Wadudu watamu hawa, nyie acheni tu!

Wadudu watamu hawa, nyie acheni tu!

asian-tiger-shrimp.jpg



for-seafood-lovers.jpg



img_5659.jpg



karibuni forodhani zanzibar

ukute farkhina ndo kawaandaa...dah,utajilamba mwenyewe
 
natamani siku moja niende tena honemoony yangu nlivokua zenji nlikula sana hao wadudu...
 
Hivi vitu navionaga tu kwenye pic siku moja ntafika huko zanzibar nivile.
 
Hivi ktk dunia hii kuna vnono na vitam kuliko nguruwe? Hakunaga bwana! Ngisi na pweza ni km karanga tu

usimchokonoe farkhina ila we ndo humjui tu,akiandaa hata mchicha utatamani usinawe mikono ili uwe unajilamba kila siku
 
Usije jikwaa maana avatar na uhalisia mbali mbali. Lisije kuwa dume lenzako likakuletea majanga Zenji na tunavyochukiwa usipime. Take care

Mnachukiwa kisa ni nini?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom