Wadau wa arusha mpooo!! Jiwe ndani ya arusha

Wadau wa arusha mpooo!! Jiwe ndani ya arusha

JiweLinaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
3,737
Reaction score
2,139
Wadau wa Archuga heshma yenu,

Niko njian nakuja Arusha ntakuwa huko kwa mda kidogo kwa wale watakaopata nafasi si vibaya tukafahamiana na kubadilishana mawili matatu

Arusha si mgeni ila nikipata wenyeji itakuwa poa zaidi.

PM ruksa...

kwa wale wanaokaa maeneo ya ngurudoto ni rahisi tunaweza kuonana jioni baada ya mishe mishe, mi nina kazi pale ngurudoto kwa siku kadhaa

Jiwe linakaribia kuwa la Tanzanite saa duh

Arachuga......mmhh!!!!

Updates

My brother & Sisters , Arushaone, PakaJimmy Filipo, Mr Rocky Erickb52 Tonykp
Preta sweetlady Blaki Womani, Lily Flower, marejesho Passion Lady na wengineo wote
wadau wa Arachuga nimebaki na siku moja tu ya kesho J4 kuwa hapa arusha, kesho kutwa J5 ntakuwa safarini kurudi dar nategemea kurudi arusha baada ya wiki moja.
Natangulize shukrani zangu mapema kwenu kwa ukarimu wenu mlionitendea kipindi chote nilichokuwa hapa, kesho jioni nafasi ikipatikana tunaweza kuonana kwa wale ambao hawatakuwa tite.

Passion Lady asante sana kwa Moves
Arushaone shukrani sana kwa kufanikisha mjumuiko wa jana na wale wote walioufanya ukawa wa furaha, Chilipo chilipo msalimie sana shemeji.
kwa wale ambao ratiba zao na zangu zilipishana tuombe uzima nikirudi tataonana hasa dada zangu wengi sijawaona ningependa kuwaona tusijepigana vikumbo huku mjini.

Aikenyi sana
Jiwe
 
Jamani salimia my lovly sis sweetlady... mwambie lile gauni langu jekundu nililomuazima avae siku ya Valentine anirudishiege khaaaaa......... ndo kashafanya lake kisa mie ndogo wake.... Akhu undugu mpaka kufiliasiana :dizzy::dizzy:
 
Last edited by a moderator:
weeeee.....hebu usitulize wenzio.....jua leo lipo nyuzi 33 unasema baridi.......wacha kabisa.....


Na mm nimeshangaa,jua, joto vinatuliza,sijui jiji letu limepatwa na nini aisee,ila mgeni akaribie hivyohivyo!
 
Utasutwa wewe! Nikuelekeze tulipo na mgeni?

kiingiacho kwa mganga hakirudi. Na ujue mganga haagizi samaki
Jamani salimia my lovly sis sweetlady... mwambie lile gauni langu jekundu nililomuazima avae siku ya Valentine anirudishiege khaaaaa......... ndo kashafanya lake kisa mie ndogo wake.... Akhu undugu mpaka kufiliasiana :dizzy::dizzy:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom