Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Last edited by a moderator:
Jamani salimia my lovly sis sweetlady... mwambie lile gauni langu jekundu nililomuazima avae siku ya Valentine anirudishiege khaaaaa......... ndo kashafanya lake kisa mie ndogo wake.... Akhu undugu mpaka kufiliasiana :dizzy::dizzy:
Y utoroke?wataka kwenda wapi yakheee!
Kumbe ndio lengonazidi kupata mkandamizo wa........ sasa inabidi nirudi kwanza home nikaone watoto lakini hasa mama yao
Leo wapi madame!Kumbe ndio lengo
mi nakuruhusu toroka kama ni hivyo!
Leo wapi madame!
Ndofu rexona leoaahhh ntatorokua tu ngoja nichonge ramani. leo ndofu wapi?
COPY: Passion Lady Tonykp, ErickB52, Fillipo
aahhh ntatoroka tu ngoja nichonge ramani. leo ndofu wapi?
COPY: Passion Lady Tonykp, ErickB52, Fillipo
Usijali kuhusu ndofu hatujajua ni wapi
ila baadae tutakujuza!
nimejibu kwa niaba yao lol!
cc: Tonykp Erickb52 Arusha one Filipo na wengine wa arusha!aaahhh mmenitosa nimekula ndofu peke yangu... mpaka nikaonekana natega...lol
cc: Tonykp Erickb52 Arusha one Filipo na wengine wa arusha!
mi ndio namba mojawe mbona haumo umeanza kujitenga kama M23