umenikumbusha malima, kompyuta tatu, bunduki, bastola na masimu kibao utafikiri pushahp computer full set
Toshiba satelite laptop
Ipad 2, 32 gb
Nokia C3 Phone
Samsung Dual sim Phone
Viatu pair 37
Saa ya TAGHeuer Carella
Saa ya Seiko 5
Bracelet gram 45 Silver
Pete tatu za Silver gram 15,6,9
Necklace ya silver gram 24
sina kitanda wala godoro nalala kwenye mkeka
umenikumbusha malima, kompyuta tatu, bunduki, bastola na masimu kibao utafikiri pusha
Hujasema unamiliki panya wangapi mkuu.Magunia
8 ya mahindi, debe 21 za nyanya ila zinaweza kuharibika sio muda mrefu
kwa kukosa soko,Kuku kama 100 wanaweza wakafa wote muda si mrefu kwa
kuwa wanakideri,Maharage gunia 4 ila yamegongwa sana muda si mrefu
ninawza nikayatupa,Alizeti gunia 9 ila panya wananisumbua sana wanaweza
wakanibakizia 2 mpka mwezi ujao kwangu ndo mali zangu mkuu
hapa tatizo sio kutangaza hizo mali, unatakiwa pia kueleza ulizipataje. Kama ni urithi, utueleze umerithi kwa nani na ulikuwa na haki kisheria ya kurithi hizo mali?? hasa kwa kiwango utachotaja??? kama ulinunua utueleze fedha ulitoa wapi????? eleza na risiti ulikohifadhi, na duka au mahali uliponunua panatambulika kisheria au ulijinunulia kiholela kwani manunuzi yote ya kiholela hayahesabiwi, ni vigumu sana kudhibitisha inawezekana mali ilikuwa ya wizi!!