Wadudu watamu hawa, nyie acheni tu!

Wadudu watamu hawa, nyie acheni tu!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
asian-tiger-shrimp.jpg



for-seafood-lovers.jpg



IMG_5659.jpg



Karibuni FORODHANI ZANZIBAR
 
Sikujua kama ni ''wadudu''...
 
Mie napenda hiyo picha ya 3, hivyo vingine silagi. Nlikuja mjini na kimbunga cha tonado.

Napapenda forodhani na kile kimgahawa karibu na CRDB, sijui kinaitwaje. Vyakula bei rahisiii afu vitamu.

Kongosho, nitaku PM nambari yangu tutafutane shogangu
 
Da forodhani pazuri sana unapata sea food za ukweli na dotoz wa kiunguja,hapa dar akitokea mtu akibuni kama pale zenj atapiga fweza za maana.
 
Nilishawahi kuwa na meza hapo foro kabla ya kufanya kazi blues zanzibar na baadae serena hotel zanzibar.
 
Nilishawahi kuwa na meza hapo foro kabla ya kufanya kazi blues zanzibar na baadae serena hotel zanzibar.
Umewahi kufanya kazi Blues? Mbona miye sikujui!
 
Roho yaniumaaaaa Zinduna hujaweka na juice ya mua then urojo wa kokoni kwa kombo lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa hapo hivi majuzi kwenye tamasha a Sauti za Busara. Nitarejea Forodhani, pazuri sana
 
picha ya kwanza hivi ndio vipo tayari kuliwa au ndio vinaenda kupikwa...duh naogopa sana wadudu
 
Back
Top Bottom