Wachunaji hao...Is it a fashion or what!!?? dada mkareee lkn ana kitambi!!!
Ongezeko la kalio ni directly proportional na ongezeko la kitambi,sasa mnawasifia makalio tafadhali kubalini na vitambi vyao....Is it a fashion or what!!?? dada mkareee lkn ana kitambi!!!
Nikajua imeingia sasa hivi kaka. Jana nimekaa kiwanja flan kila nikigeuka, ili mradi ni mdada tu, bas ana kitambi!!Teh teh..Mkuu acha utani..Kitambi tangu lini kikawa fashion
Unacho pia?NA MTUACHE
Hahahaaaaa balaa mkuuUnakuta sasa dem kapigwa pasi alaf na kitambi na kifua hicho utafikiri matako kayaamishia tumboni
Kama ulikuwa kwenye akiri yangu!! huo ugonjwa wangu mkubwa. Lkn wengi wenye kalio ndo wenye vitambi!! Nadhan nibadilishe vigezo sasa.Ongezeko la kalio ni directly proportional na ongezeko la kitambi,sasa mnawasifia makalio tafadhali kubalini na vitambi vyao....
mimi nina mimba y miez mitatuUnacho pia?