Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
mmhh!! nshajikaugua shahidi passion lady
Usijali,yeye kazoea kukaguliwa, alikua hajui kama kuna kujikagua mwenyewe mtu ukitaka!Tonykp kakaguliwe salama wk/end ndo ishafika!
mmhh!! nshajikaugua shahidi passion lady
Kama vipi akupe uende nalo DSM me naja huko Passaka ntalikuta kwako!!!
Usijali,yeye kazoea kukaguliwa, alikua hajui kama kuna kujikagua mwenyewe mtu ukitaka!Tonykp kakaguliwe salama wk/end ndo ishafika!
COPY: Ruttashobolwa.
Jiwe Linaloishi; Karibu sana A town!
Na hata sogea mpaka huku town utatukuta!
Anakudanganya huyo Passion Lady. Mtu anakaa nduruma atakulaje lunch sakina!? Mpotezee.
angali angalijua wala asingalisema... week end wadau wapi PL?
Mama eeeeee,Filipo nitake radhi coz nikikukamata utanitambua!
Mkuu kwema upoo ?
Mi kwa leo nipo kihome home,kesho mi ndio naanza wk/end!
Ha ha ha!!!!!Umeona eeeee!huyo ndio Filipo,labda yy mtt wa njiro PPF kwa mafogo lol!
Huyo sio wa matoyo kamanda! !!!We sema muda huo hata toyo za Nduruma zinakuwa hazipatikani. lol.....
umeona eeee,yani huyo na yule mwenye avatar ya mnara wa mwenge waabaaayaaaaa!
Mkuu kama bado upo ni PM nikutafute!
Poa mkuuu, bado nipo
utanikamatia wapi sasa! kutoka Mlangarini hadi Longijabe unadhani mchezo! hah hah hah hah haaaaa!
Ntakuwa Tembo Club kuanzia saa tisa na nusu.
Karibu sana
We sema muda huo hata toyo za Nduruma zinakuwa hazipatikani. lol.....
Huyo sio wa matoyo kamanda! !!!
Ntakuwa Tembo Club kuanzia saa tisa na nusu.
Karibu sana