba mwenye ukubwa wa chatu"???..... Hebu fananua plz
True! Kwenye hilo pori ndio nilimuona swila mweusii tii! Nilipomsogelea akanyanyua dishi lake alikuwa swila kwelikweli nikapiga breki nikasubiri aondoke na kweli alivyoniona nimekuwa mpole akaondoka.
Arusha snake park nimeshafika mkuu, kuna Black Mamba lakini sio wa ukubwa wa kutisha ni wa size ya kawaida. Ni vigumu kumuweka Mambas aliyekomaa ukamfuga kama unavofuga chatu, hatu exaggerate lakini na hatari yake haipimiki. Hata yule mzungu wa South Africa anaeitwaga majumbani kwa watu kukamata nyoka hebu muangalie anapoitwa ku deal na Black Mamba jinsi anavyokua muangalifu kupita kiasi akimuonya na na mkewe pia. Tena Koboko wenyewe anaowafata wanakua wa size ya kawaida tuMkuu wapo arusha eneo moja wanaliita snakes park kila aina ipo pale
Huyo mzungu iko siku yake,atakutana koboko anayejua shughuli mzungu atanyooka tu.Hata yule mzungu wa South Africa anaeitwaga majumbani kwa watu kukamata nyoka hebu muangalie anapoitwa ku deal na Black Mamba jinsi anavyokua muangalifu kupita kiasi akimuonya na na mkewe pia. Tena Koboko wenyewe anaowafata wanakua wa size ya kawaida tu
anavyoslide sasa,huyo ndo black maba,a.k.a hongoView attachment 724533
Koboko huwa na miujiza fulani hivi,tazama huyo ndege anavyomshangilia.
Hua anakutana na vitoto vya kobokoHuyo mzungu iko siku yake,atakutana koboko anayejua shughuli mzungu atanyooka tu.
Huyo ndege anamsindikiza kwa nyimbo tam tam.anavyoslide sasa,huyo ndo black maba,a.k.a hongo
Ana slide kulia na kushoto kwa kasi ya ajabu huku kichwa na robo tatu ya mwili wake kainua juuanavyoslide sasa,huyo ndo black maba,a.k.a hongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cha kufanya baada ya kupokea last warning kutoka kwa muheshimiwa Blackmamba, kumbuka wakati huu mtakuwa mmetenganishwa umbali wa either mita mbili au tatu..
1- Usithubutu kuinama kuokota chochote kwa lengo la kumshambulia.
2- Kama unafimbo na hunahakika na shambulio lako endelea kujikausha huku ukiomba sana dua.
3- Huku ukimuangalia kwa makini kwa utulivu kabisa rudi nyuma taratibu kuongeza umbali baina yako na muheshimiwa.
Ukionesha nidhamu kwa hatua hizo tatu juu, unaweza kutoka salama..!!! hapo sasa nenda dukani, kanunue soda baridi sana uipendayo na ujipooze maana mpaka kufikia hapo utakuwa umesweat vya kutosha sana!!!