iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,147
- 9,962
[emoji625] [emoji419][emoji419][emoji419][emoji625] Hii aiwekee lamination kabisa na ai pin [emoji419] sebleni awe anaisoma kila siku...Wanaume walozungumzwa kwenye vitabu vya dini ni wewe na mume wangu#kidding[emoji28]
Hongera sana ww ndo definition ya mpambanaji
Kuhusu huyo ndugu yako mu ignore inapowezaka sehemu ya kumpiga tafu fanya hivyo ila usichukue mkopo
kwa ajili yake
Uzuri ni kwamba ameshamsaidia hasaidiki ila sasa huyo ndugu yake amemgeuza jamaa kama proxy wa kupata pesa ili afanyie usengèrema..