Wadada wenye vitambi wanaboa

Ahhh Ahhh, hebu tulieni kwanza. Ni GAY ndiyo wanataka Mwanamke alinyenyooka kama Mwanaume.

Wakiona Milima na Mabonde wanapata shida. Ndiyo maana waonyesha Mavazi ni kama Madume marefu.

Kitambi ndiyo chenyewe, ukilala usiku wakipapasa, lainiii. Sema msizidishe saana kwani si nzuri kwa afya.

Hii ya NZURI KWA AFYA inahusu watu wote hata Wanaume. Vidumu Vitambi.

Na nyie na vitambi vyenu mpunguze, ni tabu wakati wa kugegedana

Soon tutaota na vipara ili tukukere zaidi

Mtuache jamani......kwa hiyo tusinywe hata supu......tusinywe bia......tusile chips kuku.......hivi mnatutaka nini lakini.....?.......tumechoka........
 
je unamaanisha kwa wanaume ni sawa? bora hata mwanamke masuala ya uzazi yaweza changia, nyie mna sababu gani? nachukia mwanaume mwenye kitambi vibaya sn, yaani nikiwaona huwa najisikia kichefuchefu kabisa, nashukuru mume wangu hana, daaaah!
 
Minilipita mahali kwenye duka la kuhuza nguo mnunuzi alikuwa na kitambi nguo ikambana muzaji akamwambia kitambi ni habari ya mujini, nilicheka nikaendelea na safari, yaahani imekuwa fasion habari ya mjini kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom