Hikma
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 497
- 415
Pole mkuu
huwa sipendi shombo, kwahyo nikila kitu kama hiko lazima nijisikie kichefuchefu
huwa sipendi shombo, kwahyo nikila kitu kama hiko lazima nijisikie kichefuchefu
muulize husninyo anazijua 'fumbili?',hahaaa ni balaaa aisee
Binadamu wanakula sana "uchafu"...!
Zanzibar nitarudi tena wallah..........
nasikia we ni bonge la mpishi wa mambo flani kweli??Muombe mungu msamaha...chakula unaita uchafu? Kuna watu wanakufa njaa wanataka walau theluthi ya hiyo unayoita uchafu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
nasikia we ni bonge la mpishi wa mambo flani kweli??
Rudi mapema kabla ya bunge maalumu la katiba, Likiisha tu muungano kwisney.
Makruh yamekatazwa kuliwa na dini yako.... hayo unayotangaza huwa naona kinyaa sana...![]()
![]()
![]()
Karibuni FORODHANI ZANZIBAR
Dada vipi unamaanisha kule Syria au? maana hata Koran inakataza kula Uchafu kama wewe unapinga kula na Nguluwe... huko Marekani waislam walishindwa kutoa majibu baada ya Nguluwe kufungwa kwenye mazingira masafi kupita maelezo waislam waliitwa kula wakakataa wakasema nguluwe ni wachafu wakaambiwa na kuoneshwa jinsi alivyotunzwa wakastaajabu...Usafi uliopitiliza.... wewe waweza kula?Muombe mungu msamaha...chakula unaita uchafu? Kuna watu wanakufa njaa wanataka walau theluthi ya hiyo unayoita uchafu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums