Wadau wa bidhaa za gnld mnijuze jamani!

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Naliweka hili jamvini ili nipate kujua,

Lwa kifupi mimi ni graduate wa level ya bachelor,lakini ajira imenipa kisogo kwa miaka miwili yaani cjawahi kuajiriwa sasa nimeona nijiajiri lakini juzi nilipata bahati ya kuingia kwenye mkutano wa wadau wa gnld nikaelezwa mengi ambayo yamenishawishi kufanya hiyo biashara japo nijikimu kidogo sasa nilikuwa nawauliza wadau hususan wale ambao wamejihusisha na wanajihusisha na hii biashara.

Je faida ni kama tunavyoshuhudiwa na watu kwenye mikutano ,kama ndivyo ni namna ipi ya kuifanya biashara hii vizuri? Na zipi ni changa moto zake?

Asanteni wadau
 
MKUU KAMA UNAMTAJI WEWE KOMAA NA AIDEA YAKO YA BIASHARA ACHANA NA HAWA WATU, NI SAWA NA FOREVEL LIVING,

- Hawa watu ukienda kwenye mikuatano yao watakueleza mambo matamu sana na watakumbia biashara pekee duniani ni ya kuuza hayo madawa na kutafuta wanachama iko kama UPATU,

- Haya makampuni huwa wanatunga story za mafanikio na wanawawekea mikanda ya watu wanao dai walikuwa masikini sana lakini baada ya kujiunga na mtandao wao wamekuwa matajiri sana

- Huwa hata wanaleta watu waliopikwa waje kuwambia wao walukuwa mafundi viautu na sasa ni matajiri, wengine utaambiwa walikuwa ma hose girl na sasa ni matajiri

- Kwa kifupi kwenye marketing wako vizuri sana wana lugha za kuvutia watu kujiunga nao na wana story nzuri sana

MKUU SASA NJOO KWENYE VITENDO, HAPO NDO UTAGUNDUA NI KWA NINI SIKU ZOTE THEORY NA PRACTICE HUWA ZINAPINGANA

MKUU NI VIGUMU SANA NI LAZIMA UJUE KUDANGANYA WATU NA MADAWA YAO NI GHALI SANA NA INABIDI UZUNGUKE KUTAFUTA MEMBERS SEHEMU MBALIMBALI

MKUU ILA KUJA KUFIKIA WATU ULIONYESHWA MIKANDA YAO KWENYE POWERPOINT SI LEO WALA KESHO INAWEZA KUKUCHUKUA MIAKA 15 HADI 20
 
Biashara utapiga kwato mpaka soli za viatu zibanduke. Ile faida ipo iwapo utakuwa na wateja wa uhakika wa hizo products.
 
Sikushauri kijana mdogo uingie kwenye hiyo mitandao yaki Pyramid.

Ni afadhali mara 10 uniambie unafyungua kigenge hapo kwenu, unaenda tandale/buguruni unaleta mzigo unauza reja reja.

Au unafgungua kibanda cha Chips
 
kwanini humshauri afanye?
 
Ile ni network business, unatakiwa uingize watu wengi sana na hao watu lazima waingize watu. Isiishie kuingiza sana na wawe wananunua biddhaa na kuuza na wewe lazima ununue na kuuza. Ukiwa na watu wengi wanaonunua na kuuza, ndio unapoongeza Points Values zako dhidi siku zinavyosonga mbele. Hatimaye itakusaidia kupata vyeo na gawio. Cheo cha mwanzo ni manager an kuendelea

Kwa kifupi inahitaji uvumilivu sana na kujituma. Mafanikio hayaji kirahisi sehemu yoyote. Nakushauri utafute ajira yoyote wakati unafanya kazi hiyoo. Umesomea nini?
 
mmmh hii ni kama upatu utatembea ka machinga mimi nimeshuhudia watu miaka neda rudi wako vile vile.
If wishes were horses, then beggars would ride
 
Pole mkuu na mimi sikushauri ufanye hiyo biashara nina mfano hai dada yangu wa kuzaliwa amefanya biashara hii kwa zaidi ya miaka 7 hakuna lolote alilopata ni kuzaga lami mwanzo mwisho japo hana elimu kama yako.
 
Stop!stop.ni hatari kwa elimu yako.hiyo ni pyramid scheme na ipo kwenye orodhaya aina za biashara hizo haramu.wao watakudanganya kuwa ni network marketing.swali la kujiuliza wana vibali vya wizara ya afya kuwa magonjwa wanayoyahubiri tanatibiwa na hayo majuice yao?(na sio kibali cha kuwa haina madara kwa binadamu)mbona huyu mgonjwa wa tanzania amekuwa kama shamba la bibi?mara gnld,mara forever maneno kibao lakini watu hawaponi wanaendelea kuibiwa.kijana achana na hiyo kitu bora ukauze nyanya waliocheze hiyo upatu mwanzoni ndio waliopata lakini sasa hivi watu wameshtuka hawayatumii tena baada ya kuwaona waliotumia awali hakuna mabadiliko.si uliona semunge imeyeyuka yenyewe hilo halikuhitaji mahubiri ila baada ya watu kutumia na wengine kutoa mashuhuda ya uongo mwisho wa siku lazima ukweli utajitenga na uongo
 
naliweka hili jamvini ili nipate kujua,kwa kifupi mimi ni graduate wa level ya bachelor,lakini ajira imenipa kisogo kwa miaka miwili yaani cjawahi kuajiriwa sasa nimeona nijiajiri lakini juzi nilipata bahati ya kuingia kwenye mkutano wa wadau wa gnld nikaelezwa mengi ambayo yamenishawishi kufanya hiyo biashara japo nijikimu kidogo sasa nilikuwa nawauliza wadau hususan wale ambao wamejihusisha na wanajihusisha na hii biashara ,je faida ni kama tunavyoshuhudiwa na watu kwenye mikutano ,kama ndivyo ni namna ipi ya kuifanya biashara hii vizuri? Na zipi ni changa moto zake? Asanteni wadau

ukiishi kwa kusikiliza ya watu utasanda maisha yako yote !!!! Mimi nafanya hiyo biashara part time na napata kipato kizuri cha ziada na sio ngumu kama unavyofikiria !!!! Niko kwenye kampuni tofauti na yako !!!! Nimesoma ninajua faida za kujituma kwa bidii.......sasa kama unaishi kwa maneno ya watu...pole sanaaa !!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: len

mkuu nimekusoma ni pm basi unipe realities za hiyo unayofanya
 
The fact is, that to do anything in the world worth doing, we must not stand back shivering and thinking of the cold and danger, but jump in and scramble through as well as we can. Robert Cushing
 
MKUU KAMA UNAMTAJI WEWE KOMAA NA AIDEA YAKO YA BIASHARA ACHANA NA HAWA WATU, NI SAWA NA FOREVEL LIVING,

- Hawa watu ukienda kwenye mikuatano yao watakueleza mambo matamu sana na watakumbia biashara pekee duniani ni ya kuuza hayo madawa na kutafuta wanachama iko kama UPATU,

- Haya makampuni huwa wanatunga story za mafanikio na wanawawekea mikanda ya watu wanao dai walikuwa masikini sana lakini baada ya kujiunga na mtandao wao wamekuwa matajiri sana

- Huwa hata wanaleta watu waliopikwa waje kuwambia wao walukuwa mafundi viautu na sasa ni matajiri, wengine utaambiwa walikuwa ma hose girl na sasa ni matajiri

- Kwa kifupi kwenye marketing wako vizuri sana wana lugha za kuvutia watu kujiunga nao na wana story nzuri sana

MKUU SASA NJOO KWENYE VITENDO, HAPO NDO UTAGUNDUA NI KWA NINI SIKU ZOTE THEORY NA PRACTICE HUWA ZINAPINGANA

MKUU NI VIGUMU SANA NI LAZIMA UJUE KUDANGANYA WATU NA MADAWA YAO NI GHALI SANA NA INABIDI UZUNGUKE KUTAFUTA MEMBERS SEHEMU MBALIMBALI

MKUU ILA KUJA KUFIKIA WATU ULIONYESHWA MIKANDA YAO KWENYE POWERPOINT SI LEO WALA KESHO INAWEZA KUKUCHUKUA MIAKA 15 HADI 20

GLND ni upatu....full stop
 
ukiishi kwa kusikiliza ya watu utasanda maisha yako yote !!!! Mimi nafanya hiyo biashara part time na napata kipato kizuri cha ziada na sio ngumu kama unavyofikiria !!!! Niko kwenye kampuni tofauti na yako !!!! Nimesoma ninajua faida za kujituma kwa bidii.......sasa kama unaishi kwa maneno ya watu...pole sanaaa !!!!!!!!
Ndio walewale wazee wa desi
 
hakuna mwanzo unaokuwa rahisi hata siku moja. Ni lazima ujitume sana kwa kila jambo linalohitaji mafanikio.
 
  • Thanks
Reactions: len
Back
Top Bottom