Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Last edited by a moderator:
Itakuwa vizuri sana!!!Hilotu,usijali
Hahaha nilijua tu!!COPY: Ruttashobolwa.
Hapo sawa nitafute ukiwa na muda nikupeleke shivas uka kaguliwe kwanza! !
nasikitika machoni nalia moyoni sitakuwepo... itabidi nikate rufaaa
Ha ha ha haaaaa...
Nasikitika kukukosa
Anakudanganya huyo Passion Lady. Mtu anakaa nduruma atakulaje lunch sakina!? Mpotezee.Itakuwa vizuri sana!!!
Haha leo kama kawaida pale pale jioni mkuuAnakudanganya huyo Passion Lady. Mtu anakaa nduruma atakulaje lunch sakina!? Mpotezee.
kama kawa!Haha leo kama kawaida pale pale jioni mkuu
salaam zimefika ngoja nikipata nafasi niende kwao kabisa
usijali nikirudi tu nashukia kibamba...
Anakudanganya huyo Passion Lady. Mtu anakaa nduruma atakulaje lunch sakina!? Mpotezee.
Kazi ipo!!mmmh!kumbe anakaa nduruma,machale yamenicheza sijaenda,ila umepotea mzee wa kukagua,kulikoni!
Kazi ipo!!
Wewe ndo unakaa Nduruma. Mie naishi Kiding'a.mmmh!kumbe anakaa nduruma,machale yamenicheza sijaenda,ila umepotea mzee wa kukagua,kulikoni!
Wewe ndo unakaa Nduruma. Mie naishi Kiding'a.
COPY: Ruttashobolwa.
Hahaha nilijua tu!!
Kibamba utakuwa umekosea kidogoo