Habari wadau, naomba ushauri. Ni njia gani nzuri na practical ya kupata wateja wa kutengeneza websites?
Nimejaribu kuwa-approach watu moja kwa moja, lakini nimeona changamoto kubwa ni pale ninapotaja bei—nahisi kama bei zangu zinaonekana kuwa kubwa.
Mbali na kutengeneza websites, pia nafanya:
Nimejaribu kuwa-approach watu moja kwa moja, lakini nimeona changamoto kubwa ni pale ninapotaja bei—nahisi kama bei zangu zinaonekana kuwa kubwa.
Mbali na kutengeneza websites, pia nafanya:
- Deployment ya web apps
- Server hardening na basic server security
- VPS setup na management
- Laravel
- Inertia.js
- Next.js
- MySQL
- Ubuntu VPS
- Docker