Wadau mnaishije na ndugu?

Wadau mnaishije na ndugu?

Ngoja nikutafutie vita hakuna kukaa kinyonge bando lenyewe la 24hrs utalifidia vipi? 😹😹

Sema mkali unachamba utanifaa sana kwenye vita zangu, acha nikusajili 😹😹
Baadhi ya watu wanakera mtu anakwambia mbona mwanza bei ni hii nimekuja huku ni hii, 😂

Inabidi nitulie now nimekuwa matured

Kama Hawa hata hao wanaowasemea wala panya waende maduka yao waone km Kuna kitu rahisi, sisi wenyewe tunachukua kwa mchina yaani hata haijui mifumo mwingine kutwa na nywele mwili mzima kulia yebo ya elfu saba 😂
 
Hata mwanamke alie nae amechangia sana kumfanya jamaa atoboe, yaani ana wife material jamaa ali bahatisha aisee sio sie tunakutana na vikosi vya mizinga AkA golddiggers. Wanawake wa sasa wenye akili ya maisha ni wa kubahatisha sana..
Ukipata Kama yule wa manara ndio anakupeleka HELL MAPEMA.

HONGERA SANA KWAKE..PIA KUNA UZI NILIWAI CHATI NA MTOA THREAD NI HOME BOY.
Maana watu wengi tulio wataja tunawajua.
Hii ni True definition ya upambanaji na for sure Kuna wengi wameweka vyeti kabatini na kuingia mtaa kupambana ni consistency tuu.
Hakuna kuona aibu, hakuna kukata tamaa.
Lazima tupambanie kombe na ku kick LIFE & ODDS
 
Ni mpambanaji nimeipenda hiyo,

Ila ndugu awasaidie lakini so kumchukulia mikopo tena bank akizungua na yeye kazi ipo

Ila tuwaache damu nzito kuliko maji ujue 😂
Hapo kwenye mikopo saidia Mara moja.
Mimi nashukuru mzee wetu alikua anasema nakusaidia ili wewe uweze kusimama na kujitegemea.

Ukiweza Kuni saidia sawa usipo weza sawa kikubwa uweze kujitegemea wewe Kama wewe.

Huyo kaka yao ni ndugu LAWAMA huyo ni gunia la misumari halibebeki na ukilibeba lazima likuchome chome
 
Back
Top Bottom