Tonykp
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,642
- 680
Msamehe bana alikuwa hajuiWe muache ajishebedue tu hapa,nikimkuta road namtimulia vumbi akohoe mwaka mzima!
Msamehe bana alikuwa hajuiWe muache ajishebedue tu hapa,nikimkuta road namtimulia vumbi akohoe mwaka mzima!
Msamehe bana alikuwa hajui
Mpaka kwake tena? ??Aisee hapana! !!!Kwa kua umemuombea msamaha, nikikutana nae nitampa lifti mpaka kwake kabisa!
Mpaka kwake tena? ??Aisee hapana! !!!
Sa c ndio lifti yenyewe nitamuachaje njiani jamani,itakua roho mbaya!
Hivi bado upo arusha /???u mkarimu sana.... barikiwa wa jina la Baba
Mgeni kesha kuwa mwenyeweji sasaSa c ndio lifti yenyewe nitamuachaje njiani jamani,itakua roho mbaya!
u mkarimu sana.... barikiwa wa jina la Baba
Hivi bado upo arusha /???
Umeona eeeee!upendo ndio amri kuu
hatuna budi kutekeleza!
Mgeni kesha kuwa mwenyeweji sasa
we acha tu.... itanibidi nitoroke
we acha tu.... itanibidi nitoroke
mkuu sijawa mwenyei kihivyo bado sijajua saloon nzuri ya kunyoa nimekaa huku mpaka afroo imeota.
ila mkuu usinipeleke zile saloon za mitego kama dar
mhhhhhh!mwambie akulete kwangu!
nitajifunza kunyoa ndevu kwa ajili yako mgeni!
Consult the manager first! !ukishajifunza unishtue!
Full body massage tonight mmmmmmh! !na ww utanyoa au unataka scrub tu!