Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,498
Reaction score
18,160
Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani Kuna nchi zimejaribu kuzuia ajali za barabarani atleast kwa asilimia 80au hata 90 kwa Mwaka.

Lakini huku Kwetu kwenye hizi nchi zetu zinazoamini kuiba uchaguzi ili ku maintain power Hali ni tofauti Sanaa🥺🥺.
Video hizi nazo ambatanisha ni GRAPHIC sana.
 

Attachments

  • tweeload_d527e3aa.mp4
    3.4 MB
Mungu akatulinde tutokapo na tuingiapo😓😓😓😥
 
Back
Top Bottom