wadau nokia asha 305 na whatsap hawapatani au.????

wadau nokia asha 305 na whatsap hawapatani au.????

fumba

Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
51
Reaction score
8
nimejaribu kugoogle ila nimeangukia patupu naomba msaada wenu
 
kama unataka kuinstall tofaut na jibu la swali lako... Kaangalie WhatsApp :: Home.. Ikikubali kinstall basi wanapatana.. Ikigoma... Tafuta substitute.. Chukua app inaitwa WE CHAT
 
haisuport watsapp uwe makini unaponunua simu ujue ni aina gan ya simu unayoihitaji
 
simu za line mbili n kmeo kwenye whatsapp.... Ila kuna mtu ashawah sema kuwa ka download kwenye asha nyngne ksha akaiweka kwa memo then akaweka memo kwenye simu yake.. Ikawa haisomi ala aka click option update ikakubal... Ila binafs sjawah prove.... Jarbu na ww mayb itakubal
 
tatizo siyo simu kuwa na line 2 tatizo ni os ya simu, mbona kwenye android line 2 inapga kazi kama kawa.
Watu wengi hasa wanaotumia nokia ununua simu kutoka na shape na toleo kuwa jipya bila kuangalia au kujua kuwa shape na toleo haliguarantee ubora wa simu.
Mfano mtu unaweza mweke nokia e63 na nokia x2-01 akachagua x2-01 kisa shape yake akaacha e63 wakati e63 ni mashine kuzidi x2.
 
kweli tupu! Watu weng wanadhan nokia asha n mashne sanaaa
 
Back
Top Bottom