nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Hili jinamizi muungano maana viongozi wa zenji wanaokula 4.5 % inayotoka TRA kuja kwenu na badala yake wakapandikiza mbegu mbaya ati umasikini unatokana na muungano kumbe UFISADI wa viongozi wenu. Hili linafanya watuchukie Sikiliza hapa (bofya). Akija sijui kama hatobikiriwa kwa chuki zenu kwetu.Mnachukiwa kisa ni nini?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums