Wadau mnaishije na ndugu?

Wadau mnaishije na ndugu?

Jamaa unasikitisha sana yaani kwa msoto uliopitia na hukuonesha hata mchango wowote kutoka kwa kaka yako bado unaendekeza upumbavu sijui wa kukopea mtu may be labda kuna sehemu alikupiga tafu sana unatuficha.
Kaka yangu anajua mchango wangu kwake hebu rudia kusoma
 
Usiogope lawama otherwise ndio anguko lako. Kuna wakati unatakiwa kutambua kipato chako na uishi nacho.bora wewe ni kaka yako ila Mimi ni baba yangu mzazi mwenye hizo tabia lakini nampuuza ili nihudumie watoto wangu
 
Hakika jamaa nimependa kujisurubisha kwake. Haina kujionea huruma. Sema na mwanamke nae alimpata , mwanamke wa namna hiyo kiukweli ni baraka straight toka kwa Mungu haina mjadala. Huyo mama siku ukimtenda ukamzimgua hapo lazima Sir God mwenyewe akushughulikie ipasavyo, yan hiyo kazi ya kukunyoosha hatumi malaika wala shetani, ataifanya mwenyewe 😂😂
Siwezi mkuu hata dar walikuwa wananiuliza huyo mwanamke umemtoa wapi
 
MIMI NI MWANAUME MWEZAKO ILA NDUGU YANGU UKITAJIRIKA NA UKAJA KUMUACHA HUYO MWANAMKE AU KUMNYANYASA KWA AINA YEYOTE ILE MUNGU ATAKULAANI .. HUU NI UKWELI NA KUAMBIA MAANA SISI WANAUME TUKIPATA KAZI NA HELA HUAGA TUNASAHAU WAKE ZETU TULIO TOKA NAO CHINI MAVUMBINI.
Siwezi kabisa
 
Wewe ndio hujaelewa kwenye story yako ulichangiwa pesa ya nauli na mama mkwe kaka yako huyo alikuwa wapi
Alikuwepo sema baada ya kumaliza chuo akasema mchango wake umeishia hapo
 
Kwanza hakikisha mke wako na watoto wako ndio kipaumbele maishani mwako,Kaka asikutishee mpe msaada mdogo mdogo ila punguza connection nae kubwa bila vita. We mwenyewee ushachelewa maisha,umaskini ni mbaya sana la sivyo wanao watakuja teseka kama wewe pole sana mjuba.
 
Back
Top Bottom